Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Mkuu soma post yangu niliyochangia mwanzo utaona rudi kidogo nyuma hapo utaiona
Nimeona hapo unapinga kuwa hakuitwa Ramesses unasema Quran haikutaja jina la pharao wa Enzi za Musa ndo maana mimi nakuomba utusaidie kutuambia Pharao huyo aliitwaje

SM-G955F Samsung S8+
 
Mkuu haikutaja jina lake ndo maana wanahistoria wnafanya jitihada kila mmoja anakuja na theory yake ndo maana hata mleta uzi hapa nate akaona kuwa wanachemka na mi nikasena kila mtu ana haki ya kuwa na mashiko yake lakini kwa mleta uzi kuanza kulaumu vitabu vya dini kuwa vimepotosha sio kweli hata waislamu wao kwa wao hawajakubaliana alikuwa akiitwa na nani na pia hakuna TIJA mungu angetaka angemtaja kwa jina mbona mama yake yesu katajwa jina Anaitwa Maryam mtakatifu au wakristo wanamuita HOLY Mary na kuna wengine wengi wametajwa na hawakuwa hata mitume mfano ni Imraan ambaye alikuwa mchamungu sasa VITABU vimemsingizia vipi kama havikumtaja jina...
 
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese!

Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake!!![emoji4][emoji5][emoji5]

Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini hili! wenye Degree na PHD!! Kwa kweli ni maajabu makubwa mno haya! hapa utaamini kuwa Binadamu ni dhaifu sana kwenye imani!, na ni rahisi sana kumteka mtu yoyote akili kwa kutumia kivuli cha Dini/Imani..

Leo hii kitabu chochote kitakatifu kingesema Kuiba si dhambi na mtu ili ufike mbinguni ni lazima uwe mwizi, basi tungeshuhudia watu wengi wasomi na wasio wasomi wakiwa ni wevi!! Yote ni kwa sababu binadamu wengi ni weak mno kwenye Imani!

Turudi kwenye maada.

Great ramesses ll alizikwaje?

Mwanzo alizikwa kwenye kaburi KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.

Miaka mingi baadae waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika hieroglyphics.

Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo, na baadhi ya makaburi, majumba, na makumbusho mengine kupotea kabisa!
Huku mwili Wa Great Ramesses ll Nao ukipotea katika matetemeko hayo.

Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa Red sea.

Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida.

Pia si mwili wa ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya misri, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.

"Historia yake kwa Ufupi"

Ramesses II, au kwa jina jingine Sese alikuwa ni mfalme wa pili wa Uzao wa 19 wa familia ya kifalme. Na alikuja kuwa miongoni mwa Mapharao wenye nguvu kuwahi kuwepo Misri.

Ramesses II alipewa kiti cha Ufalme mapema kwenye umri wa miaka 20 na akaongoza (kati ya mwaka 1279 BC) hadi alipofariki miaka 67 baadae (1213 BC) kwa maradhi ya mishipa, na ini.
Aliongoza Misri kwa miaka 67 akiwa ni wa pili kuongoza kwa kipindi kirefu zaidi katika historia ya mapharao.

Mbali na Vita Ramses II anakumbukwa mno katika juhudi za utunzaji wa Historia ya Misri katika mahekalu ya Ramesseum pamoja na Abu Simbel.
Kwa kumbukumbu nyingi muhimu zilizomo katika mahekalu haya kwa sanamu, zana za kale, michoro na maandishi zinamfanya Ramsess kuwa mmoja wa mapharao muhimu wa misri ya kale.

Jeshi la Rammeses lilisaidia kulinda mipaka ya Misri kutoka kwa wavamizi na majambazi katika Meditrenian na Libya pia kutoka Hittites na Nubians.

Pia Alifanya kampeni za kurudisha ardhi iliyokuwa imeporwa na wavamizi kwa kusign mikataba ya amani kabla ya kutumia nguvu kuwapiga.

Katika historia Ramesses alishindwa vita moja tu! vita inayokumbukwa sana ni ile iliyofanyikia Kadesh (Syria ya leo) ambayo ilifanyika mwaka 1274 BC dhidi Wahiti. Ilikuwa ni vita kubwa iliyotumia zana za kisasa zaidi wakati huo katika historia ya vita za kale. Rameses alifanya makosa kwa kugawa vibaya vikosi vyake kitu kilichofanya moja ya kikosi kufyekwa chote! Hatimaye mpinzani akajitangazia ushindi na Ramesses ikampasa arudi nyuma sababu ya kujiandaa kubaya na matatizo ya vifaa.

