Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II!
Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake!!![emoji4][emoji5][emoji5]
Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini hili! wenye Degree na PHD!! Kwa kweli ni maajabu makubwa mno haya! hapa utaamini kuwa Binadamu ni dhaifu sana kwenye imani!, na ni rahisi sana kumteka mtu yoyote akili kwa kutumia kivuli cha Dini/Imani..
Leo hii kitabu chochote kitakatifu kingesema Kuiba si dhambi na mtu ili ufike mbinguni ni lazima uwe mwizi, basi tungeshuhudia watu wengi wasomi na wasio wasomi wakiwa ni wevi!! Yote ni kwa sababu binadamu wengi zaidi ni weak mno kwenye Imani!
Turudi kwenye maada.
Great ramesses ll alizikwaje?
Mwanzo alizikwa kwenye kaburi KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.
Miaka mingi baadae waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika hieroglyphics.
Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo, na baadhi ya makaburi, majumba, na makumbusho mengine kupotea kabisa!
Huku mwili Wa Great Ramesses ll Nao ukipotea katika matetemeko hayo.
Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa Red sea.
Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida.
Pia si mwili wa ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya misri, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.
View attachment 463571
MWILI WA PHARAO RAMESSES ll / Firauni Uliopo kwenye maonyesho ya Ancient Egypt.
View attachment 463572
SANAMU YA GREAT RAMESSES II ILIYOPO GIZA EGYPT
Nawasilisha
Secret Star
We jamaa kiazi kweli!! Just with Youtube video ndo unakuja with confidence kwamba eti "acha ubishi.....!!"Watu sio vichaa mzee, Daktari kutoka Uingereza ndiye aliyethibithisha, kuwa Mapharao walikuwa ni black, kupitia matokeo ya DNA ya ramsey lll, alithibitisha kuwa vinasaba avyovikuta katika mwili wa Ramsey lll, vinapatikana katika nchi za sahara Ethiopia Kenya na Sudan! soma wikipedia au
Acha ubishi usio na kichwa wa miguu mzee.
Umemjibu vizuri sana sanaMimi niliyeukubali Uafrika wangu na nyie ambao mara mjinasibishe na Wayahudi mara mjinasibishe na akina Farao; ni kati yetu anayestahili kuitwa nyani?! Ni nani kati yetu anayejidharau?! Unaona ulivyo na akili za kitumwa?! Kumbe kutokuwa tayari kujinasibisha na akina Farao ni sawa na kuwa takataka! Na ili usiwe takataka ndio maana hamuishi kujinasibisha na akina Farao na Wayahudi?! Halafu ona unavyotoa mifano irrelevant! Sasa hao Wachina wamejinasibisha na Mafarao?!
Mtu kama mimi ninayekubali Uafrika wangu bila kujinasibisha na yeyote siwezi kujisikia takataka lakini wewe unaeamini eti Farao huenda alikuwa babu yako ndie unayejiona takataka cuz' you can't stand on your own!
Badala ya kunyesha mapovu; jibu hoja!
Anacho maanisha hiyo mwenye fikra Hutu ni kwamba waafrika hatutokani na so watu ulio wataja, na wala kutoka na nao kama unavyotaka wewe haituongezei thamani ya ubinadamu wetuWayaudi unawafahamu?
Mapharao unawafahamu?
huyo sijui unayemwita Ibrahimu ulishawahi kumwona au kuhakikisha kuwa alikuwa ni mweusi au Mzungu?
Hadi Leo sheria za kurudisha teknolojia zinatungwa na wasomi bungeni, mfano ukitengeneza helicopter uungwi mkono, silaha zinaitwA haramu na kuchomwa hadharni halafu serikali inaagiza slaha halali zisizo na madhara kwa wazungu,Kutofanana nao kimaarifa leo ni jambo la kihistoria, haswa ukoloni. Msome Rodney,,, miaka ya 1400 sote tulikuwa sawa hata kiteknolojia. Ufipa walishafikia uhunzi wao zamani sana, biolojia, kilimo, jiografia, ufugaji, usafiri nk almost tulikuwa sawa.
Labda ni kizazi hiki mufilisi ndo kiko nyuma kwao. Vijana waliostahili kurithi maujuzi eidha walipelekwa utumwani au kuzuiwa kuendeleza teknolojia zao,, ili wakoloni walidhibiti soko la bidhaa zao.
