Hao walikuwa na elimu kubwa sana ya kuhifadhi miili kwa muda mrefu, mtu akishakufa walikuwa wanamtoa internal organs zote (Figo, Moyo, Maini, utumbo, mapafu, bandama nk) ambazo mara nyingi huwa ni rahisi kuharibika, kisha wanaviweka kwenye vyungu maalumu, na mwili uliobakia bila viungo vya ndani, wanaupaka dawa ambazo zinauezo wa kutunza mwili pamoja na nywele na kisha wanauzunguzia sanda ana bandeji maalumu
Sio Mapharaoh tu ndio waliokuwa wamafanyiwa hivyo, bali hata watu maarufu, Baba yeke Yusuph/Joseph mzee Yakub/Jakob alifia Misri na alikaushwa kama hivyo na aliwekwa kwenye sanduku kama wanavyofanywa mMapharao na alipelekwa kuzikwa kwao