RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
[emoji3]Nasikia hilo kaburi lilishawah kuwashangaza wale ndugu zetu weupe walitaka kulihamisha wakajikuta wanakula bakora za kutosha na kuumwa na nyuki,
Mwisho wa siku badala ya kulihamisha ikabid walijenge vizur libaki hapo hapo,ila ajabu ni kwanini hawakuweka utambulisho wa aliekuwemo