Dhana iliyozushwa Juu ya Kifo chake!

Vitabu kadhaa vya Dini kama vile Bible na Quran vimekuwa vikizungumzia kifo chake katika hali ya kushangaza!
Wao hudai kuwa Ramesses au Sese alifia kwenye maji wakati akiwafukuza waisrael!
Wamisri wa kale wakipinga kabisa madai hayo na kudai Sese alifariki akiwa na miaka zaidi ya 87 kutokana na maradhi! ya kibinadamu!
Moja ya ushahidi ni wa Mwili/mummy wa Sese ambao unaonekana wazi kuwa mtu huyo alifariki akiwa mzee kabisa!
Pia jambo jingine la kujiuliza ni kuwa Kina Musa wakati wakimkimbia Ramesses na kuwa wameshafanikiwa kuvuka bahari, huku nyuma waliwezaje kumuona Ramesses katikati ya kikosi cha askari wa misri akifa maji!? Hayo ni mambo yanayowatatiza wengi, huku wengine wakienda mbali zaidi kuwa Ramesses mwili wake huwa hautaki kuzikwa!

Huyu Ndo Great Ramesses II au Sese mmoja wa Mapharao Muhimu zaidi Eghypt ya kale na leo katika historia,

View attachment 500056
MWILI WA PHARAO RAMESSES ll / Firauni Uliopo kwenye maonyesho ya Ancient Egypt.
View attachment 463572
SANAMU YA GREAT RAMESSES II ILIYOPO GIZA EGYPT

Nawasilisha
Secret Star
History umeisoma kwenye kitabu gani

Sent from my X1 atom using JamiiForums mobile app
 
Mtume muhamadi bwana alikuwa boya kweli! Eti aliiga kwa kudhani na yeye atafufuka kama Yesu Kristu akivyofufuka. Bwana mtume Mudy bwana alipoona anaumwa sana na akaweka utabiri wake feki, kwamba na yeye akifa atafufuka siku ya tatu kama Yesu! Wapi.... Alipokufa watu wakamsubiri naye afufuke kama alivyoa ahidi ikashindikana, na matokeo yake alianza kuoza, kisha alipasuka tumbo pwaaa!!!!... Wale waliokuwa wanamsubiria, wakesema Mtume Mudy Rasulu lah. Maana yangu ni kwamba usiige tembo kunya mavi makubwa, utapasuka msamba.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli BOYA huwa halizami na kupotelea chini ya maji huwa linaelea tu mpaka muelewe tu ndo maana tunaomkubali tuko mabilioni na tunaendelea kuongezeka we leta uzi special wa kwako hapa tuna mada nyingine mbona unakuwa kama JIWE ukiwekwa kwenye maji yenye kina unazama tu kirahisi jitahidi uwe BOYA utasurvive
 
Wewe tulia kijana mdogo, ndo kwanza internet inaanza kukujuza unajiona wajua sana kiasi cha kutaka kujifanya atheist wa kumkataa mungu.

Mungu anaabudiwa na wanyama,ndege, wadudu, na viumbe vyote.

Sasa wewe kalia na hadithi za mababu wa mababu.... UTAISOMA NAMBA
Udogo sio kichagizo na ndo maana mlimsikiliza na mnasikiliza,kijana mdg sheikh sharifu,kwa upeo wake alojaaliwa na mungu,sasa basi nami nina mahala pa utawala wangu ndani ya kichwa changu,huwezi nizuia,huwezi nikadilia,huwezi nipangia na huwez nitabilia kitu wala kunifikilia pasipo kunitambua,swala la interntet lisikupe wenge ribrary ziko nyingi,mafundisho ya redion yako tele vitabu ndo kabisaa vya kusaza,ww hoja yako kuu umu ni kutaka kufaham jina la pharao wa kipindi cha mussa hivyo basi ili utupishe,tuendelee na somo tusije kupoteza hili somo tunaomba uachekuleta pumba zako ziczo na mashiko,kama umejipanga kumsumbuka kaka yetu apa secret star,ushindwe utulie ivo ivo...SASA HIVI DAWA YAKO HATUREPLAY UJUMBE WAKO UTABAKI IVOIVO MPKA UKICHOKA,nakueshimu sana samahani kwa maneno haya,kaka secret tuendelee na somo achana na uyu mjinga mjinga......

