Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
- Thread starter
-
- #261
Hivi tofauyi kubwa kati ya Ra na Horus ni ipi? Maana Ra na Horus wote hufananishwa na falcon? Hebu tusaidizane wote hapa tupeane mawazoYop! Na kuifanya Timbuktu in Mali iwe kichekesho cha duniani kote! Mtu wa pink alaniwe milele walahi! Afanalek!
horus ni mtoto wa osrs ambaye ni mungu wa air...war na vingne nmesahau.. huyu alizaliwa kama yesu wakat baba yake ameshafariki achana na ile movie ya gods of egypt mule kuna mambo yamepunguaHivi tofauyi kubwa kati ya Ra na Horus ni ipi? Maana Ra na Horus wote hufananishwa na falcon? Hebu tusaidizane wote hapa tupeane mawazo
Kama Ra ni baba wa mababa vipi kuhusu Atum?horus ni mtoto wa osrs ambaye ni mungu wa air...war na vingne nmesahau.. huyu alizaliwa kama yesu wakat baba yake ameshafariki achana na ile movie ya gods of egypt mule kuna mambo yamepungua
ila raa ni baba wa mababa ambaye anasolar (jua) rise and shine
ka skosei
HORUS ni mtoto wa ISIS NA OSIRI, RA ni JUA , lakini watu wa pink wamegeuza geuza sana! ISI RA EL, RA MA DHAN, ukiangalia wamechanganya maandiko sana ili ku confuse watu, ndiyo maana sasa hivi ni imani yako tu ndiyo itakayo kuponya! Ni inside out sio outside in!Hivi tofauyi kubwa kati ya Ra na Horus ni ipi? Maana Ra na Horus wote hufananishwa na falcon? Hebu tusaidizane wote hapa tupeane mawazo
Nipo my dear! Tuendelee kuchambua! Kwani NENO linasema 'Utukufu wa Mwenye Enzi Mungu umefichwa na ni haki ya mfalme kuuchunguza', mind you hakusema mtumwa!Wapi Malkia wangu ISIS na anonymousafrica njooni tujadiliane jamani tupangilie masuala yetu
Amun Rahorus ni mtoto wa osrs ambaye ni mungu wa air...war na vingne nmesahau.. huyu alizaliwa kama yesu wakat baba yake ameshafariki achana na ile movie ya gods of egypt mule kuna mambo yamepungua
ila raa ni baba wa mababa ambaye anasolar (jua) rise and shine
ka skosei
Yaliandikwa lakini bado mtu wa pink aliyabadilisha na kumfanya mtu mweusi kuwa mtumwa wa ulimwengu na kutufanya tuchukiane wenyewe kwa wenyewe! Walibeba vitu vingi sana wakapeleka kwao! Ndiyo maana ukisoma Biblia Takatifu na kuielewa alafu ukajifunza Egyptology, kuna vitu flani unaona vina make sense!Hebu hapa tuelekazane vizuri haya mambo tuyaelewe, maana Online nako kuna contradiction kibao kila mmoja anaandika ambalo alilisikia mahali ila uzuri wake haya mambo yameandikwa kwenye walls kule Egypt
HOURS imetoka kwa jina HORUS, ni mambo mengi kwa kweli na cults nyingi wanatumia ili waweze ku control mind za watu! Kikubwa ni kujiamini na ku think positive!Kwa ambavyo huwa nafikiria ni kuwa Story ya Yesu waliicopy kutoka kwenye Kisa cha Horus! So kama leo Tunavyodai kuwa Yesu ni Mungu Pia Yule Horus alikuwa ndiye Ra na ndiyo maana Horus na Ra walikuwa wakiwekewa alama ya falcon Vichwani kwa sababu ni the same! Horus alizaliwa kwa Mwili lakini Ra ni Roho na ndo maana hata leo tunasema Yesu ni Mwili Duniani ila Mbinguni ni Roho/Mungu. Kifupi unafichwa ukweli watu wasijue. Ra alitambulika kama The Sun God! Ila jambo la ajabu hadi leo hii ni kuwa watu wengi ulimwenguni tunasali Sun day maana yake siku ya Mungu jua, na ndiyo maana ukiangalia nyuma ya kichwa cha michoro mingi ya yesu huwa inawekwa picha ya Jua!/Sun disk/ mwanga fulani ikimaananisha Ni mtukufu kutoka mwanga/jua! Amen na Ra ni miungu miwili tofauti na punde Amen na Ra waunganishapo nguvu zao hupatikana nguvu kubwa isiyo na kipimo na ndiyo maana hawa huwa pamoja daima, Mtu wa Dini yoyote ile ulimwenguni atasali na kumpa sifa anazostahili Ra mwanzo wa sala ila mwisho ni lazima Aseme Amen ili kuunganisha nguvu ya Mungu Ra na Amun.
mwenye wazo hapa anaweza kuongezea au kunikosoa.
Ni kweli, Musa alicopy na kupaste kutoka Egypt akahamishia ustaarabu huo kwenye bible leo tunajidharau wenyewe! Ukisoma kwenye kitabu cha kutoka unaona waisrael wakiwa njiani, baada ya kuona Musa Mbabaishaji, waliamua kuunda ndama wa dhahabu ili kumuabudu, kitu ambacho musa alikipinga hadi akawauwa wote waliofanya vile! So tukirudi Egypt ya kale kulikuwa na Mungu wa upendo wa kike aliyeitwa Hathor! Wamisri walikuwa wakimfananisha mungu huyo na Ndama! So unakuta mambo mengi na ujuzi mwingi waisrael wameutoa MisriYaliandikwa lakini bado mtu wa pink aliyabadilisha na kumfanya mtu mweusi kuwa mtumwa wa ulimwengu na kutufanya tuchukiane wenyewe kwa wenyewe! Walibeba vitu vingi sana wakapeleka kwao! Ndiyo maana ukisoma Biblia Takatifu na kuielewa alafu ukajifunza Egyptology, kuna vitu flani unaona vina make sense!
hahahahaaa secret ur so genious dawg.....each one teach one siku zote
Ankh Alama ya maisha, hii ilitumika kwenye dini ya kale ya misri! Leo wachakachuaji/pink wamegeuza kidogo umekuwa msalaba!
Well done! Shukran! Mwenye Enzi Mungu aendelee kukufungulia yaliyo fichwa, maana haiwezekani the richest continent in the world alafu tunakuwa kama mazezeta kugombana kwenye masiasa ili kupata utajiri! Hell no, it doesn't work that way! Mwafrica ameumbwa ku create sio kufuata mkumbo! Tuamke na tuanze kujithamini, tusiogope bali tusonge mbele na kila mtu a play its part in this beautiful world! A pure mighty positive mind ndiyo itakayo tutoa!
Ankh Alama ya maisha, hii ilitumika kwenye dini ya kale ya misri! Leo wachakachuaji/pink wamegeuza kidogo umekuwa msalaba!
Indeedhahahahaaa secret ur so genious dawg.....each one teach one siku zote