Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

Nakumbuka miaka ya 90's nilikuwa nasoma vidudu (nursery) shule moja iliyokuwa jengo ambalo ni mkabala na JM Mall ya sasa. Walijaribu kulifukua ili walihamishe kwa kumbukumbu yangu ndogo palifumuka moshi mkubwa mno kiasi cha kughairisha ufukuaji.

Nilikuwa mdogo sana hivyo kumbukumbu si nzuri ila najua linahusishwa na Sharif nadhani.
 
Shukrani sana mkuu [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Aziz Ali
 
Habari za hilo Kaburi imo humu. Tulishaijadili kitambo sana
 
Huyo sio Abushiri bin Heri
 
Mpwayungu Village
 
Ni nani huyu ambaye kalala katikati ya jiji na hawezi hamishwa kupelekwa pembezoni wakuu?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…