Ha ha ha! Nimeshauri mambo ya familia yaishie kwenye familia. Ally Sykes ni mtu mdogo sana kwenye siasa za nchi hii; huo ndio ukweli hata kama hupendi kuusikia. Tunatoa pole kwa sababu ni binadamu mwenzetu katutoka lakini sio kwa kuwa ni maarufu kihivyo. Natumaini umeelewa.
Rip mzee, kazi ya mungu haina makosa. Umeiacha nchi inatafunwa na mleta uzi!!!!!
Tanzania bado tunatawaliwa na mkoloni CCM !!!
Yericko,
We unaonekana mchimvi! watu wako kwenye msiba unatuletea uzi wako wa uchochezi! peleka maelezo hayo ktk ukumbi wako wa uchochezi dhidi ya Mohamed Said https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...apigania-uhuru-wa-tanganyika-na-zanzibar.html!
Hapa raia wema wanaombeleza msiba wa mpigania uhuru we unaanza kuleta chuki zako dhidi ya marehemu mpigania uhuru wa Tanganyika!
Unatia aibu kueneza chuki kwa kutumia jina la familia ya Nyerere! shame on you!!!
...salute..! sijui kuna kitu gani baina yako na ritz..lkn nimeguswa mno na hii posting yako..that was Malcom X way..!....na ni kihivi tutaleta second liberation ya motherland..! kwa mara ingine tena..salute..!you, ritz and all of us, let almight guide and guard us in a way which is of less confrotation...!...stay blessed bro!
Ulipotea sana mkuu, karibu tena pahala petu, jamvini!Hakuna historia iliyokamilika zaidi kama ile ya kusimuliwa na watu wenyewe ambao walikuwa ndiyo sehemu ya historia yenyewe. Tanzania imepoteza sehemu ya historia yake.
Duniani tunapita, na kutangulia kwa mzee wetu ni sehemu ya njia yenyewe ambayo kila binadamu ataipita.
Poleni wana familia na ndugu wote. Hii ni mipango anayoijua mwenyezi Mungu/Allah peke yake.
Uraia wa marehemu unanipa mashaka! Hata hivyo haidhuru, kwa kuwa hata Watanzania walipigana kumwondoa dikteta Idi Amin Dada wa Uganda! RIP mzee Sykes!
Ndio nini hiki?
RITZ,
Unahabari zozote kuhusu mazishi ya Mzee A.Sykes? wapi atazikwa? jee, kama atazikwa nyumbani mazishi yatakuwa na hadhi ya kitaifa? au yatakuwa kama ya Kaka ake Abdulwahid?
Mkuu, ninashukuru sana kwa kunikaribisha. Mimi nipo tu pamoja na sarakasi za kimaisha za hapa na pale.Ulipotea sana mkuu, karibu tena pahala petu, jamvini!