Binadamu gani!? hapa ninayemzungumzia ni mapharao na si hao aliowaongeza yeye, binafsi nataka weusi kama nyie mliokata tamaa kwa ni nothing, msikate tamaa na kukazana, sababu kizazi cha Mapharao kilichoweza kukimbiza ulimwengu katika kipindi fulani kilikuwa ni cha watu weusi! Leo ni utoe hayo mawazo kwamba kuna "Miafrika" ujione ukikazana utaweza sababu mababu waliweza!Anacho maanisha hiyo mwenye fikra Hutu ni kwamba waafrika hatutokani na so watu ulio wataja, na wala kutoka na nao kama unavyotaka wewe haituongezei thamani ya ubinadamu wetu
Hivi imewezekanaje mpaka leo bado ana ngozi kwenye mwili wake? je kuna picha za hao wengine ?Yuko makumbusho, na sio yeye pekeyake wako mummies wengi tu
Hadi lini hili jambo liendelee mkuu? Nani na atatoka wapi huyo mjomba wa kuja kutubadilishia? Mi nadhani ni sisi wa kizazi hiki.Hadi Leo sheria za kurudisha teknolojia zinatungwa na wasomi bungeni, mfano ukitengeneza helicopter uungwi mkono, silaha zinaitwA haramu na kuchomwa hadharni halafu serikali inaagiza slaha halali zisizo na madhara kwa wazungu,
Wale wale... eti ukoloni!!!Kutofanana nao kimaarifa leo ni jambo la kihistoria, haswa ukoloni. Msome Rodney,,, miaka ya 1400 sote tulikuwa sawa hata kiteknolojia. Ufipa walishafikia uhunzi wao zamani sana, biolojia, kilimo, jiografia, ufugaji, usafiri nk almost tulikuwa sawa.
Labda ni kizazi hiki mufilisi ndo kiko nyuma kwao. Vijana waliostahili kurithi maujuzi eidha walipelekwa utumwani au kuzuiwa kuendeleza teknolojia zao,, ili wakoloni walidhibiti soko la bidhaa zao.
Piece of written masturbation.Wewe utakuwa mwarabu koko.
Hakuna cha evidence... all are just hypotheses. By the way, nimetaja akina nani?!Evidence za mummies za mafarao ndo zinathibitisha hilo mzee, Kuna mummies kibao pale Giza tembea uone, we unaweza kunionyesha mummies ya hao unaowataja, ili twende tukapate proof maabara?
Ni kweli tumedanganywa sana! Huwa najiuliza hivi kweli wajerumani walishatutawala au ndo hadithi tu kama za akina Yesu na mitume? Eti wamarekani weusi walichukuliwa tena bila ridhaa yao utumwani. Eti Bagamoyo ni kitovu cha utumwa East Afrika.Wale wale... eti ukoloni!!!
Sasa kama miaka ya 1400 tulikuwa sawa, ilikuwaje tena tukazidiwa maarifa na watu ambao tulikuwa nao sawa?! Hivi mbona mnakubali kudanganywa danganywa kirahisi hivi?!
Thanks God sikusoma history manake na mimi ningeishia kudanganywa danganywa kama ambavyo mmedanganywa wengine na hamkuwa na namna; mlilazimika kumeza hayo mauongo ili hatimae muweze kufaulu mitihani!!!
Kwa historia yangu hiyo hiyo ya kuunga unga, nafahamu mtu kama Vasco Da Gama alianza kuzunguka dunia miaka zaidi 600 iliyopita!
Hao Wakoloni mnaowasingizia, waliingia Afrika wakati kule kwao wakiwa wameshapiga hatua kubwa si ya kimaendeleo tu bali pia sayansi na teknolojia...!! Hapa Afrika walikuta nini zaidi ya hayo machuma butu?! Machuma ambayo huko Ulaya yalikuwa tayari yameshaanza kutumika industrially wakati sisi huku ndo kwanza mtu analazimika kushinda kwenye moto kutengeneza kifaa duni cha chuma!!!!
Uchumi ambao Wakoloni waliuacha kwao wakati wanakuja Afrika; sio tu kwamba Afrika hatukuwa na uchumi sawa na huo lakini hadi leo hapa tunapoongea bado hatujaufikia!!!!
Nchi ambazo ziliathiriwa na ukoloni utazijua tu! Kwa mfano India, Singapore and the like! Hawa wanaweza kuwasingizia wakoloni kwa sababu, baada ya Wakoloni kuondoka, wanaonekana walivyopiga hatua!
kinyume chake, Afrika bado tunaendelea kusingizia Wakoloni ingawaje hawakukuta chochote cha maana na hata baada ya kuondoka; majority ya vile vinavyoonekana vina mafungamano na Wakoloni!!!
We jamaa kiazi kweli!! Just with Youtube video ndo unakuja with confidence kwamba eti "acha ubishi.....!!"
That's one but two; hata ukisikiliza hiyo video uliyoweka mwenyewe maelezo mengi ni "... is believed!" WHY is believed? Kwa sababu since then hadi sasa hakuna conclusive evidence kuhusu ancient egyptians. Akina nyie mnaokoteza hypothesis mbalimbali mnakuja na conclusion!!!
