Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

We jamaa kiazi kweli!! Just with Youtube video ndo unakuja with confidence kwamba eti "acha ubishi.....!!"

That's one but two; hata ukisikiliza hiyo video uliyoweka mwenyewe maelezo mengi ni "... is believed!" WHY is believed? Kwa sababu since then hadi sasa hakuna conclusive evidence kuhusu ancient egyptians. Akina nyie mnaokoteza hypothesis mbalimbali mnakuja na conclusion!!!

By the way, kama Ramses III probably ni Mkenya, Msudani, Mu-Ethiopia au yeyote kati ya hao uliowataja!! How come tena anakuwa babu yako wewe usiye Mkenya Msudan au yeyote miongoni mwa hao?! Au ndo yale yale niliyosema kwamba mnashindwa kujikubali mlivyo na matokeo yake mnaamua kujinasibisha na viumbe vinavyotajwa tajwa sana?!

The problem ya watu kama nyinyi ipo hivi: pakitokea crossbreeing kati ya Mzungu na Mwafrika... mtoto atakayezaliwa hata kama atakuwa mweupe namna gani na nywele nyoronyoro;Wazungu watamkataa na watamuita Mwafrika!!! There's no way atatambulika kama Mzungu!!!

Na ikitokea muhusika Mzungu Mwafrika amekuw mtu mzima na akakataa kwamba si Mwwafrika bali ni Mzungu; ni Waafrika ndio wataongoza kumlaani kwa "kujifanya mzungu!" Suala la kujiuliza ni kwamba, ikiwa mzazi mmoja ni mzungu na mwingine ni Mwafrika... kwanini asiwe Mzungu na ionekane kwamba yeye ni Mwafrika TU?!

Matokeo yake ndo haya! Hakuna evidence yoyote inayothibitisha (sio ku-claim) kwamba baba na mama wa akina Ramsey ni Wabantu lakini kwavile Waafrika ni zoa zoa kwavile hawana cha kujivunia; ndo hapo akina nyie mnakuja hapa na kusema eti Farao ni babu yenu!!!!

VERY FUNNY!
Asalam
Dah kwakweli thread kamaa hii ilinipita sana.
Lakini hii afrocentrism kama sijakosea inafurahisha sanaa
1) wanadai ya kwamba wamisri wa zamani na amazigh(barbara au north africa) walikuwa weusi tii
2) wanadai pia wayahudi ni watu weusi
3) wanadai pia waarabu wa zamani ni weusi tiii.
Sasa kitu cha kushangaza wanapoulizwa iweje leo misri ni watu weupe kwa asilimia kubwa? Jibu la haraka sana watajibu ya kwamba waarabu wamekuja na kufuta weusi woote. Hapohapo wameshasahau ya kwamba walisema ya kwamba waarabu pia walikuwa weusi. Haya, ukiwauliza iweje waarabu wakawa weupe tena? Jibu la haraka tena watakwambia wale ni mabaki ya warome na waturk. Haya sawa. Je kwasababu ipi mpaka leo spain hakuna mabaki ya watu weusi (wabarbara na waarab) waliotawala huko kwa karibia miaka 600. Jibu hakuna. Ok.
Ukija kwenye mambo sayansi ya dna kwa waarabu dna yao kubwa ni haplogroups J-M172 na J-M267 kwa kiwango kikubwa karibia 70% na dna hiyo ndiyo ilipoanzia(origin) mashariki ya kati kwa haohao watu weupe na inayofwatiwa kwa kiwango kikubwa ni haplogroup E1b1b na E1b1a na origin yake ni north africa kwa kiwango cha 15% kwa watu haohao weupe. Naziko dna zengine zenye % ndogondogo.
Haya ukija kwa watu wa north africa (masri, morocco, libya, algeria) dna yao kubwa ni haplogroup E1b1b na E1b1a kwa kiwango cha 70% hivyohivyo inayofuatiwa ni haplogroup J na kwa watu haohao weupe. Pia nitaongeza kitu haplogroup ya E1b1b na E1b1a inapatikana pia kwa kiwango kikubwa kwa horn of africa( ethiopia na somalia etc) na inafuatiwa na J. Ok
Ukija kwenye waturk wana dna nyingi na mojawapo ni J na R na G kwa kiwango cha 24 % na 15% na 11% kumbuka J ni asili ya arabia na R ni asili ya europe na G ni asili ya western asia na pia kuna vipande vingi vidogodogo. Ok.
Ukija kwa waeurope dna yao kubwa ni R.
Sasa swali linakuja iweje haplogroup ya R ya wazungu ibadilike na kuwa J kwa waarabu? Na iwe ndio mabaki ya watu weupe wa arabia?
Pili iweje north africa wawe na haplogroup mbili moja ya E yenye asili north africa na horn africa pamoja na J yenye asili ya arabia wawe weupe? Na wote ni weusi. Tatu, dna ya wabantu asilimia kubwa ni haplogroup L na wala si ya E wal J. Iweje leo black america awafundishe historia waarabu, wamisri na wayahudi ikiwa wenyewe wanaijua na kwa jina za koo za mababu na mababu. Wakati yeye mwenyewe jina la babu mzaa babu yake hamjui na wala hajui anatoka wapi africa na nchi gani na mkoa gani hhhha na wala hana asili la jina lake(mfano anaitwa smith).
Kwakweli hawa afrocentrism wanafurahisha saanaa.
 
