Jibu hoja kwanza,kisha nikujibu hoja yako.Kitabu cha dini unayoiamini kilitokea wapi? na kama hukuona kilikotokea, ni una uhakika ama unadhani? Nini maana ya Mungu kukupa Macho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja kwanza,kisha nikujibu hoja yako.Kitabu cha dini unayoiamini kilitokea wapi? na kama hukuona kilikotokea, ni una uhakika ama unadhani? Nini maana ya Mungu kukupa Macho?
Ooh bahati mbaya siko hapa kubishana mzee, siko kwa ligi hapa! Nenda kwenye thread nyingibe unaweza kufanya ligi.Jibu hoja kwanza,kisha nikujibu hoja yako.
Hapa siwezi kupita bila likeWale wale... eti ukoloni!!!
Sasa kama miaka ya 1400 tulikuwa sawa, ilikuwaje tena tukazidiwa maarifa na watu ambao tulikuwa nao sawa?! Hivi mbona mnakubali kudanganywa danganywa kirahisi hivi?!
Thanks God sikusoma history manake na mimi ningeishia kudanganywa danganywa kama ambavyo mmedanganywa wengine na hamkuwa na namna; mlilazimika kumeza hayo mauongo ili hatimae muweze kufaulu mitihani!!!
Kwa historia yangu hiyo hiyo ya kuunga unga, nafahamu mtu kama Vasco Da Gama alianza kuzunguka dunia miaka zaidi 600 iliyopita!
Hao Wakoloni mnaowasingizia, waliingia Afrika wakati kule kwao wakiwa wameshapiga hatua kubwa si ya kimaendeleo tu bali pia sayansi na teknolojia...!! Hapa Afrika walikuta nini zaidi ya hayo machuma butu?! Machuma ambayo huko Ulaya yalikuwa tayari yameshaanza kutumika industrially wakati sisi huku ndo kwanza mtu analazimika kushinda kwenye moto kutengeneza kifaa duni cha chuma!!!!
Uchumi ambao Wakoloni waliuacha kwao wakati wanakuja Afrika; sio tu kwamba Afrika hatukuwa na uchumi sawa na huo lakini hadi leo hapa tunapoongea bado hatujaufikia!!!!
Nchi ambazo ziliathiriwa na ukoloni utazijua tu! Kwa mfano India, Singapore and the like! Hawa wanaweza kuwasingizia wakoloni kwa sababu, baada ya Wakoloni kuondoka, wanaonekana walivyopiga hatua!
kinyume chake, Afrika bado tunaendelea kusingizia Wakoloni ingawaje hawakukuta chochote cha maana na hata baada ya kuondoka; majority ya vile vinavyoonekana vina mafungamano na Wakoloni!!!
Leo tutakuokoa. Kiwiliwili chako baada ya kufa ili uwe ni ukumbusho kwa watu wajao mbele,
Inasemekana alikufa ktk gharika baada ya kukufuru kwa kujiita yeye ni Mungu mkuu
Fuatilia au tafuta filaamu moja inaitwa THE MOSES inaelezea kisa chote ambacho wame act wamisri ,wao wanaijua historia kuliko wewe mnyamwezi wa Tabora
Ulikuwa wewe mmatumbi ndio unae ijua [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wamisri wanaijua historia hipi?, kwani wao ndi waliokuwepo kipindi cha Moses?
Watu weusi tuna taabu!! Tusipojiegesha kwa Wayahudi utasikia Misri ya Kale tulikuwa sisi!!
Tulivyo maboya, upande mwingine tunaamini sisi ni watoto wa Ibrahim! Na kuhitimisha uboya kama sio ukila.za wetu hapo hapo tunakubali, Ishmael ni mtoto wa Ibrahim na huyu Ishmael mama ake alitokea Misri! Na kutokana na unduze huo huo tulionao tunakubali Ishmael ndie chimbuko la Waarabu-- kwamba mtoto wa mama Mmisri ndie chimbuko la Waarabu na hivyo kuwa na uwezekano mkubwa kwamba mama ake Ishmael nae alikuwa Mwarabu wa Misri!
Sasa hao Waarabu walienda wapi hadi Misri ikageuka kuwa ya Wamatumbi akina Firauni?! Mbona hawa Wamatumbi hatusikii kwamba ndio wanadamu wa kale nchi jirani na Misri?!
