Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

Waliopiga hizi pesa Kwa miaka yote 25 wapo na hawatajwi.

Hii Nchi ipo siku
 
Certain government responsibles present and past must be answerable to court on this massive fraud which has caused misapropriations of government revenues in a large scale.
 
Huko bandari madharabyake tunaweza hata tusifike huko
 
Wanaitafutia mwekezaji Mwarabu
Kwanza tuliambiwa dipiworld wamechukua.
Mbarawa ametuona wajinga amaโ€ฆ
Serikali iwawajibishe wahusika sio story tu kila siku
KIA apewe wenye KLM na SWISS Air tutakuwa tume overtake jirani zetu
Wewe ndo kwanza unataka kuturudisha kule kule! Hebu kueni kiakili, msiwaze kila siku kuendeshewa mashirika. Eti tuwape Swiss!!
 
Kumbe hii mikataba inayofanana na IGA ya DP-WORLD ilianza enzi ya Mkapa? Na Watanzania walikuwa wamelala muingereza huyo alipomilikishwa air space hiyo ambayo ni natural wealth yao. Na bila kelele za Watanzania wa sasa, huyu muingereza hewa alikuwa apewe kimya kimya miaka mingine 25 kuendelea kumiliki air space ya Kilimanjaro ya radius ya 240 kilometers.
 
Hizi fikra ndiyo msingi wa tatizo. Mwenge ni kama kibatari kikubwa kinachotumiwa kama ishara tu, hakina uhusiano wa moja kwa moja na upumbavu wa watu.
Wananchi wanatakiwa wahamasishane waamke wawadhibiti wahuni na mafisadi wachache wanaohujumu taifa.
Zama za giza zimepita, viongozi wajinga, mafisadi na waovu washughulikiwe kwa njia zozote, za wazi au za Siri.
Imani za kishirikina ni ujinga usiotakiwa kurithisha vizazi vijavyo kwa mustakabali mwema wa taifa.
 
Naamini CHADEMA watakuja na Maelezo ya kina na ya kueleweka juu ya akina nani(Watanzania) wapo ndani ya huu UFISADI..Wasisite,kutueleze tuwafahamu kwani walau kwa sasa ndio KIMBILIO LA WATANZANIA
 
Wizi nchini mwetu upo siku nyingi. Hata wakati wa utawala wa Mwalimu ulikuwepo.
Tulizowea zama hizi ghala za mazao kuchomwa moto ili kuficha manunuzi hewa. Tafauti na sasa ni kwamba walioiba siku hizo hawakuweza kutumia pesa zao vizuri kwa uwekezaji unaoonekana.
 
Kijani wametubia sana ipo siku wahusika watazirudisha kodi zetu ni suala la muda tu tunataka katiba mpya kuondosha hao wezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