Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

Nina experience kubwa na Wabongo usiwaamini 100 percent ya maelezo yao.
 
Wahamoaki kwa sasa wanaogopwa kwa asilimia kubwa ndio waliokuwa wanatumia kufanya assassination ya viongozi.
Sijakuelewa mkuu!.

Nimeuliza kuwa, ukitaka kuingia hapo Morroco kuna changamoto za ukaguzi kqma unaingia Marekani how wakati nchi yenyewe ni masikini kiasi hicho?.
 
Ahahha akili za kuambiwa....

Unajua mm napenda biashara lkn sikutaka kuingia kichwa kichwa kwenda Comoros just because nimeambiwa biashara ya viatu vya kimasai inalipa,nilichomjibu kuhusu kuleta viatu vya kimasai ni kwamba nitaenda kutembea Kwanza niangalie mwenyewe upepo umekaaje,angekuwa mtu mwingine angeinhia kichwa kichwa akafunga mzigo wa viatu akapeleka mzigo huku ameambatana na mwenyeji..akifika huko sasa ndy kisanga

Kuhusu inshu ya afya sasa ndy nimekuelewa vizuri,kumbe siyo kwamba hospitali hakuna Ila jamaa Tu wanapenda kuja kutibiwa bongo..naona km kauli yako inanishawishi kuliko ya huyujamaa mcomoro,Jamaa akiumwa kidogo Tu anakuja kutibiwa bongo.Kule kwao ni mfanyakazi wa Benki means yupo vizuri kiuchumi ndy maana anaweza kuafford kuja bongo tena Kwa ndege karibia kila mwezi

Me nadhani km mtu anahitaji kufanya biashara kule aende mwenyewe physically akafanye research km ulivyofanya wewe kisha anarudi kujipanga akijua nn anaenda kufanya,Ila story za kuambiwa ukaamua kukurupuka unaweza ukalia
 
vipi kwenda visa vinahitajika?
Mkuu comoros sidhani km visa inahitajika,sina uhakika lakini

Siku moja nilikuwa naangalia TBC walimwalika balozi wa Tz nchini Comoro alielezea Fursakibao zinazopatikana nchini kule.Sina uhakika Kama kile kipindi wamekipandisha u tube,lkn km wamefanya hivyo basi majibu yote yapo mule
 
Ujaongelea usafiri kuna meli ya kwenda huko na gharama zipo vp maana kwa ndege naona ishakua kipengele
Kuna Meli ambayo umeanza Kazi hivi karibuni ila bado haijawa na uhakika. Inasemekana Nauli yake ni 90,000KMF kwenda na kurudi. Kama itaweza kuendelea na safari basi ATC wajiandae kushusha bei na kupoteza wateja.
 
Hata mimi namshangaa comoro iko SADC au inakuaje hapo kututisha hivo visa muhimu lakini hadi hotel ulipie hapana sio kweli
Badala ya kupoteza mda kubisha kitu usicho kijua hebu nenda ubalozi wao kule Mikocheni ndio ushuhudie mwenye.

Visa lazima uomombe na kabla ya Safari na unailipia. Sasa wewe fuata google ukifika ground utashangaa.
 
Nimempuuza hapo tu nimemuona ni mjinga fulani tu.

Kila siku majahazi yanakwenda Comoro na watu wanaingia bila tatizo lolote.

Yani uingie South Africa bila viza na bila kusumbuliwa ndio upate usumbufu Comoro? Kuna employment opportunity ipi comoro?
Yaani wewe ndio mjinga unaebisha kitu ambacho hujui.

Kuna watu wengine naona upumb*** ni asili yenu.
 
We jamaa mbona unabisha vitu ambavyo hujui? Anyway wapuuzi kama wewe ni wakupuuza.
 
Amino usiamini mambo ground ni tofauti.
 
Umeongea point kabisa na hii ndio ukweli halisi.

Niseme ukweli biashara za huku zina wenyewe Ili upate Faida utoke ni ngumu sana.

Binafsi kuna mengi nimekutana nayo ambayo yamenifanya kufungua uzi huu Ili wasije kichwa kichwa.

Nilikuja huku nikiwa na connection yote lakini bado watu walipigwa mpunga wangu zaidi ya 10M; yaani walikula Faida yote na na mtaji wakaumega.

Kwa kifupi ukileta mzigo huku Ili uione Faida lazima uwe na connection kweli kweli na ulete mzigo kwa siri Sana watu wasijue umeleta mzigo gani.

Mbaya zaidi ni pale utakapo kuwa hujui lugha yao.

