IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

Kwa hiyo wanaouza bandari za tanganyika sio wahaini ila wanaopinga uuzwaji ndo wahaini. Ooooh my tanzania
Kuandamana ndio kuzuia kuuzwa au ni kuleta machafuko kwanza ilo halina mjadala alieuza ni mhaini au sio ila kuandamana hawawezi 😀
 
viongozi wa upinzani ndiyo wameichoka amani wewe kiongozi mzima na akili zako utawaambiaje watu wakaandamane badala ya kutoamhoja kusubiri ujibiwe mikutanoi si mnafanya? maandamano ya nini kila mtu ajuwe la kuambiwa changanya na zako yatakayo kukuta ni wewe na familia yako ndiyo itateseka wenzio wanakunywa mvinyo wewe huna mguu

Kikinuka wanaenda nje kama wakimbizi wa kisiasa ila wewe unabaki na matatizo tena utazid kuongeza mzigo kwa familia yako.
Hawa heri washughulikiwe kabla hawajazid kuchafua nchi
Kipindi cha magu mbona walikua na heshima now wameona mama mpole ndio wanaleta choko choko wakibanwa wakimbilie kwa wananchi tuone wanaonewa
 
Badala ya kuongea ongea Polisi wanatakiwa kuwachukulia hatua Kali waliotoa hayo matamshi ya kichochezi haraka sana Ili iwe funzo Kwa wengine.

Polisi acheni kuchekea manyani,Chukueni Hatua badala ya kutoa matamko.

Maslahi ya Mamilioni ya Watanzania ni muhimu kuliko hao wapuuzi wachache,tokomeza wakafie mbele huko.
Wewe nawe ni zezeta, unazungumzia maslahi ya watanzania wapi ikiwa bandari zimetolewa kwa mwarabu kwa muda usiojulikana?
 
Kuandamana ndio kuzuia kuuzwa au ni kuleta machafuko kwanza ilo halina mjadala alieuza ni mhaini au sio ila kuandamana hawawezi 😀
🤣 Bongo labda waandamane kwenye keyboard au kwenye comment.

Ishu ya uhaini(kupinduana) labda watokee wanajeshi ndani ya jeshi ndio wampindue samia au wamteke samia kisha Nchi ikae kimyaaaaaaaaaaaaaaa.
Kisha jeshi liende live tbc kutangazia taifa kuwa jeshi limepindua serikali na kufunga mipaka yote. Kama walivyofanya huko west Africa Burkina Faso na Niger.

Zaidi ya hapo kelele zitaishia kwenye comments 🤣🤣 na vijiweni. Baada ya hapo tunakula ugali dagaa kisha tunalala.
 
IGP Camilius Wambura ametoa onyo kali kwa baadhi ya watu waotaka kupindua Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kabla ya 2025.

IGP Wambura ameyasema hayo leo Agosti 11, 2023.

🤣 Bongo labda waandamane kwenye keyboard au kwenye comment.

Ishu ya uhaini(kupinduana) labda watokee wanajeshi ndani ya jeshi ndio wampindue samia au wamteke samia kisha Nchi ikae kimyaaaa. Kisha jeshi liende live tbc kutangazia taifa kuwa jeshi limepindua serikali na kufunga mipaka yote. Kama walivyofanya huko west Africa Burkina Faso na Niger.

Zaidi ya hapo kelele zitaishia kwenye comments 🤣🤣 na vijiweni. Baada yapo tunakula ugali dagaa kisha tunalala.
😂😂Kwakweli ilo ndo lililobaki kula dagaa tu 😂😂
 
Ujinga ni kufanya kitu kile kile na kutegemea matokeo tofauti.

Siasa za CDM zinajulikana hawana jipya zaidi ya kutunga uongo na kujaribu kuhamasisha maandamano.

Magufuli hakuwa mjinga inachukua muda kuwabadili watu tabia na hakuna kazi ngumu kama kubadili tabia za watu.

Mnaenda kumsikiliza Jakaya na Kinana tazama sasa walichorudisha ndani ya muda mfupi; yale yale ya siasa za 2010 to 2015 vita ya kujibu uongo na watu kuhubiri kutotii mamlaka.

Huyo Jakaya mwenyewe na Kinana washakimbilia kwa mwanasheria baada ya kuzushiwa uongo na media.

Marehemu alikuwa anaipeleka nchi pazuri kwenye kurekebishana tabia, wameenda ruhusu upuuzi tena; haya ndio madhara yake.
 
Watanzania sio watu wa kuandamana, ila mtu anaweza kumezeshwa polonium akatulia zake na kwenda kwa Allah taratibu bila haraka.
 
Wanataka waandamane ili waje kutuibia bizaa zetu madukan [emoji74][emoji74][emoji74]
Ety wanataka kuanzia kariakoo maduka ya cm pumbav zao [emoji81]
Njaa tu zinawasumbua😂😂
 
Kuna mtanzania gani katika wote wanaokosoa umemsikia anapinga uwekezaji katika Bandari...?
Hivi watu wakihoji ukomo wa mkataba, manufaa ya mkataba, masharti ya makataba, idadi ya bandari anazopewa mwekezaji hilo kwako ni uchochezi?
Shida ni ushabiki hadi mnaingiza imani ndo maana hatufiki na tutaendelea kubaki taifa maskini..!

AAcHTtc5XtR22OC3OkYivtzjafC8hXp1StwMi38SVqADYnbt=s40-p-mo
ReplyForward
Badala ya kuongea ongea Polisi wanatakiwa kuwachukulia hatua Kali waliotoa hayo matamshi ya kichochezi haraka sana Ili iwe funzo Kwa wengine.

Polisi acheni kuchekea manyani,Chukueni Hatua badala ya kutoa matamko.

Maslahi ya Mamilioni ya Watanzania ni muhimu kuliko hao wapuuzi wachache,tokomeza wakafie mbele huko.
 
Kuna mtanzania gani katika wote wanaokosoa umemsikia anapinga uwekezaji katika Bandari...?
Hivi watu wakihoji ukomo wa mkataba, manufaa ya mkataba, masharti ya makataba, idadi ya bandari anazopewa mwekezaji hilo kwako ni uchochezi?
Shida ni ushabiki hadi mnaingiza imani ndo maana hatufiki na tutaendelea kubaki taifa maskini..!

AAcHTtc5XtR22OC3OkYivtzjafC8hXp1StwMi38SVqADYnbt=s40-p-mo
ReplyForward
Mnapotosha na mnalazimisha hata baada ya kuangukia pua Mahakamani ,Sasa leteni vurugu Muone
 
Back
Top Bottom