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
kwa hiyo herode alikuwa Muzungu??? na alikuwa katika nchi ipi maana kuna siku nimesoma kuwa hiyo israel na misri walikuwa wanaishi watu weusi
Mkuu naomba link ya hilo andiko

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli BOYA huwa halizami na kupotelea chini ya maji huwa linaelea tu mpaka muelewe tu ndo maana tunaomkubali tuko mabilioni na tunaendelea kuongezeka we leta uzi special wa kwako hapa tuna mada nyingine mbona unakuwa kama JIWE ukiwekwa kwenye maji yenye kina unazama tu kirahisi jitahidi uwe BOYA utasurvive
Mnaburuzwa tu sio kama mnmwelewa.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Udogo sio kichagizo na ndo maana mlimsikiliza na mnasikiliza,kijana mdg sheikh sharifu,kwa upeo wake alojaaliwa na mungu,sasa basi nami nina mahala pa utawala wangu ndani ya kichwa changu,huwezi nizuia,huwezi nikadilia,huwezi nipangia na huwez nitabilia kitu wala kunifikilia pasipo kunitambua,swala la interntet lisikupe wenge ribrary ziko nyingi,mafundisho ya redion yako tele vitabu ndo kabisaa vya kusaza,ww hoja yako kuu umu ni kutaka kufaham jina la pharao wa kipindi cha mussa hivyo basi ili utupishe,tuendelee na somo tusije kupoteza hili somo tunaomba uachekuleta pumba zako ziczo na mashiko,kama umejipanga kumsumbuka kaka yetu apa secret star,ushindwe utulie ivo ivo...SASA HIVI DAWA YAKO HATUREPLAY UJUMBE WAKO UTABAKI IVOIVO MPKA UKICHOKA,nakueshimu sana samahani kwa maneno haya,kaka secret tuendelee na somo achana na uyu mjinga mjinga......

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app

Nguvu za hoja hazipo mnaanza matusi na lugha chafu nyie mnaojiamini muendelee na hoja au jina la mtoa mada linawaogopesha mbona yete kaingia mitini. Sasa wewe angalia mtiririko uone jinsi alivyochemka kuanzia alivyoanza kunijibu na ndo maana akaanza kupanick
 
donniebrasco wewe unapinga kitu gani Secret Star has said?

Secret Star is making important point that the first greatest civilization the world have ever seen and the source for other great civilization like Arabs, Greek, Romans and Current Europeans civilization (Economics, religion, culture and science) is of Black / African origin. It was founded and developed in Africa, then move from African interior down the river Nile to lower Nile (Egypt today) then to Middle east and Europe.

And that this Kemet ( Land of Blacks) Civilization reached its high point while others were countries were still in dark ages, way before Judaism, Islam or Christianity.

What is your borne of contention?
 
Sio kaingia mitini watu kila mtu ana majukumu yake ww ucfikilie kila cku ya ni lazima atembelee kurasa hii,anakuwa na shughuli nyingine za kimaisha,mimi nachokuomba kaka ili usije tupotezea mda kwa hii elimu tuipatayo kama una mapingano na secret,naomba uka PM uko usilete ayo mambo uku tupishe tusonge na somo kaka mbn ivyo asee,mwisho tutafikisha pabaya kimatashi na kuonekana tusio na maana,mbn unakuwa mbishi asee,ushanipa dongo et mi mgeni kwny internet kwaiyo kitabu na iyo internet kip kilianza na kip bora zaid?,embu kuwa na ustaarabu kwny uchangiaji hoja,mbn unapenda tutyp visivyo na maana kaka?!.

Nimekubali kaka endeleeni kujipendekeza na kuteteana katika kupotoshana sijui hata maslahi gani mnapata mkiambiwa ukweli mnajifanya kususa....

Pole yenuuuu......
 
donniebrasco wewe unapinga kitu gani Secret Star has said?

Secret Star is making important point that the first greatest civilization the world have ever seen and the source for other great civilization like Arabs, Greek, Romans and Current Europeans civilization (Economics, religion, culture and science) is of Black / African origin. It was founded and developed in Africa, then move from African interior down the river Nile to lower Nile (Egypt today) then to Middle east and Europe.

And that this Kemet ( Land of Blacks) Civilization reached its high point while others were countries were still in dark ages, way before Judaism, Islam or Christianity.

What is your borne of contention?

Ndugu usidakie vitu kwa mbele rudi nyuma fuatilia utaona mimi ninachokipinga ni kipi...
 
Nielewavyo mimi kwenye Qur'anTakatifu Pharaoh wa kipindi cha Nabii Musa hajatajwa kwa jina ....

Sasa kama waliojitahidi kujua alikuwa ni Pharaoh yupi wakafikiri ni Ramsy sijui mashiko yao lakini kama wewe unaona sio Ramsy hakuna ubaya wowote.