Miafrika bhana... kusikia Wayahudi eti ma-genius na yenyewe inataka kujinasibisha na Wayahudi! Kusikia Mzungu na jeuri yake yote hadi leo hafahamu mapiramidi yalijengwaje... Wamatumbi hao; kama mkojo wa asubuhi kwamba eti mapiramidi yalijengwa na mababu zao!!
Ajabu ni kwamba, hawafananii na chochote na hao kimaarifa! Japo miaka elfu kadhaa ishapita, ndo kwanza wengine tunajiita Tanzania ya Viwanda lakini viwanda vyenyewe ni vile ambavyo Ulaya vilikuwepo miaka 500 iliyopita!
Nimefurahi kwa kunielewa.Hivyo ndivyo tunakwenda,kuutakwa utoe hoja ni kubishana.Ila tutafika.Ooh bahati mbaya siko hapa kubishana mzee, siko kwa ligi hapa! Nenda kwenye thread nyingibe unaweza kufanya ligi.
Mimi sina dhana wala sikuwahi kuwa na shaka juu ya wapi kilipotokea kitabu cha Allah aliye juu.Hata kama nikinukuu ushahidi kutoka kwenye kitabu hicho siwezi kutanguliza tamko "Inawezekana..." au mfano wake sababu sina shaka juu yake.Ooh bahati mbaya siko hapa kubishana mzee, siko kwa ligi hapa! Nenda kwenye thread nyingibe unaweza kufanya ligi.
Hicho chuo cha kwanza,kilikuwa kinaitwaje na kilianzisha mwaka gani ? Tupatie faida tafadhali.Afrika ndo bara la kwanza kuwa na chuo kikuu ktk dunia hii. Na si Afrika ya waarabu bali weusi, na ni kabla ya muingiliano na weupe wa ulaya. Sijui hapa unasemaje.
Timbuktu university, was the world's oldest university mkuu.Hicho chuo cha kwanza,kilikuwa kinaitwaje na kilianzisha mwaka gani ? Tupatie faida tafadhali.
Umesahau kuniandikia na mwaka.Timbuktu university, was the world's oldest university mkuu.
Karne ya 12 kilikuwa na wasomi 25000 kutoka sehemu mbalimbali za Afrika, haswa mataifa jirani na taifa la Mali la zamani.Umesahau kuniandikia na mwaka.
Nimesema Wayahudi ni ma-genius au nimesema... "kusikia ETI Wayahudi ni....!" Kwani watu si ndivyo wanavyoambiana!!!!naomba uniambie u-genius wa wayahudi ni upi??
Wasomi wa taaluma ipi?! Manake kama unatk kuzungumzia vyuo vikuu vya Mali hususani Timbuktu, inafahamika focus yao ilikuwa sana kwenye masuala ya dini ya Kiislamu na kidog masuala ya biashara ambayo pia imezungumzwa sana kwenye dini ya Kiislamu hasa ukizingatia hata Mtume Muhammad kabla ya kupata daraja la utume, alifanya sana biashara kupitia mke wake Bi. Khadija!!!Karne ya 12 kilikuwa na wasomi 25000 kutoka sehemu mbalimbali za Afrika, haswa mataifa jirani na taifa la Mali la zamani.
Unatakiwa kusoma, kutafakari ndipo utakuwa na uwezo wa kuelewa! Nimeandika "... ile kusikia eti Wayahudi ni ma-genius!" Nimesema Wayahudi ni ma-genius hapo?! Kwani watu si ndivyo wanavyoambiana kama sio kudanganyana!" Na hata ukisoma mantiki mzima ya bandiko langu inazungumzia Waafrika na tabia yao ya zoa zoa... kubeba kila wanachosikia na kukiamini!!!Wewe alokwambia mayahud NI magenius nani? Una crame,huo u genius wao NI upi ? Ndani ya ulimwengu Wa sayansi n'a technology kuna mayahud Wangapi,
NI ujinga mkubwa kuamin kua mayahud NI magenius,hii myth imelazimishwa kuingia kwenye akil za watu na watu kuzichukulia kama NI faith kwao,
Leo utasikia eti taifa teule ,chaguo la mungu , wana akil ,Mbona wengine hatuzioni hizo akil walizonazo ,Sababu ukiingia ndani ya ulimwengu Wa sayansi mayahud NI wachache ,ugunduz Wa mambo mengi wala hawausiki ,sasa wana genius gani .hii NI myth iliyo turn into legend ,NI upuuzi .
