Bongo hamna na hapajawahi kuwa na eneo kama Kibera aisee. Ni zao la kihistoria, hiyo kibera usifikiri imeanza leo, nchi za kijamaa huwezi kukuta hizo slums, utakuta unplanned settlements tu.Nchi zilizoanza na capitalism ndo wanachangamoto sana hizoBongo pia yapo maeneo ya hivyo ila kwa sasa wengi wamewaandikisha TASAF na kuwajengea nyumba za kisasa hio ndio imekua ponapona yao bila hivyo msingekua mnaicheka Kibera wakati kwenu pia ndio hivyo hivyo
Kenya kuna utitiri wa makazi kama ya kibera,ile ni mila na desturi ya wakenya,wao kipaumbele chao kiingerezaSerikali inapewa misaada mingi Sana kwa sababu ya kibera. Wakiamua kujenga flats hizo misaada zitapotea.
Uchumi wa kwenye makaratasi,kenya maisha ni magumu mno asikuambie mtuNilishuhudia mwenyewe, ni hatari, huwezi ukaamini ni Kenya yenye uchumi mkubwa Africa Mashariki.
Tasaf ilijenga nyumba maeneo gani mkuu?Bongo pia yapo maeneo ya hivyo ila kwa sasa wengi wamewaandikisha TASAF na kuwajengea nyumba za kisasa hio ndio imekua ponapona yao bila hivyo msingekua mnaicheka Kibera wakati kwenu pia ndio hivyo hivyo
WakenyaCc Nicxie nairobae NairobiWalker Don YF Rhaenyra Targaryen Reborn Ktb mwaiofhawaii kennedy0000 kujeni msikie watanzania waliofika Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).Kwa takwimu mpya zinataja Kibera kuwa ndiyo numero uno kwa sasa duniani. Watu wengi hasa watanzania hudhani slums Kenya ni Kibera pekee kumbe sio kweli, Nairobi pekee ina ma slums zaidi ya 100 na mengine makubwa kuliko Kibera, Kenya ni nchi ya hovyo mno zaidi unavyoweza kufikiri.
Manzese na Tandale slums mbona kama wameziruka?Bado Kibera iko kwenye top 3; angalia Google hapa;
View attachment 3336443
Hujapita Manzese basi. Manzese kuna mitaa, barabara za lami na Hoteli kibao za 4star.Manzese na Tandale slums mbona kama wameziruka?
Mukuru kwa RubenWakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Milioni.
Huko kuna hadi lami na njenge kalikali kabisa, maskini na wenye kipato cha kati wamechanganyana humohumo.Manzese na Tandale slums mbona kama wameziruka?
Siku ukifika Kenya ndio utajua Manzese na Tandale siyo SlumsManzese na Tandale slums mbona kama wameziruka?
Tatizo kibera kuna umaskini wa kuzaliwa, hata uwajengee nyumba mpya wote baada ya miezi michache panageuka pipeline tena mara 100 ya pipeline. Fuatilia sehemu ya makazi inaitwa pipeline kule Kenya alafu urudi hapa.Suluhisho wanalo ila kwa sababu ni wabinafsi.
Tenga eneo nje ya mji kisha jenga flats za kawaida mia 500.
Zikimalizika hamishia watu wanaotoshea hapo kwa flats 500.
Ile sehem waliyotoka hapo libera jenga nyingine 1000.
Ndani ya miaka mitatu kibera Uko clean.
Kweli kabisa.Kuna mitaa Kenya hata ng'ombe hawezi kuishi lakini wao wanaishi binadamu
Mkuu karibu huku tuwanyooshe 👇👇Wakenya
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).
Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.
Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates
Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Milioni.
Nairobi kuna slums zaidi ya 200 mzee, more than 60% ya wakenya weusi wanaishi kwenye hayo ma slum, ndiyo mana wakenya wana hasira sn na ni haki yao kuwa na hasira kwa wanayopitia.Mukuru kwa Ruben
Kawangare
Pipeline estate
Dandora
Korogocho
(Hii yote ni Nairobi)
Na Dar es Salaam ni kubwa karibu mara mbili ya Nairobi.
ni kweli,yani hata kwenye top 10 haipoUmaskini upo Tanzania lakini siyo kwa kiwango cha Kenya.
Wewe iulize Google ikupe "Top 5 largest slums in the world" , utaikuta Kibera ya Kenya ni namba 2.
Tanzania haina slums za sampuli ya Kibera
mkuu angalia usipigwe humu, hela ya tasaf ijenge!?,yani unamaanisha laki 1,elfu 80,wengine mpaka elfu 50 ndo zijenge.watoaji wenyewe wanachowasisitiza wapokeaji ni kwamba wanunue mifugo ...Ndio maana nakwambia wanaziboresha km hujui kuhusu TASAF kaa hivyo hivyo na km hujaona waliojengewa vibanda vyao sasa hivi wanaishi kwenye nyumba za kisasa basi kaa hivyo hivyo au unataka tukuwekee picha na video za before and after?
wewe ndio umedanganywa Kiongozi. una taarifa za uhakika Tasaf nani kwakwambia wanajengea watu nyumba wale wanatoa pesa kwa kaya masikini ili mladi wasije kufa njaa basi ? hiyo pesa wanaotoa tu ni ndogo sana, sembuse kuboresha makazi yao, fuatilia vizuriUmedanganywa sana wewe utachekwa mjini hapa
Manzese na Tandale slums mbona kama wameziruka?