ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Dunia hii lazima kujipenda na kujithamini Jinsi ulivyo! Take a good control of your life!hahhhhaa mentak slavery na kutokutambua mambo...anajipenda kama mweus ila hajui kuna nn ndan yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia hii lazima kujipenda na kujithamini Jinsi ulivyo! Take a good control of your life!hahhhhaa mentak slavery na kutokutambua mambo...anajipenda kama mweus ila hajui kuna nn ndan yake
Mmmmh,Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II!
Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake!!![emoji4][emoji5][emoji5]
Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini hili! wenye Degree na PHD!! Kwa kweli ni maajabu makubwa mno haya! hapa utaamini kuwa Binadamu ni dhaifu sana kwenye imani!, na ni rahisi sana kumteka mtu yoyote akili kwa kutumia kivuli cha Dini/Imani..
Leo hii kitabu chochote kitakatifu kingesema Kuiba si dhambi na mtu ili ufike mbinguni ni lazima uwe mwizi, basi tungeshuhudia watu wengi wasomi na wasio wasomi wakiwa ni wevi!! Yote ni kwa sababu binadamu wengi zaidi ni weak mno kwenye Imani!
Turudi kwenye maada.
Great ramesses ll alizikwaje?
Mwanzo alizikwa kwenye kaburi KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.
Miaka mingi baadae waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika hieroglyphics.
Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo, na baadhi ya makaburi, majumba, na makumbusho mengine kupotea kabisa!
Huku mwili Wa Great Ramesses ll Nao ukipotea katika matetemeko hayo.
Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa Red sea.
Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida.
Pia si mwili wa ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya misri, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.
View attachment 463571
MWILI WA PHARAO RAMESSES ll / Firauni Uliopo kwenye maonyesho ya Ancient Egypt.
View attachment 463572
SANAMU YA GREAT RAMESSES II ILIYOPO GIZA EGYPT
Nawasilisha
Secret Star
yeah natambua mpaka mumification ya anubis kwa babayake srs.... na hata ukasome wapi utaona first mumification ilifanyika egypt na anubisGodess ISIS alichukua vipawa vyote vya AMUN RA wakati AMUN RA alipokuwa mgonjwa! Na hakumbakishia kitu! Very very interesting!
naaam naamDunia hii lazima kujipenda na kujithamini Jinsi ulivyo! Take a good control of your life!
ukitaka kujua chanzo cha maandish (education) yamegundulika egypt na THOTH mungu aliyekitambulika kwa alama ya mwezi hahahahahahaaa alafu mskitini utakuta alama ya nyota na mwezi thoth aliishi before christDunia hii lazima kujipenda na kujithamini Jinsi ulivyo! Take a good control of your life!
Kabisa na ndiyo maana wakatuletea vitu vya ku control our minds! Waka tuonyesha jinsi ya kufikiri tena with limitations na ukiwaza beyond unaambiwa ni dhambi! Hahahaha hawa watu wa pink ni wajanja sana, maana wao sio weupe na sio wazungu, maana ya mzungu kwenye Kamusi ni glorified one, wanajua kuwa mdomo unaumba. Afanalek hawa watu! Hivi ulisha msoma Mansa Mussa wa Timbuktu, Mali?ukitaka kujua chanzo cha maandish (education) yamegundulika egypt na THOTH mungu aliyekitambulika kwa alama ya mwezi hahahahahahaaa alafu mskitini utakuta alama ya nyota na mwezi thoth aliishi before christ
we were kings and queen never porchy monkeys
Dada Isis nipe elimu hiyo unasema Amun Ra alichukuliwa nguvu zake zote na Isis wakati anaumwa, hebu nielekeze vizuri Malkia wangu.So be it!
Amun Ra! Please google Egyptology, yaani kuna habari nyingi sana na ziko very very interesting, maana nikikuandikia utakuwa una miss a lot, alafu inapendeza zaidi ukiwa umesoma Biblia Takatifu yote! Kuna vitu utaviona Secret Star! Wishing you a blessed day!Dada Isis nipe elimu hiyo unasema Amun Ra alichukuliwa nguvu zake zote na Isis wakati anaumwa, hebu nielekeze vizuri Malkia wangu.
Poa ngoja niperuzi Malkia mkuuAmun Ra! Please google Egyptology, yaani kuna habari nyingi sana na ziko very very interesting, maana nikikuandikia utakuwa una miss a lot, alafu inapendeza zaidi ukiwa umesoma Biblia Takatifu yote! Kuna vitu utaviona Secret Star! Wishing you a blessed day!
daaah kitambo sana nawajua mandingo ma genious wakwanza kufika america kabla ya christopher...mansa fogo ever bin yan hakuna tajiri ataingia paleKabisa na ndiyo maana wakatuletea vitu vya ku control our minds! Waka tuonyesha jinsi ya kufikiri tena with limitations na ukiwaza beyond unaambiwa ni dhambi! Hahahaha hawa watu wa pink ni wajanja sana, maana wao sio weupe na sio wazungu, maana ya mzungu kwenye Kamusi ni glorified one, wanajua kuwa mdomo unaumba. Afanalek hawa watu! Hivi ulisha msoma Mansa Mussa wa Timbuktu, Mali?
nahis ni pale alipogongwa na nyoka aina ya cobra na kuambiwa hatatibiwa mpaka ampe siri (walikua wanajokes sana) raa alisema sijapata kuumwa na mdudu kama huyu maana wote nimewaumba mimi....kumbe dogo alimtengeneza akamtegeshea hhahhhauaa raa akatoa siri zakeAmun Ra! Please google Egyptology, yaani kuna habari nyingi sana na ziko very very interesting, maana nikikuandikia utakuwa una miss a lot, alafu inapendeza zaidi ukiwa umesoma Biblia Takatifu yote! Kuna vitu utaviona Secret Star! Wishing you a blessed day!
Mansa Mussa, Mwenye Enzi Mungu atupe tena hizo roho!daaah kitambo sana nawajua mandingo ma genious wakwanza kufika america kabla ya christopher...mansa fogo ever bin yan hakuna tajiri ataingia pale
nahis ni pale alipogongwa na nyoka aina ya cobra na kuambiwa hatatibiwa mpaka ampe siri (walikua wanajokes sana) raa alisema sijapata kuumwa na mdudu kama huyu maana wote nimewaumba mimi....kumbe dogo alimtengeneza akamtegeshea hhahhhauaa raa akatoa siri zake
see till nowadays utaona mafarao wanavaaga kofia za symbol ya nyoka aina ya cobra shwaaaaaaaaa
verse ya mwisho ya nyimbo ya Nas,ican toka mwaka 2000 sjui alizungumzia mji wa timbuktu (chuo kikuu cha kwanza dunian) wageni walikuja kupata elim bdae wakatugeuka) kush timbuktuMansa Mussa, Mwenye Enzi Mungu atupe tena hizo roho!
yap mule mule mama wa sphinx (horus)
Yop! Na kuifanya Timbuktu in Mali iwe kichekesho cha duniani kote! Mtu wa pink alaniwe milele walahi! Afanalek!verse ya mwisho ya nyimbo ya Nas,ican toka mwaka 2000 sjui alizungumzia mji wa timbuktu (chuo kikuu cha kwanza dunian) wageni walikuja kupata elim bdae wakatugeuka) kush timbuktu