Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

Kuna kitu wenzetu huko majuu wanaita drain the ocean, kama una Dstv kuna program huwa wanaonyesha kwenye National Geographical Channel. Hii ni tekonolojia ya kisasa kabisa ambapo kwa kutumia computer program wanauwezo sasa hivi kuona kila kitu kilivyo huko chini baharini. Mfano kupitia hiyo program wameweza kujua meli kubwa au nyambizi ambazo zilipotea baharini kwenye vita kuu ya dunia ziko wapi. Sijawahi kuona hiyo miti unayosema ila nimeona makorongo makubwa, matumbawe nk
Nimeangalia documentary nyingi za kina kirefu zaidi cha bahari, kuhusu miti ndio naona hapa..itoshe kusema chai sukari haitoshi..
 
Nilishangaa kusikia et!! Ni Kwa asilimia 5 tu mwanaadamu yaani mwanasayansi anavyoijua bahari yaani Kwa kina kwa kujua viumbe vilivyomo baharini kwa uelewa mzima wa bahari ni mwanaadamu anaijua bahari kwa asilimia 5 tu asilimia 95 zote hizo mwanaadamu yaani mwana sayansi hajui Kwa kiwango hicho
 
Upo sahihi kabisa
 
Nimechanganya na tangawizi kikombe 500 wakuu
JamiiForums-375862122.jpg
 
Back
Top Bottom