Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Nimeangalia documentary nyingi za kina kirefu zaidi cha bahari, kuhusu miti ndio naona hapa..itoshe kusema chai sukari haitoshi..Kuna kitu wenzetu huko majuu wanaita drain the ocean, kama una Dstv kuna program huwa wanaonyesha kwenye National Geographical Channel. Hii ni tekonolojia ya kisasa kabisa ambapo kwa kutumia computer program wanauwezo sasa hivi kuona kila kitu kilivyo huko chini baharini. Mfano kupitia hiyo program wameweza kujua meli kubwa au nyambizi ambazo zilipotea baharini kwenye vita kuu ya dunia ziko wapi. Sijawahi kuona hiyo miti unayosema ila nimeona makorongo makubwa, matumbawe nk
Upo sahihi kabisaNilishangaa kusikia et!! Ni Kwa asilimia 5 tu mwanaadamu yaani mwanasayansi anavyoijua bahari yaani Kwa kina kwa kujua viumbe vilivyomo baharini kwa uelewa mzima wa bahari ni mwanaadamu anaijua bahari kwa asilimia 5 tu asilimia 95 zote hizo mwanaadamu yaani mwana sayansi hajui Kwa kiwango hicho
Rudi bwana!Take Note Baadaye Narudi.....
Ile miti inaitwa mikoko na huwa inaota pembeni mwa bahari. Huwezi kuikuta chini ya bahari.Kuna ile miti pale bandari upande wa Kigamboni... Maji ya bahari huwa yanajaa mpk juu yanaifunika ata wiki lakini haifi... Kwahiyo naweza amini miti ipo
Miti ya Man-made siyo
Kwa mbaali naziona njemba mbili
Noma sanaKwa mbaali naziona njema mbili
Inafaa Itasaidia Kikohozi Na COVID 19Nimechanganya na tangawizi kikombe 500 wakuuView attachment 2486851
Km 11 kwenda chini Mariana trench pasific.kina kirefu zadi cha bahari duniani ni km/m ngapi?
DuhKm
Km 11 kwenda chini Mariana trench pasific.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kweli hiyo misitu ipo na mimi ndo huwa naenda kuimwagilia