Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Mmmmh,
 
Godess ISIS alichukua vipawa vyote vya AMUN RA wakati AMUN RA alipokuwa mgonjwa! Na hakumbakishia kitu! Very very interesting!
yeah natambua mpaka mumification ya anubis kwa babayake srs.... na hata ukasome wapi utaona first mumification ilifanyika egypt na anubis
 
Dunia hii lazima kujipenda na kujithamini Jinsi ulivyo! Take a good control of your life!
ukitaka kujua chanzo cha maandish (education) yamegundulika egypt na THOTH mungu aliyekitambulika kwa alama ya mwezi hahahahahahaaa alafu mskitini utakuta alama ya nyota na mwezi thoth aliishi before christ


we were kings and queen never porchy monkeys
 
Kabisa na ndiyo maana wakatuletea vitu vya ku control our minds! Waka tuonyesha jinsi ya kufikiri tena with limitations na ukiwaza beyond unaambiwa ni dhambi! Hahahaha hawa watu wa pink ni wajanja sana, maana wao sio weupe na sio wazungu, maana ya mzungu kwenye Kamusi ni glorified one, wanajua kuwa mdomo unaumba. Afanalek hawa watu! Hivi ulisha msoma Mansa Mussa wa Timbuktu, Mali?
 
Dada Isis nipe elimu hiyo unasema Amun Ra alichukuliwa nguvu zake zote na Isis wakati anaumwa, hebu nielekeze vizuri Malkia wangu.
Amun Ra! Please google Egyptology, yaani kuna habari nyingi sana na ziko very very interesting, maana nikikuandikia utakuwa una miss a lot, alafu inapendeza zaidi ukiwa umesoma Biblia Takatifu yote! Kuna vitu utaviona Secret Star! Wishing you a blessed day!
 
Poa ngoja niperuzi Malkia mkuu
 
daaah kitambo sana nawajua mandingo ma genious wakwanza kufika america kabla ya christopher...mansa fogo ever bin yan hakuna tajiri ataingia pale
 
nahis ni pale alipogongwa na nyoka aina ya cobra na kuambiwa hatatibiwa mpaka ampe siri (walikua wanajokes sana) raa alisema sijapata kuumwa na mdudu kama huyu maana wote nimewaumba mimi....kumbe dogo alimtengeneza akamtegeshea hhahhhauaa raa akatoa siri zake


see till nowadays utaona mafarao wanavaaga kofia za symbol ya nyoka aina ya cobra shwaaaaaaaaa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…