Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Nimeangalia documentary nyingi za kina kirefu zaidi cha bahari, kuhusu miti ndio naona hapa..itoshe kusema chai sukari haitoshi..Kuna kitu wenzetu huko majuu wanaita drain the ocean, kama una Dstv kuna program huwa wanaonyesha kwenye National Geographical Channel. Hii ni tekonolojia ya kisasa kabisa ambapo kwa kutumia computer program wanauwezo sasa hivi kuona kila kitu kilivyo huko chini baharini. Mfano kupitia hiyo program wameweza kujua meli kubwa au nyambizi ambazo zilipotea baharini kwenye vita kuu ya dunia ziko wapi. Sijawahi kuona hiyo miti unayosema ila nimeona makorongo makubwa, matumbawe nk