Ijue Historia ya muasisi wa TANU, Ally Kleist Sykes (1926 - 2013)

mbona mimi sijawahi kumsoma kama ni mpigania uhuru?? wewe ulimsoma wapi?? sheikh ilunga ametuasa sana tusome historia

Labda tufahamishe wewe ni nani katika taifa letu una mchango upi mpaka ujitolee mfano.
 
Unaenzi kwa kuwazika ili isaidie nn? Acha wafu wazike wafu wenzao.

Chadema ni taasisi kama kinavyojieleza, kwa hiyo unataka kuniambia Chadema hawana shida ya kuwaenzi wapigania uhuru.
 
Ueleweki upo nje ya mada.
 
Labda tufahamishe wewe ni nani katika taifa letu una mchango upi mpaka ujitolee mfano.
Ritz tatizo lenu ni hilo tu mnajua kupaza sauti na kushabikia vitu kwa pupa bila kuelewa sijajifananisha na mtu hapo mimi kama mzaliwa wa tanzania niliyesoma vidato vingi sijawai kufundishwa ktk historia kwamba huyo mtu ulomtaja ni muasisi ndo maana nikauliza na sijajitolea mfano kazania elimu dunia itakupanua mawazo ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni taasisi kama kinavyojieleza, kwa hiyo unataka kuniambia Chadema hawana shida ya kuwaenzi wapigania uhuru.
hivi kuenzi unakutafsiri vipi?? naweza kujitokeza kwenye mazishi kujionesha kimwili namuenzi lakini rohoni sina hata chembe ya kumheshimu kutohudhuria viongoz wa CDM haimaanishi kwamba hawamuenzi nyerere kila mwaka watu wanamuadhimisha jee wote wanaohudhuria kumbukizi zake wanamuenzi?? ifike mahali uwe great thinker heshima haitoki mdomoni bali mioyoni
 
Takusaidia kitu kimoja hujue historia ambao ipo na watu wameishoma ni ya TANU ilioandikwa chuo cha kivukoni humo Ally Sykes katajawa katika waasisi wa TANU.

Tafuta hivi vitabu A Modern History of Tanganyika kimeandikwa na John Illiffe 1977.

Kingine The Making of Tanganyika kimeandikwa na Judith Listowel 1965

Utamkuta Ally Sykes na wazalendo wengine ambao wamesahaulika.
 
Last edited by a moderator:
mkuu hujibu kabisa swali langu mbona hasomwi shuleni??? ok tuyaache hayo hivi ile historia anayoisemaga ilunga iko sahihi?? samahani lakini kama hutojali
 
mkuu hujibu kabisa swali langu mbona hasomwi shuleni??? ok tuyaache hayo hivi ile historia anayoisemaga ilunga iko sahihi?? samahani lakini kama hutojali

Mkuu wangu si umesema umesoma vidatu vingi lakini hakuna sehemu umefundishwa kuwa Ally Sykes ni mwasisi au nakusingizia.

Mie nikakujibu kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na chuo cha Kivukoni kimemtaja Ally Sykes pamoja kuwa na mapungufu mengi. Kama umesoma Chuo Kikuu nenda kwenye historia ya Tanganyika utakutana na jina la Ally Sykes.

Historia ya Ilunga mie sijapata kuisikia mie nimemjua Ally Sykes kupitia vitabu nilivyokutajia na wazee wangu.
 
nilikuwa namaanisha kwenye mfumo rasmi kwa mfano yeyote aliyesoma la kwanza mpaka la saba atake au asitake amemsoma nyerere nilimaanisha hapo tu maana sie wengine ni wavivu wa kusakanyua news nje ya vitabu vya kwenye mtaala
 
mwungwana,

Jitahidi kutafuta hivyo vitabu watoto wako siku mmoja wanaweza kuja kukubana kuhusu historia ya Tanganyika.
 
mwungwana,

Jitahidi kutafuta hivyo vitabu watoto wako siku mmoja wanaweza kuja kukubana kuhusu historia ya Tanganyika.
Ritz, hapa tunaomboleza kifo cha mmoja katika wazee wetu waliokuwa mstari wa mbele katika harakati za kupambana na mkoloni mwingereza, naomba usiingize mambo yasiyohusika ukaharibu kabisa salamu za rambirambi za wana jukwaa. Kama una mengine angalau subiri kidogo ikiwezekana hata wiki halafu anzisha mada, tutachangia kama kawaida.

RIP
mzee wetu Ally Kleist Sykes. Mola akulaze mahali pema peponi, amina.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mjadala huo upo hapa http://bit.ly/YVWmYj. Ingia tujadili huko hapa tuache salam za msiba ziendelee
 
Ubinafsi unaoendeshwa na umasikini daima huangalia au hutengeza udhaifu wa mtu ili kumshusha chini. Lakini uzalendo na umasikini huangalia udhaifu wa mtu na kumsaidia ili kufanikiwa. Hizi ndio tofauti kuu katika nchi yetu.
 
waliifanyia tz kazi japo walisahaulika.
R.I.P Mzee Ally Kleist Sykes
 
Chadema ni taasisi kama kinavyojieleza, kwa hiyo unataka kuniambia Chadema hawana shida ya kuwaenzi wapigania uhuru.

Kuenzi maana yake nini? Huyo amekufa, kilichobaki ni kuzika, unataka nn tena?
 
Viongozi wa Chadema msibani hawakuonekana hata salama za rambirambi hakuna Dr.W.Slaa, Zitto, John Mnyika, mnashindwa kuwaenzi wazalendo waliopigania uhuru.

RITZ,
Lakusikitisha sijaona ktk magazeti yetu ya jana Jumatatu 20.5.13 na leo jumanne 21.5.13 habari za kifo au mazishi ya shujaa Ally Sykes! Ritz nakushukuru kwa kutuwekea picha za mazishi!
leo nimeamini kuna hila fulani kuhusu wapigania uhuru wetu! inakuaje media wanachapicha na kutangaza vifo vya wasanii na kusahau kifo na mazishi ya shujaa Ally Sykes?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…