Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

Kuna baadhi ya vitu aviguswi vitaachwa kama vilivyo mfano ile aya ya quran kwenye mlango wa Ikulu
Kuna Aya ya kuranu kwenye ikulu?? inasemaje..??
Au ndo inasema ccm milele daima??
Nani aliandika hiyo aya hapo?? au ni yule mtume asiye jua kusoma na kuandika aliyekuwa anaowa watoto wa miaka 10 ...
 
Kuna Aya ya kuranu kwenye ikulu?? inasemaje..??
Au ndo inasema ccm milele daima??
Nani aliandika hiyo aya hapo?? au ni yule mtume asiye jua kusoma na kuandika aliyekuwa anaowa watoto wa miaka 10 ...
Ikulu ya Magogoni ilikuwa madrasa.. wajerumani wakaipora
 
JMoo ndo jengo gani? Mi nnavyojua JMoo ni jina la msanii wa HipHop Tanzania. Hilo jengo ni J. Mall. Usichanganye Tui na Maziwa siku nyingine.
Asante kwa kunielewa.
Ungemalizia kwa kumshusia kwenzi kabisa😆😆😆😆
 
Kumbe kuna aya ya shetani ikulu ndio maana nchi haiendelei na ufisadi umetamalaki.
Unajua maana yake ? Hayo maandishi Kwani ulijenga wewe hiyo ikulu ... Aliyejenga ndiye aliyeweka
 
Wadau Kuna nini kwenye hili kaburi halijawahi kuhamishwa hapa posta lakini sehemu nyingine wamehamisha
 
Attachments

  • FB_IMG_1728644658740.jpg
    FB_IMG_1728644658740.jpg
    39.5 KB · Views: 9
Imamu wa msikiti wakati wa Utawala wa Wajerumani.

Soma hapo
Aise ngoja nipitie hapa
 
Ni uhuni tu na wizi wa ardhi kupitia mgongo wa dini, Kiongozi hewa wa kiislam aliezaliwa ndotoni wakampa cheo na kufia ndotoni huko huko. Hakuwah kuwepo hakuna aliezikwa hapo hakuna hata mfupa. Anaebisha anitajia Jina na Tarehe za Kuzaliwa na Kufa kwa huyo Mchawi aliegoma kuchimbika...?
 
Back
Top Bottom