hutyo herode si alikuwa mfalme wa Israel Mkuu-na kama ndivyo basi ni dhahiri alikuwa akiongoza weupe wenzake kwa maana hiyo waisrael ni weupe.sasa dhana na ya kuwa waisrael halisi walikuwa weusi inatoka wapi??
Herode hakuwa mfalme wa Israel alikuwa ni gavana wa galilaya mfalme ni kaizari tiberio wa roman.
 
Herode/Pilato walikuwa outsiders kutoka Roma ndio maana kwenye vitabu wafalme wanaotambulika Ni kutoka uzao wa daudi tu hao wengine Ni imposters tu waliwekwa ma Roma kwa maslahi yao.
Mzungu amuweke utumwa Mzungu mwenzake uliona wapi?? Rumi Ni wazungu Israel ya enzi hiyo walikuwa weusi
Pilato na herode hawajawahi kuwa wafalme popote pale duniani wote walikuwa magavana wa majimbo ndani ya Israel chini ya dola ya roman.
 
Asalam
Dah kwakweli thread kamaa hii ilinipita sana.
Lakini hii afrocentrism kama sijakosea inafurahisha sanaa
1) wanadai ya kwamba wamisri wa zamani na amazigh(barbara au north africa) walikuwa weusi tii
2) wanadai pia wayahudi ni watu weusi
3) wanadai pia waarabu wa zamani ni weusi tiii.
Sasa kitu cha kushangaza wanapoulizwa iweje leo misri ni watu weupe kwa asilimia kubwa? Jibu la haraka sana watajibu ya kwamba waarabu wamekuja na kufuta weusi woote. Hapohapo wameshasahau ya kwamba walisema ya kwamba waarabu pia walikuwa weusi. Haya, ukiwauliza iweje waarabu wakawa weupe tena? Jibu la haraka tena watakwambia wale ni mabaki ya warome na waturk. Haya sawa. Je kwasababu ipi mpaka leo spain hakuna mabaki ya watu weusi (wabarbara na waarab) waliotawala huko kwa karibia miaka 600. Jibu hakuna. Ok.
Ukija kwenye mambo sayansi ya dna kwa waarabu dna yao kubwa ni haplogroups J-M172 na J-M267 kwa kiwango kikubwa karibia 70% na dna hiyo ndiyo ilipoanzia(origin) mashariki ya kati kwa haohao watu weupe na inayofwatiwa kwa kiwango kikubwa ni haplogroup E1b1b na E1b1a na origin yake ni north africa kwa kiwango cha 15% kwa watu haohao weupe. Naziko dna zengine zenye % ndogondogo.
Haya ukija kwa watu wa north africa (masri, morocco, libya, algeria) dna yao kubwa ni haplogroup E1b1b na E1b1a kwa kiwango cha 70% hivyohivyo inayofuatiwa ni haplogroup J na kwa watu haohao weupe. Pia nitaongeza kitu haplogroup ya E1b1b na E1b1a inapatikana pia kwa kiwango kikubwa kwa horn of africa( ethiopia na somalia etc) na inafuatiwa na J. Ok
Ukija kwenye waturk wana dna nyingi na mojawapo ni J na R na G kwa kiwango cha 24 % na 15% na 11% kumbuka J ni asili ya arabia na R ni asili ya europe na G ni asili ya western asia na pia kuna vipande vingi vidogodogo. Ok.
Ukija kwa waeurope dna yao kubwa ni R.
Sasa swali linakuja iweje haplogroup ya R ya wazungu ibadilike na kuwa J kwa waarabu? Na iwe ndio mabaki ya watu weupe wa arabia?
Pili iweje north africa wawe na haplogroup mbili moja ya E yenye asili north africa na horn africa pamoja na J yenye asili ya arabia wawe weupe? Na wote ni weusi. Tatu, dna ya wabantu asilimia kubwa ni haplogroup L na wala si ya E wal J. Iweje leo black america awafundishe historia waarabu, wamisri na wayahudi ikiwa wenyewe wanaijua na kwa jina za koo za mababu na mababu. Wakati yeye mwenyewe jina la babu mzaa babu yake hamjui na wala hajui anatoka wapi africa na nchi gani na mkoa gani hhhha na wala hana asili la jina lake(mfano anaitwa smith).
Kwakweli hawa afrocentrism wanafurahisha saanaa.
Umekuja hapa kwa mbwembwe lakini yote uliyoongea nasikitika kuwa ni non sense nikuulize ushawahi kufuatilia vinasaba (DNA) za Pharao's eg Akhenaten, king tuts na kina Ramses iii vilikuwaje? Viliwatambua kama walikuwa watu wenye asili za wapi!?
(Eg.. haplogroup ya E1b1b) kwa taarifa yako hii ndo group ya mapharao wengi Misri ambayo umetamka we mwenyewe wazi kuwa ni ya watu weusi! Kama una uhakika na unaloongea na unataka nikuamini nipe prove hapa ya Vinasaba kutoka kwa Pharao yoyote vinavyothibitisha kuwa alikuwa mwarabu au mzungu!
Huwezi kuleta hoja ukaiita hoja nzito kwa kutolea mfano wa Vinasaba vya watu waliopo sasa! Ili hali tunawazungumzia ancestors! Na mummy za mafarao ipo na wengi wao wameshapimwa DNA na kuthibitika wana vinasaba vya watu weusi tii! Lete prove ya vinasaba vya mafarao waarabu au wazungu nikuamini.
 
