Kwa ambavyo huwa nafikiria ni kuwa Story ya Yesu waliicopy kutoka kwenye Kisa cha Horus! So kama leo Tunavyodai kuwa Yesu ni Mungu Pia Yule Horus alikuwa ndiye Ra na ndiyo maana Horus na Ra walikuwa wakiwekewa alama ya falcon Vichwani kwa sababu ni the same! Horus alizaliwa kwa Mwili lakini Ra ni Roho na ndo maana hata leo tunasema Yesu ni Mwili Duniani ila Mbinguni ni Roho/Mungu. Kifupi unafichwa ukweli watu wasijue. Ra alitambulika kama The Sun God! Ila jambo la ajabu hadi leo hii ni kuwa watu wengi ulimwenguni tunasali Sun day maana yake siku ya Mungu jua, na ndiyo maana ukiangalia nyuma ya kichwa cha michoro mingi ya yesu huwa inawekwa picha ya Jua!/Sun disk/ mwanga fulani ikimaananisha Ni mtukufu kutoka mwanga/jua! Amen na Ra ni miungu miwili tofauti na punde Amen na Ra waunganishapo nguvu zao hupatikana nguvu kubwa isiyo na kipimo na ndiyo maana hawa huwa pamoja daima, Mtu wa Dini yoyote ile ulimwenguni atasali na kumpa sifa anazostahili Ra mwanzo wa sala ila mwisho ni lazima Aseme Amen ili kuunganisha nguvu ya Mungu Ra na Amun.
mwenye wazo hapa anaweza kuongezea au kunikosoa.