By the way, kama Ramses III probably ni Mkenya, Msudani, Mu-Ethiopia au yeyote kati ya hao uliowataja!! How come tena anakuwa babu yako wewe usiye Mkenya Msudan au yeyote miongoni mwa hao?! Au ndo yale yale niliyosema kwamba mnashindwa kujikubali mlivyo na matokeo yake mnaamua kujinasibisha na viumbe vinavyotajwa tajwa sana?!
The problem ya watu kama nyinyi ipo hivi: pakitokea crossbreeing kati ya Mzungu na Mwafrika... mtoto atakayezaliwa hata kama atakuwa mweupe namna gani na nywele nyoronyoro;Wazungu watamkataa na watamuita Mwafrika!!! There's no way atatambulika kama Mzungu!!!
Na ikitokea muhusika Mzungu Mwafrika amekuw mtu mzima na akakataa kwamba si Mwwafrika bali ni Mzungu; ni Waafrika ndio wataongoza kumlaani kwa "kujifanya mzungu!" Suala la kujiuliza ni kwamba, ikiwa mzazi mmoja ni mzungu na mwingine ni Mwafrika... kwanini asiwe Mzungu na ionekane kwamba yeye ni Mwafrika TU?!
Matokeo yake ndo haya! Hakuna evidence yoyote inayothibitisha (sio ku-claim) kwamba baba na mama wa akina Ramsey ni Wabantu lakini kwavile Waafrika ni zoa zoa kwavile hawana cha kujivunia; ndo hapo akina nyie mnakuja hapa na kusema eti Farao ni babu yenu!!!!
VERY FUNNY!
Hivi imewezekanaje mpaka leo bado ana ngozi kwenye mwili wake? je kuna picha za hao wengine ?
Kwani kwako maendeleo ni nini? Tatzo kuu letu ni tafsiri sahihi kwa kila jambo. Na huu ndo utumwa wetu mkuu. Ili uoneshe kuwa umeendelea lazima ujenge ghorofa hata kama uko na ardhi nyingi.Wale wale... eti ukoloni!!!
Sasa kama miaka ya 1400 tulikuwa sawa, ilikuwaje tena tukazidiwa maarifa na watu ambao tulikuwa nao sawa?! Hivi mbona mnakubali kudanganywa danganywa kirahisi hivi?!
Thanks God sikusoma history manake na mimi ningeishia kudanganywa danganywa kama ambavyo mmedanganywa wengine na hamkuwa na namna; mlilazimika kumeza hayo mauongo ili hatimae muweze kufaulu mitihani!!!
Kwa historia yangu hiyo hiyo ya kuunga unga, nafahamu mtu kama Vasco Da Gama alianza kuzunguka dunia miaka zaidi 600 iliyopita!
Hao Wakoloni mnaowasingizia, waliingia Afrika wakati kule kwao wakiwa wameshapiga hatua kubwa si ya kimaendeleo tu bali pia sayansi na teknolojia...!! Hapa Afrika walikuta nini zaidi ya hayo machuma butu?! Machuma ambayo huko Ulaya yalikuwa tayari yameshaanza kutumika industrially wakati sisi huku ndo kwanza mtu analazimika kushinda kwenye moto kutengeneza kifaa duni cha chuma!!!!
Uchumi ambao Wakoloni waliuacha kwao wakati wanakuja Afrika; sio tu kwamba Afrika hatukuwa na uchumi sawa na huo lakini hadi leo hapa tunapoongea bado hatujaufikia!!!!
Nchi ambazo ziliathiriwa na ukoloni utazijua tu! Kwa mfano India, Singapore and the like! Hawa wanaweza kuwasingizia wakoloni kwa sababu, baada ya Wakoloni kuondoka, wanaonekana walivyopiga hatua!
kinyume chake, Afrika bado tunaendelea kusingizia Wakoloni ingawaje hawakukuta chochote cha maana na hata baada ya kuondoka; majority ya vile vinavyoonekana vina mafungamano na Wakoloni!!!
Kwani kutosoma histori ndo kusoma sayansi...we wa wapi wewe!!! By the way, unadhani hayo uliyoongea ndo yanafuta ukweli kwamba mmedanganywa?!!Ni kweli tumedanganywa sana! Huwa najiuliza hivi kweli wajerumani walishatutawala au ndo hadithi tu kama za akina Yesu na mitume? Eti wamarekani weusi walichukuliwa tena bila ridhaa yao utumwani. Eti Bagamoyo ni kitovu cha utumwa East Afrika.
Eti mikonge na buni hayakuwa mazao yetu ya asili na tulilimishwa kwa nguvu. Akina Mkwawa, majimaji nk zote ni hadithi na kamwe hazina athari kwetu. Ukristo upo kiasili hapa nchini. Nilitakiwa kusoma sayansi bana, hongera zako.
Tuundie ndege sasa, au ndo historia ya sayansi tuisomayo huku? Tumesema tuna utumwa wa kifikra. Hatujazaliwa nao tumeingiziwa kichwani, na hatutafanya lolote ktk yote hadi tuutoe.