Dalili ya kushindwa kujibu hoja hii manake nilishaongea kabla kwamba:
Na hata intermidiate history inasema Wakoloni walikuja Afrika kutafuta malighafi ya kulisha viwanda vyao kule Europe... kumbe walikuja huku wakati wameshapiga hatua ya viwanda kule kwao! Endapo Afrika tungekuwa tumeendelea japo kwa kilimo; nadhani historia ingekuwa sio hii... badala ya kuwa na history ya utumwa basi huenda ingekuwa history ya biashara na utumwa au hata biashara peke yake!
Kwavile textile industry ilishakua kule kwao, endapo tungekuwa angalau na textile materials huenda pangekuwa na Wakoloni wafanyabiashara ambao focus yao ingekuwa ni kununua hizo textile materials to Europe!
Itoshe tu kusema kwamba, hadi Wakoloni wanagawana Afrika tayari, Benz walishakuwa wameshatengeneza huu usafiri:
View attachment 463863
Chini ya miaka 50, tayari walikuwa wameshafika hapa:
View attachment 463865
Kisha tujiongeze hapa:
View attachment 463866
SWALI: Hao Wafipa ambao walishakuwa Wahunzi by 1200; nini kiliwazuia kusonga mbele na teknolojia yao ya ufuaji chuma?! Unataka kusema Wakoloni walifika Ufipani before 1800 hata wakazuia maendeleo ya ukuaji wa sekta ya chuma; sekta ambayo huko Ulaya ilishapitia kutoka kwenye stage ya kufua chuma into different shape, largely kukifanya kuwa zana ya ncha kali hadi kukifanya chuma kuwa raw material ya kutengeneza bidhaa zingine!!!!
Hayo maendeleo mnayosingizia Wakoloni kwamba ndo sababu ya sisi kutoendelea ni yapi? Hayo maendeleo mnayosema kabla ya kuja kwao tulikuwa sawa na wao ni yapi?!
FREE TIP: Tip #2 nilikumbia wanahistoria walikuwa wanaandika historia zao kwa kuegemea nani ana-fund hiyo project/publishing project na matokeo yake historia ya Afrika imejaa mauongo kibao!!! Hata historia ya juzi juzi tu hapa ya Zanzibar nayo imejaa uongo!
Kama CIA wasinge-declassify classified far dated 1960's bado hadi leo tungeamini kwamba ni Hayati Baba wa Taifa ndie ali-engineer Muungano wa Tanganyika na Zanzibar! Wakati tupo shule sote sisi tumeimba nyimbo za Hayati Sheikh Abeid Aman Karume kuongoza mapinduzi wakati kuna kila dalili kwamba hakufahamu lolote kuhusu hayo mapinduzi!!!
Tip #3: Viongozi wa Afrika hawakuwa na namna ya kuwaridhisha wanaowaongoza zaidi ya kuwalisha uongo kwamba umaskini wao unatokana na Wakoloni! Walishafahamu in advance kwamba hawakuwa na uwezo wa kuifikisha Afrika pale walipoahidi kwahiyo njia muafaka ilikuwa ni kutafuta wa kuwadondoshea jumba bovu... WAKOLONI !!!!!!!! Kwamba, Wakoloni waliiba raslimali zetu... ukiuliza raslimali zipi; HUPATI JIBU na kama zipo basi ni zile ambazo hata Waafrika wenyewe hawakufahamu umuhimu wake kwahiyo they were just rubbish from African awareness!!!
Kama utajiri waliotuibia ni Fuvu la Mkwawa, NAKUBALI kinyume chake, ndo yale yale ya akina Benard Membe kwenda kuda Masalia ya Mjusi yaliyochukuliwa na Mjerumani!!!!
Tuache ujanja ujanja wa kutafuta mchawi wa matatizo yetu wenyewe vinginevyo tutaendelea kuwa masikini hivi daima!!!!
Hicho mnachosema kwamba hapo kale Afrika na Ulaya tulikuwa sawa kimaendeleo ni sawa na pale watoto wanapoanza darasa la kwanza... hawa wote wanakuwa almost equal but pumba na mchele huwa vinajitenga with time!!! Ni kama MD Students wanapoingia kwa mara ya kwanza pale Muhimbili lakini pumba na mchele hujitenga with time!!