We jamaa kiazi kweli!! Just with Youtube video ndo unakuja with confidence kwamba eti "acha ubishi.....!!"
That's one but two; hata ukisikiliza hiyo video uliyoweka mwenyewe maelezo mengi ni "... is believed!" WHY is believed? Kwa sababu since then hadi sasa hakuna conclusive evidence kuhusu ancient egyptians. Akina nyie mnaokoteza hypothesis mbalimbali mnakuja na conclusion!!!
By the way, kama Ramses III probably ni Mkenya, Msudani, Mu-Ethiopia au yeyote kati ya hao uliowataja!! How come tena anakuwa babu yako wewe usiye Mkenya Msudan au yeyote miongoni mwa hao?! Au ndo yale yale niliyosema kwamba mnashindwa kujikubali mlivyo na matokeo yake mnaamua kujinasibisha na viumbe vinavyotajwa tajwa sana?!
The problem ya watu kama nyinyi ipo hivi: pakitokea crossbreeing kati ya Mzungu na Mwafrika... mtoto atakayezaliwa hata kama atakuwa mweupe namna gani na nywele nyoronyoro;Wazungu watamkataa na watamuita Mwafrika!!! There's no way atatambulika kama Mzungu!!!
Na ikitokea muhusika Mzungu Mwafrika amekuw mtu mzima na akakataa kwamba si Mwwafrika bali ni Mzungu; ni Waafrika ndio wataongoza kumlaani kwa "kujifanya mzungu!" Suala la kujiuliza ni kwamba, ikiwa mzazi mmoja ni mzungu na mwingine ni Mwafrika... kwanini asiwe Mzungu na ionekane kwamba yeye ni Mwafrika TU?!
Matokeo yake ndo haya! Hakuna evidence yoyote inayothibitisha (sio ku-claim) kwamba baba na mama wa akina Ramsey ni Wabantu lakini kwavile Waafrika ni zoa zoa kwavile hawana cha kujivunia; ndo hapo akina nyie mnakuja hapa na kusema eti Farao ni babu yenu!!!!
VERY FUNNY!
Asalam
Dah kwakweli thread kamaa hii ilinipita sana.
Lakini hii afrocentrism kama sijakosea inafurahisha sanaa
1) wanadai ya kwamba wamisri wa zamani na amazigh(barbara au north africa) walikuwa weusi tii
2) wanadai pia wayahudi ni watu weusi
3) wanadai pia waarabu wa zamani ni weusi tiii.
Sasa kitu cha kushangaza wanapoulizwa iweje leo misri ni watu weupe kwa asilimia kubwa? Jibu la haraka sana watajibu ya kwamba waarabu wamekuja na kufuta weusi woote. Hapohapo wameshasahau ya kwamba walisema ya kwamba waarabu pia walikuwa weusi. Haya, ukiwauliza iweje waarabu wakawa weupe tena? Jibu la haraka tena watakwambia wale ni mabaki ya warome na waturk. Haya sawa. Je kwasababu ipi mpaka leo spain hakuna mabaki ya watu weusi (wabarbara na waarab) waliotawala huko kwa karibia miaka 600. Jibu hakuna. Ok.
Ukija kwenye mambo sayansi ya dna kwa waarabu dna yao kubwa ni haplogroups J-M172 na J-M267 kwa kiwango kikubwa karibia 70% na dna hiyo ndiyo ilipoanzia(origin) mashariki ya kati kwa haohao watu weupe na inayofwatiwa kwa kiwango kikubwa ni haplogroup E1b1b na E1b1a na origin yake ni north africa kwa kiwango cha 15% kwa watu haohao weupe. Naziko dna zengine zenye % ndogondogo.
Haya ukija kwa watu wa north africa (masri, morocco, libya, algeria) dna yao kubwa ni haplogroup E1b1b na E1b1a kwa kiwango cha 70% hivyohivyo inayofuatiwa ni haplogroup J na kwa watu haohao weupe. Pia nitaongeza kitu haplogroup ya E1b1b na E1b1a inapatikana pia kwa kiwango kikubwa kwa horn of africa( ethiopia na somalia etc) na inafuatiwa na J. Ok
Ukija kwenye waturk wana dna nyingi na mojawapo ni J na R na G kwa kiwango cha 24 % na 15% na 11% kumbuka J ni asili ya arabia na R ni asili ya europe na G ni asili ya western asia na pia kuna vipande vingi vidogodogo. Ok.
Ukija kwa waeurope dna yao kubwa ni R.
Sasa swali linakuja iweje haplogroup ya R ya wazungu ibadilike na kuwa J kwa waarabu? Na iwe ndio mabaki ya watu weupe wa arabia?
Pili iweje north africa wawe na haplogroup mbili moja ya E yenye asili north africa na horn africa pamoja na J yenye asili ya arabia wawe weupe? Na wote ni weusi. Tatu, dna ya wabantu asilimia kubwa ni haplogroup L na wala si ya E wal J. Iweje leo black america awafundishe historia waarabu, wamisri na wayahudi ikiwa wenyewe wanaijua na kwa jina za koo za mababu na mababu. Wakati yeye mwenyewe jina la babu mzaa babu yake hamjui na wala hajui anatoka wapi africa na nchi gani na mkoa gani hhhha na wala hana asili la jina lake(mfano anaitwa smith).
Kwakweli hawa afrocentrism wanafurahisha saanaa.