Jina lake lingekuwa ni la muhimu kujua huyo pharaoh wa Kipindi cha Musa angetajwa jina kwenye Qur'an

Unajua maana ya neno Pharao boss?

SM-G955F Samsung S8+

Pharao ni kama cheo tu mfano mfalme fulani,ndiyo maana walikuwa na mapharao kadhaa..

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app

kuna mafarao zaidi ya 600 mzee kila pharao aljtawala katika kipindi chake! So hivi vitabu vya leo huwa vinataja jina la cheo cha huyo mtu na sio jina lake!

SM-G955F Samsung S8+

Najua boss ndo maana nikaandika Pharaoh wa kipindi cha Nabii Musa

Mkuu mbona unajichanganya ulichoandika ndo tunachokijua sasa mbona uliniuliza kama najua maana ya Pharaoh

Mimi nilisema kuwa Pharaoh wa kipindi cha Nabii Musa hakutajwa kwa jina kwenye Qur'an Takatifu, wewe ukaniuliza kama najua maana ya Pharaoh...

Sasa kama ni mtu mwenye uelewa ulikuwa huna maana ya kuuliza najua maana ya Pharaoh kwa kuandika kwangu Pharaoh wa kipindi cha Nabii Musa... inaonekana kama ulikuwa hujui halafu baadae ukajua, ni vizuri kujua, hongera.

HAPO NI MTIRIRIKO TOKEA NILIANZA KUCHANGIA NAJARIBU KUWAONESHA UKURUPUKAJI WA MLETA MADA....

HIZO NI ZA MWANZO TU ILI MPATE PICHA KWANINI ALIPANIC NA WANAOMTETEA KWANINI HAKUNISAIDIA KUNIULIZIA SWALI LANGU KWAKE BAADA YA KUWA NILIMJIBU SWALI LAKE LA KWANZA

SASA NDO MJUE MTU UKIWA NA CHEMBE YA KIBURI UKADHANI NDANI YA NAFSI YAKO KUWA WEWE NI BORA KULIKO WENGINE AU UNAJUA KULIKO WENGINE UTAKUTANA NA WANAOJUA ZAIDI NA HII TABIA HUWA IPO SANA HUMU KUNA BAADHI WANAFIKIRI WAO WANADESERVE KUWA ON ANOTHER FAR LEVEL NDIO MUNGU HUWA ANAWAONESHA ANAWAKUTANISHA NA VICHWA VINGINE MWISHO WAO HUWA NI KUINGIA MITINI
 
Mzee hapa mkurupukaji ni wewe mwenyewe unajiaibisha tu!
 
Umekurupuka mwenyewe mzee! mambo ya kutaka kucomment ili uonekane nawe ni mchangiaji mwisho wake huwa ni huu! hata hueleweki nini unataka. Nakushauri uwe unafikiria sana kabla ya kuingia kwenye malumbano ya hoja, ambazo zimeshapata wachangiaji wengi kama hizi. Maana kwa Jinsi tu unavyochangia unaonekana unakurupuka sana kwenye kuandika, ndo maana Secret star hata haangaiki kubishana na wewe, anatumia hizohizo Comment ulizoweka kuonyesha ukurupukaji wako! Kama unataka kubishana uwe unachukua muda Mrefu kusoma ulichoandika na kukielewa wewe mwenyewe kabla ya kutuma kwa hadhala!
 
Usijipendekeze kujionesha kidume nakuomba unisaidie my first comment ilikuwa na problem gani nisaidie kunielewesha uko huru... halafu ukishasoma jiulize, na kisha muulize Secret Star aliponiuliza kama najua maana ya Pharaoh baada ya comment yangu ya kwanza kabisa mantiki yake ilikuwa ni nini mbona unajitoa fahamu... halafu urudi tutaendelea
 
Mzee hapa mkurupukaji ni wewe mwenyewe unajiaibisha tu!

MTAHANGAIKA SANA
nakuomba unisaidie my first comment ilikuwa na problem gani nisaidie kunielewesha uko huru... halafu ukishasoma jiulize, na kisha muulize Secret Star Aliponiuliza kama najua maana ya Pharaoh baada ya comment yangu ya kwanza kabisa mantiki yake ilikuwa ni nini mbona unajitoa fahamu... halafu urudi tutaendelea

Mkinielewesha nikawaelewa naahidi kudelete post zangu ili muendelee

Nina imani kiswahili changu ni kirahisi kinaeleweka!!
 
Ushaoneka chizi rafiki, kunyamaza ni chaguo bora pia.

SM-G955F Samsung galaxy S8+
 
Back
Top Bottom