Hata Yesu Kristo mwana wa Yoseph alikuwa mweusi tii na nywere za kipilipili! Na ndio sababu utotoni alifichwa Misri kumkwepa Herode, kama angekuwa mzungu kama tunavyoonyeshwa kwenye sinema huko Misri wasingemficha...ila kwakuwa alikuwa mweusi basi alichangwanywa na weusi wenzanke.
Lugha ya mifano aliyokuwa akiitumia Yesu kwa mujibu wa biblia, asili take ni hapa usukumani...wazungu hawafundushi kupitia mifano ya "mpanzi na mbengu zilizoanguka kandokando ya njia..."
Na kuna theories mbalimbali zinasadiki hata wana wa israel walikuwa blacks tiiii! Mkuu tunateswa na laana ya kujidharau watu weusi
 
Sijatoa ushahidi wa youtube kama ndiyo prove ya hii inshu, ila hata picha inaweza kuthibishisha jambo kama kweli au sio!, ni aina gani ya prove unayoipenda ili uiamini!?
 
Maurice Bucaile,Mwanasayansi na mwandishi wa kitabu kiitwacho: The Bible,Qur-an and Science, ukimsoma unaweza kupata mengi kuhusu huyo Firaun alifariki katika maji. Huyo ndiye ambaye Qur-an ilimzungumzia kuwa atahifadhiwa ili iwe mazingatio kwa watu. Mtoa post namshauri apate wasaa wa kukipitia kitabu hicho.
 
Hutakiwi kusoma bible and quran pekee ili kupata ukweli wa haya soma vitabu vingi zaidi ya vivyo viwili, funga safari nenda Misri, kule unaweza kupata mapya kuliko kitabu cha bible quran and science tuu!
 
Kwani RED INDIANS WA NORTH AMERICA WAKO WAPI? na AUSTRALIA wale watu wa asili wako wapi? MZUNGU NENDA NAE KWA HEKIMA NA BUSARA PAMOJA NA UFAHAMU WA HALI YA JUU. ..
Ila hawa red Indians ,South America wamejaa kibao pale Brazil. Colombia, Venezuela n.k
Nalog off
 
Back
Top Bottom