Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Watu sio vichaa mzee, Daktari kutoka Uingereza ndiye aliyethibithisha, kuwa Mapharao walikuwa ni black, kupitia matokeo ya DNA ya ramsey lll, alithibitisha kuwa vinasaba avyovikuta katika mwili wa Ramsey lll, vinapatikana katika nchi za sahara Ethiopia Kenya na Sudan! soma wikipedia au

Acha ubishi usio na kichwa wa miguu mzee.

Sijui umefanikiwa kumelimisha huyu jamaa anaekataa ukweli na anaukubali uongo wawazungu. Usijisumbue bro ameshajidharau huyo.
 
Nawe macho yako yamekuonesha daraja hapo, sasa mm hata sijataja neno daraja, we ndo umesoma hivyo tu. Tofauti zetu za kuelewa inaanzia hapo. Ukishaanza kuwa na uelewa utanifatilia.
Hehehe unafurahisha kweli. Unajua hata mwehu huona wazima ndio wehu. Pole
 
Hehehe unafurahisha kweli. Unajua hata mwehu huona wazima ndio wehu. Pole
Ni kweli haswa! Ila yupi mwehu kati yetu? Mi nimekupa mfano wa daraja upambanue mambo, umeshindwa. Nani mwehu kati yetu? Haya nakutafunia, kila kitu hutendeka kulingana na hitaji husika, mfano wa daraja ulimanisha hivyo. Umeshamjua nani mwehu sivyo?

Haya sasa rudi kwa post za nyuma, utaelewa kipi kilimaanisha. Au we ulishawahi kuhisi au kusoma mahali kwamba, waafrika kwa mifumo ya maisha yao kabla ya wageni walikuwa na mapungufu yaliyowahitaji wageni waje?
 
Hata Yesu Kristo mwana wa Yoseph alikuwa mweusi tii na nywere za kipilipili! Na ndio sababu utotoni alifichwa Misri kumkwepa Herode, kama angekuwa mzungu kama tunavyoonyeshwa kwenye sinema huko Misri wasingemficha...ila kwakuwa alikuwa mweusi basi alichangwanywa na weusi wenzanke.
Lugha ya mifano aliyokuwa akiitumia Yesu kwa mujibu wa biblia, asili take ni hapa usukumani...wazungu hawafundushi kupitia mifano ya "mpanzi na mbengu zilizoanguka kandokando ya njia..."
Pamoja na wewe kuweka mbwembwe za kisukuma,nafurahi kuslona waafrika mnaanza kujua historia yenu....maana viongozi wengi dini hasa wa kiafrika hawajui jambo hili
 
Ni kweli haswa! Ila yupi mwehu kati yetu? Mi nimekupa mfano wa daraja upambanue mambo, umeshindwa. Nani mwehu kati yetu? Haya nakutafunia, kila kitu hutendeka kulingana na hitaji husika, mfano wa daraja ulimanisha hivyo. Umeshamjua nani mwehu sivyo?

Haya sasa rudi kwa post za nyuma, utaelewa kipi kilimaanisha. Au we ulishawahi kuhisi au kusoma mahali kwamba, waafrika kwa mifumo ya maisha yao kabla ya wageni walikuwa na mapungufu yaliyowahitaji wageni waje?
Nilikupa point nyingi sana kuhusu nini hasa ni maendeleo.

Katika point hizo umedakia Daraja tu.
Mbona elimu bora huongelei? Mbona vifaa vya kisasa mahospitalini huongelei? Au umekaririshwa ?
 
Nilikupa point nyingi sana kuhusu nini hasa ni maendeleo.

Katika point hizo umedakia Daraja tu.
Mbona elimu bora huongelei? Mbona vifaa vya kisasa mahospitalini huongelei? Au umekaririshwa ?
Elimu bora ikoje? Kwanza nini maana ya elimu? Au ni majengo ya kisasa nk? Elimu ni taaluma imwezeshayo mtu kuyakabili mazingira yake. Sa mwafrika hakuyakabili vyema mazingira yake?

Zilitolewa elimu bora kabla ya wageni ktk sekta zote. Jiografia, kilimo, ufugaji, uvuvi, uhunzi, ujenzi nk. Ktk nyanja zote hizi elimu ilitolewa tena kwa ustadi mkubwa tu. Achilia mbali elimu ya matibabu,unajimu,nk.

Hospitali zilikuwepo kwa levo hizo na baadhi ya maeneo hadi operesheni zilifanyika.
 
Nilikupa point nyingi sana kuhusu nini hasa ni maendeleo.

Katika point hizo umedakia Daraja tu.
Mbona elimu bora huongelei? Mbona vifaa vya kisasa mahospitalini huongelei? Au umekaririshwa ?
Jinsi unavyokuja sasa ni kama uko nje ya mada vile. Unataka kumaanisha wakati wazungu wanakuja huku kwao walishafikia kuwa na zana bora mahositalini mwao au?
 
Jinsi unavyokuja sasa ni kama uko nje ya mada vile. Unataka kumaanisha wakati wazungu wanakuja huku kwao walishafikia kuwa na zana bora mahositalini mwao au?
Ndio walikua wameadvance kuliko sisi. Na ndio maana hata wakafika huku. Wewe Treni yenyewe mpaka wao walete ndio ukaifahamu.
 
Uzi huu hauna majibu ni ubishani tu na kila mmoja kuonesha umahiri wake ktk history.
 
Ndio walikua wameadvance kuliko sisi. Na ndio maana hata wakafika huku. Wewe Treni yenyewe mpaka wao walete ndio ukaifahamu.
Wewe mpaka hapo ulipofikia una kipi cha kujivunia ambacho hata siku ya mwisho Mungu akikuuliza utasema ulifanya, maana unaonekana mjuzi kweli..
 