Nikisema Lugha yao siongelei Kifaransa.
 
Nimempuuza hapo tu nimemuona ni mjinga fulani tu.

Kila siku majahazi yanakwenda Comoro na watu wanaingia bila tatizo lolote.

Yani uingie South Africa bila viza na bila kusumbuliwa ndio upate usumbufu Comoro? Kuna employment opportunity ipi comoro?
Inaonekana hata Comoro hajawahi kufika
 
Yaani wewe ndio mjinga unaebisha kitu ambacho hujui.

Kuna watu wengine naona upumb*** ni asili yenu.
Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza



Tumeona ni vyema tukusogezee orodha ya nchi 57 ambazo Mtanzania mwenye pasipoti ya kawaida anaweza kusafiri ama kutembea bila ya kuomba viza;


Nchi Masharti ya Viza Muda
Antigua and Barbuda Huhitaji kuomba viza
Bahamas Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Bangladesh Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Barbados Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 6
Belize Huhitaji kuomba viza
Benin Huhitaji kuomba viza
Bolivia Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Botswana Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Burundi Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Cambodia Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Cape Verde Viza unapata utakapowasili
Comoros Viza unapata utakapowasili
Democratic Republic of the Congo Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 7
Djibouti Viza unapata utakapowasili
Dominica Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 6
Ecuador Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Fiji Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 4
Gambia Huhitaji kuomba viza
Ghana Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Guinea-Bissau Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Haiti Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Indonesia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Iran Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Jamaica Huhitaji kuomba viza
Kenya Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Laos Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Lesotho Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Madagascar Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Malawi Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Malaysia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Maldives Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Mauritania Viza unapata utakapowasili
Mauritius Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
Micronesia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Mozambique Huhitajiki kuomba viza
Namibia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Nepal Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 90
Nicaragua Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Palau Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Philippines Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Rwanda Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 6
Saint Kitts and Nevis Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Saint Lucia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa wiki 6
Saint Vincent and the Grenadines Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa mwezi
Samoa Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 60
Seychelles Kibali cha utalii utapata utakapowasili Kwa muda wa miezi 3
Singapore Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
South Africa Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 90
South Sudan Viza unapata utakapowasili
Swaziland Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Timor-Leste Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siku 30
Togo Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa siiku 7
Tuvalu Viza unapata utakapowasili Kwa muda wa mwezi 1
Uganda Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3
Vanuatu Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Zambia Huhitaji kuomba viza Kwa muda wa siku 30
Zimbabwe Huitaji kuomba viza Kwa muda wa miezi 3

Matola
 
Badala ya kupoteza mda kubisha kitu usicho kijua hebu nenda ubalozi wao kule Mikocheni ndio ushuhudie mwenye.

Visa lazima uomombe na kabla ya Safari na unailipia. Sasa wewe fuata google ukifika ground utashangaa.
Comoro viza unapata ukishafika huko. Acha uongo
 
Kuna watu ni viazi Sana.
Ukifika Comoro mbambo ni tofauti na mnavyo soma huko mtandaoni.

Narudia tena, Viza ya Comoros lazima uombe kabla ya kuanza safari huo ndio uhalisia.

Nakuwekea na kilelezo kabisa. Kama una akili itawkewa kuwa unabisha kitu ambacho huna experience nacho.
Endelea Kubisha sasa
 
Acha kumjibu huyo Matola. Ni chizii flani anayejifanya anajua kila kitu.
 
Yaani wewe ndio mjinga unaebisha kitu ambacho hujui.

Kuna watu wengine naona upumb*** ni asili yenu.
Really?
We jamaa mbona unabisha vitu ambavyo hujui? Anyway wapuuzi kama wewe ni wakupuuza.
Seriously?
Inaonekana hata Comoro hajawahi kufika
Ni kweli na wala sina mpango wa kufika huko, route zangu ni Sheghen countries and UK.
Need i say more?
Hata wazungu wanaokuja Tanzania wana hiyari ya kuomba viza kwenye balozi zetu kwenye nchi zao, au viza on arrival airport, hujuwi kitu takataka tu.
Acha kumjibu huyo Matola. Ni chizii flani anayejifanya anajua kila kitu.
Hakuna anayejiuwa kila kitu, ila huwezi kunidanganya vitu vidogo sana kwangu kama hivi.
Nimeanza kusafiri wakati Uingereza Watanzania tulikuwa tunaingia kwa entry tu airport hatukuwa tukiomba viza ubalozini kabla Wapemba hawajatuharibia mwaka 1995 na CUF yao.

Ndio sembuse Comoro nchi ambayo naamini bado swala la choo kwa kila nyumba bado mtihani ndio wawe na condition hizo?

Je una lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…