Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kuandamana ndio kuzuia kuuzwa au ni kuleta machafuko kwanza ilo halina mjadala alieuza ni mhaini au sio ila kuandamana hawawezi 😀Kwa hiyo wanaouza bandari za tanganyika sio wahaini ila wanaopinga uuzwaji ndo wahaini. Ooooh my tanzania