Hakuna nchi ambayo mtu mweusi yuko safe zaidi ya Africa tu na hii imekuwa kama culture ya watu wa jamii zingine kuwachukulia watu weusi kama si binadamu kamili na hii inatokana na watu weusi kuwa ni watu wanaotegemea jamii nyingine katika kuendesha maisha yao ya kila siku ila siku watu weusi wakijitambua ya kuwa wenyewe ni wakina nani na wakaondoka na fikra ya kutegemea jamii nyingine naimani ubaguzi huu utakwisha kwani wnasema ukilijua tatizo ndio wanzo wa kuisha kwa tatizo bt changamoto iliyopo ni kuwa jamii nyingine zinakesha kuhakikisha ili lisiwezekane
 
Ndio walikua wameadvance kuliko sisi. Na ndio maana hata wakafika huku. Wewe Treni yenyewe mpaka wao walete ndio ukaifahamu.
Unaweza ukajenga daraja la kigamboni Morogoro mjini? Hadi wazungu wanakuja huku hawakuwa na uwezo wa kukuna nazi..... kibao cha nazi. Halafu, nahisi unadhani wazungu wote walikua kitekinolojia kwa mfumuko mmoja tu. Eti kwakuwa wao ni wazungu wana akili.

Wapo walioanza, wengine wakabakia na teknolojia ya chini kwa miaka. Njia nyingi zinatumika kupata teknolojia, si ubunifu kichwani tu.... Kuinunua, wizi nk.

Jambo la msingi la mtu kujiuliza hapa ni je wazungu ni binadamu? Je walipitia walopitia wengine? Ukipata hayo majibu, labda ndo ujiulize kwanini leo wao wako juu zidi ya wengine.

Ni wanadamu tu, wamepitia kuabudu vyote tulivyovipitia sisi, wamepitia teknolojia za mawe, nguo za magome, kuishi mapangoni, kuua albino, uchawi, nk. Mitungi, nyumba za nyasi, jembe la mkono, nk. Sa kama sote tumevipitia vyote tofauti ingetokea wapi zaidi ya wakati tu?

Na kama wote tuko sawa, cha ajabu kitakuwa kipi Misri kuwa la blacks hapo kale? General Hannibal,alikuwa mweusi nchi yake kwa leo hii ndio Tunisia na jirani wa hapo sa kwanini majirani zake wasiwe mafarao?
 
Ndo umemaliza?

"Ijue Historia ya Firauni na Uongo Aliozushiwa"

Je unaona ulichoandika kinaendana na heading?

Thread kama Bongo Movie.
Kweli kabisa,mimi nilitegemea nitapata historia nzima ya ferauni lakini sijaona
 
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II!

Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake!!![emoji4][emoji5][emoji5]

Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini hili! wenye Degree na PHD!! Kwa kweli ni maajabu makubwa mno haya! hapa utaamini kuwa Binadamu ni dhaifu sana kwenye imani!, na ni rahisi sana kumteka mtu yoyote akili kwa kutumia kivuli cha Dini/Imani..

Leo hii kitabu chochote kitakatifu kingesema Kuiba si dhambi na mtu ili ufike mbinguni ni lazima uwe mwizi, basi tungeshuhudia watu wengi wasomi na wasio wasomi wakiwa ni wevi!! Yote ni kwa sababu binadamu wengi zaidi ni weak mno kwenye Imani!

Turudi kwenye maada.

Great ramesses ll alizikwaje?

Mwanzo alizikwa kwenye kaburi KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.

Miaka mingi baadae waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika hieroglyphics.
Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo, na baadhi ya makaburi, majumba, na makumbusho mengine kupotea kabisa!
Huku mwili Wa Great Ramesses ll Nao ukipotea katika matetemeko hayo.

Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa Red sea.

Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida.

Pia si mwili wa ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya misri, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.

View attachment 463571
MWILI WA PHARAO RAMESSES ll / Firauni Uliopo kwenye maonyesho ya Ancient Egypt.
View attachment 463572
SANAMU YA GREAT RAMESSES II ILIYOPO GIZA EGYPT

Nawasilisha
Secret Star
Watu wa mashariki ya kati,wakiwemo waarabu sio weupe,ila walioana sana na mataifa ya watu weupe.Na hii ilitokana na waarabu kusafiri sana hasa nchi za ulaya.Na bado wapo mpaka leo, waarabu wenye rangi za giza.
Na hii pia ndio inayopelekea waarabu wengi kurudi nchi za ulaya,bila wao kujijuwa wanarudi kwenye za asili ya mabibi zao.
 
For sure..
 
Ndugu zangu. Kitu watu hamjui ni hii dhana ya "white and black"

Eleweni dhana hii imeundwa na Wazungu. Na kimsingi haileweki kabisa. Ukisema Ethiopian ni black ntakuuliza vipi Barbers nao black? Ukisema Barbers ni Black? Ntakuuliza vipi Arab ni black?

Katika dhana yangu nahitaji mtu asema ni race gani mpaka wa black na white Dunian katika mfuatano huu.

1. Nilotics mfano Luo
2.Bantu Sukuma/ Chaga
3. Cushites mfano Somali na Ethiopian.

3. Afroasian mfano Yemen na Berber.

5. Arabs. Saudis na Oman

6. Persian mfano Iran
7. Phonetician mfano Turks na Greeks.

8. Caucasian mfano German

Haya nitajia blacks ni wapi na white ni wapi katika orodha hiyo.

Ukisha weka mpaka hapo juu tazama rangi ya race inayofuata katika mfuatano niliouweka.
 
Back
Top Bottom