Halafu hii mambo imekuzwa sana na Christianity,sijui taifa teule,chaguo la mungu ,my foot .ni upuuz mkubwa sana kuamin Jews NI bora kuliko others .
Jifunze kwanza ku-quote manake nashindwa hata jinsi ya kukujibu!!!....
Tatizo unakwepa kujibu maswali yangu! Lakini nitakujibu... tayari vilishakuwapo viwanda vinavyozalisha bidhaa na huo moto ulitumika kama nishati tu kama ambavyo leo tunatumia umeme au mafuta lakini hawakutumia moto kama tulivyokuwa tunatumia sisi... kwamba mhunzi anakaa mbele ya moto na fukufuku lake kuyeyusha chuma kabla hajaanza kulibonda bonda kutafuta umbo ambalo, end product bado ni chuma lenye kali; PERIOD! Kama ambavyo leo tunavyobangua korosho lakini end product bado ni korosho ile ile!!!Chuma kwenye maendeleo ya viwanda? Vilikuwaje hivyo viwanda, havikutumia kuni na makaa kama vile vya wafipa au?
Dalili ya kushindwa kujibu hoja hii manake nilishaongea kabla kwamba:We umeyataja yapi unayoyaita maendeleo ya huko ulaya yaliyo tuzidi huku Afrika kabla ya ujio wao huku, tuanzie hapo. Mi nilikuwa nakupa kanuni za maendeleo, nadhani kwako maendeleo ni vitu si watu.
Na hata intermidiate history inasema Wakoloni walikuja Afrika kutafuta malighafi ya kulisha viwanda vyao kule Europe... kumbe walikuja huku wakati wameshapiga hatua ya viwanda kule kwao! Endapo Afrika tungekuwa tumeendelea japo kwa kilimo; nadhani historia ingekuwa sio hii... badala ya kuwa na history ya utumwa basi huenda ingekuwa history ya biashara na utumwa au hata biashara peke yake!Kwa historia yangu hiyo hiyo ya kuunga unga, nafahamu mtu kama Vasco Da Gama alianza kuzunguka dunia miaka zaidi 600 iliyopita!
Hao Wakoloni mnaowasingizia, waliingia Afrika wakati kule kwao wakiwa wameshapiga hatua kubwa si ya kimaendeleo tu bali pia sayansi na teknolojia...!! Hapa Afrika walikuta nini zaidi ya hayo machuma butu?! Machuma ambayo huko Ulaya yalikuwa tayari yameshaanza kutumika industrially wakati sisi huku ndo kwanza mtu analazimika kushinda kwenye moto kutengeneza kifaa duni cha chuma!!!!
Uchumi ambao Wakoloni waliuacha kwao wakati wanakuja Afrika; sio tu kwamba Afrika hatukuwa na uchumi sawa na huo lakini hadi leo hapa tunapoongea bado hatujaufikia!!!!
Nchi ambazo ziliathiriwa na ukoloni utazijua tu! Kwa mfano India, Singapore and the like! Hawa wanaweza kuwasingizia wakoloni kwa sababu, baada ya Wakoloni kuondoka, wanaonekana walivyopiga hatua!
kinyume chake, Afrika bado tunaendelea kusingizia Wakoloni ingawaje hawakukuta chochote cha maana na hata baada ya kuondoka; majority ya vile vinavyoonekana vina mafungamano na Wakoloni!!!
Aliefichwa sio yesu ni daudHata Yesu Kristo mwana wa Yoseph alikuwa mweusi tii na nywere za kipilipili! Na ndio sababu utotoni alifichwa Misri kumkwepa Herode, kama angekuwa mzungu kama tunavyoonyeshwa kwenye sinema huko Misri wasingemficha...ila kwakuwa alikuwa mweusi basi alichangwanywa na weusi wenzanke.
Lugha ya mifano aliyokuwa akiitumia Yesu kwa mujibu wa biblia, asili take ni hapa usukumani...wazungu hawafundushi kupitia mifano ya "mpanzi na mbengu zilizoanguka kandokando ya njia..."