Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Hahaha...hiyo mitaa naielewa kuna mwana mmja
Wangu smbdy siwetu.fundi alikuwa natimba naye mitaa hiyo
Unajua ukiwa sehemu,kuna namna fulani ya kujiwekea,kujitafutia ulinzi so unajichanganya na wahuni ishi nao kimtindo....dar utapeta tu

Ova
Chinji ilivohama tu kwenda VETA Nonde ikapoa sambamba na Mabatini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahaahaa hatari aisee Mwananyamala na Kino ilikua konyo aisee imetoa Wana kibao mabaharia
Wazee wa kujilipua bondeni na kudandia meli to mamtoni Uropa!
😁😁😁
 
Manzese pia pale Amsterdam, midizini palikuwa ovyo sana ila maisha yanabadilika wahuni wengi wamepungua
Sahv utamfanyia nani ubabe au uhuni,raia si watakuaa

Ova

Uhuni hauna chapaa, afu naona kwa mbali kuzamia dizonga ndio kilichobaki kwa masalia ya wahuni, michongo ikibana wanasonga mbele kua mapusha mixer kuuza matunda kiaina ili mambo yasonge ubabe umeshaisha sema kuishi na wahuni ni rahisi sana usipandishe mabega, hata michongo ikibuma watakuonesha hata vimeo vya kupiga magomeni wahuni watakulengea hata ist kimtindo unapata chenga maisha yanasogea , wanalenga unaitwa unalipa wanaichapa ubaoni wewe huna hata insta utaitwa tu tajiri imetiki jifanye mjuaji mjini utakimbia tu
 
Vida palavida long time sana
 
Dah mmenikumbusha kitambo mtaani kwangu kipindi hicho mtemi anaheshimika kuliko hata mkuu wa kituo,, kagera mikoroshini kulikuwa na na mbovu ya kuitwa jabir na accuse wake jummane kapala, wanakaba mchana kweupee, ukija upande wa mburahati kulikuwa na wakuitwa wabonde, akina Mbaraka taita, kilima ilikuwa sio poa
 
Mtaa gani huo
 
Hahaha...hiyo mitaa naielewa kuna mwana mmja

Wangu smbdy siwetu.fundi alikuwa natimba naye mitaa hiyo

Unajua ukiwa sehemu,kuna namna fulani ya kujiwekea, kujitafutia ulinzi so unajichanganya na wahuni ishi nao kimtindo....dar utapeta tu

Ova
💚💛
 
Haya majina ndo huwa yananiacha hoi, eti, SOGODO!
 
Walifanyiwa nini?
Chaukucha waliwafanyia watu umafia sana...
Walikuwa kama wameshindikana
Tukio moja wililifanya walimpora dem mmja hadi wakambaka..ilibdi viongz wa ilala wakae kikao
Cha chinichini wapange nmna ya kuwatuliza

Alikuja tafutwa mafia mmja wa zamani(rtd)
Smbdy m--nyga.....alipewa baraka zote
Jamaa aliwafagia wote,kmya kmya
Ndipo kipande kile kikaja kutulia

Unajua kuna watu wanajifanya wahuni,wakabaji
Kumbe kuna raia wapo wanawacheki wanawaona kama mafala,siku raia wakiamua
Ohooo ni nomaa

Ova
 
Aliwafagiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…