Bado hayo maeneo ya Chang'ombe uliyoyaweka hapo ni classic, huwezi kufananisha na maisha wanaishi Wakenya Millioni 10Unatamani porojo ya kilaza mwenzako iwe ni ukweli, jamaa kaandika kwa uchungu, kishabiki tu na wivu., yaani anatafuta kuponda Kenya ila Kenya sio mwenzenu., poleni mafukara wa South, siku moja mtapata nafuu na nyie🤣🤣🤣.,
Kibera ndio hiyo 2025, progress ya mabadiliko.,
View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=aNck89lSYna1ZkqQ
Mukuru Slums pia., kwa mpigo
View attachment 3338810
View attachment 3338812
Kisumu pia, affordable housing kwa mpigo
View attachment 3338813
View attachment 3338814
Eldoret pia
View attachment 3338815
Tafuta Thika ujionee, Juja, Nakuru ndio usiseme., Mombasa ndio itakua mambo yote..,
Kenya sio Tanzania nyie mtaishi kwa uswazi miaka mingi sana hapa👇👇 hamtoki Karne hii.., liboya linajiliwaza na halijui what's happening kwa ground 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
View attachment 3338819
View attachment 3338817
View attachment 3338821
View attachment 3338820
View attachment 3338818
Unadhani basi hayo makazi mapya wanayojenga yatawatosha hao slum dwellers wote. 😂😂😂Lol mbona umepiga off-point?? Hayo ni makazi mapya yanajengwa na bado watu hawajaingia.
Kwa sasa huko bado wanaishi kwenye haya maboksi:-
View attachment 3339364
Na usijidanganye kwamba hizo projects zitaweza kuhifadhi hao 2 Million slum dwellers
View attachment 3339365
Naijua Dar, uswazi haibomolewi popote Kisha wajenge standard housing.., uswazi inaongezeka haipunguzwi. So fyata jipe shughli nyingineHata Dar es Salaam projects kama hizi zipo nyingi tu Magomeni Quatrers, Kawe na mikoani. Usidhani kama zipo Kenya tu
Kweli dunia ya leo mtu anaweza kudanganya rahisi? Pengine wewe ukue mpumbavu ama mbumbumbu, yaani upo upo tu, haujielewi., tafuta bando kilazauna uhakika huo ujenzi unafanyika kibera? au nyang'au linatuma tu mipicha yake ya kuokoteza!
Wacha mbwembwe zako, nyie bado mmaishi maisha duni sana kwenye mabanda. Angalia hii link pia utaikuta Kenya kwenye top 10-:
View: https://www.tiktok.com/@afritv/video/7268441510931074309
Ni 2025 kilaza, hauna hoja wewe, kumbe ilikua ni zile hasira zenu za wivu na chuki, kunywa maji utulie🤣🤣🤣🤣, fala kweliLol mbona umepiga off-point?? Hayo ni makazi mapya yanajengwa na bado watu hawajaingia.
Kwa sasa huko bado wanaishi kwenye haya maboksi:-
View attachment 3339364
Na usijidanganye kwamba hizo projects zitaweza kuhifadhi hao 2 Million slum dwellers
View attachment 3339365
Serikali za kiafrika haziwezi mambo hayaHapo serikali inaweza kujenga flats zikawachukua hao wakenya kwa wingi na kuacha eneo kubwa zaidi wazi likatumika kwa viwanja na maduka
Umeandika kwa uchungu na hasira mingi sana, hauna ukweli wowote wewe unadhani slum ni mabanda eti🤣🤣🤣🤣., mko hovyo., sasa umeona Kenya sio vile ulidhania unatafuta pakutokea, unajiliwaza na vimaneno tu, kule Tanzania hauna jibu ya kulinganisha na yale yanaendelea Kenya kwa sasa, mtanyooka, ujinga mtawacha, akili ziwakae sawa., huwezi ukapingana na ukweli kilaza, unaumia ila utapoa. Ulidhani umefaulu kudanganya wenzako eti!., propaganda naumbua, Kenya sio Tanzania mnadanganywa kirahisi na mnakubali tu, uwezo wa kufanya utafiti mwafaka kudhibitisha jambo hamna!!..,Katika Wakenya 57 Millioni, kuna 10 Millioni wanaishi kwenye mabanda kama ya kufugia mifugo. Ni kweli Kenya siyo wenzetu kwa vile hakuna Mtanzania anaishi kama ng'ombe
Mbona Kenya imeweza?., tena bila kukopa nje! Wanatumia housing levy, kila mtu mwenye ako na mshahara serikali inakata 1.5% na employer pia anatoa 1.5% inakua 3%, kila mwezi serikali ya Kenya inapata kshs 6B(Tshs 120B), ndio maana kila eneo la Kenya wanaondoa slums na kujenga affordable housing bila kusimama, Kibera inaondolewa kabisa, Mukuru, Mathare n.k., fanya utafiti, Africa iko na uwezo ni viongozi tumekosa, wacha dharau., na serikali yenu pia ijifunze, wacheni wivu na chuki, inawezekana! Kenya wamefauluSerikali za kiafrika haziwezi mambo haya
Tena vizuri na nafasi itabakia kubwa kwa vile ni vertical buildings, sehemu ndogo inabeba watu wengi mno, na project inaondoa slum yote sio kujenga sehemu nyingine, wanajenga hapo hapo penye slum ilikua, wanaondoa watu, Kisha wanabomoa na kujenga upya, wivu itawanyonga watanzania jameni🤣🤣🤣🤣🤣., mbona roho mbaya hivi?Unadhani basi hayo makazi mapya wanayojenga yatawatosha hao slum dwellers wote. 😂😂😂
Hongera sana mazee sasa watapewa free hizo manyumba bila doo ama ni ajeMbona Kenya imeweza?., tena bila kukopa nje! Wanatumia housing levy, kila mtu mwenye ako na mshahara serikali inakata 1.5% na employer pia anatoa 1.5% inakua 3%, kila mwezi serikali ya Kenya inapata kshs 6B(Tshs 120B), ndio maana kila eneo la Kenya wanaondoa slums na kujenga affordable housing bila kusimama, Kibera inaondolewa kabisa, Mukuru, Mathare n.k., fanya utafiti, Africa iko na uwezo ni viongozi tumekosa, wacha dharau., na serikali yenu pia ijifunze, wacheni wivu na chuki, inawezekana! Kenya wamefaulu
Tokea vijijini hadi miji., kazi inaendelea 24/7..,
Eldoret
View attachment 3339506
Kisumu
View attachment 3339505
View attachment 3339507
View attachment 3339508
Nairobi
View attachment 3339509
View attachment 3339510
View attachment 3339511
View attachment 3339514
View attachment 3339513
View attachment 3339512
Itakua bei ya chini sana, na itachangia kutikisa soko la rental houses, meaning bei ya nyumba itashuka sana, landlords wakora hawatakua na monopoly anymore, itabidi wajipange kuvutia wateja kwa nyumba zao, Kisha unalipa kumiliki, ni kama mortgage hivi ya watu wa pato la chini., rent to own. Na ukinunua sasa hivi huwezi kuuza kabla ya miaka 30, Ina maana baada ya 30 years mtu atakua asha kua mzee (ongeza miaka 30 kwa miaka yako, utakua na miaka ngapi?), hii inafungia wenye pesa na wanabiashara, wao hununua na kuuza haraka wapate faida.,Hongera sana mazee sasa watapewa free hizo manyumba bila doo ama ni aje
Hata mjenge magorofa bado Kibera ipo kwenye top ten ya makazi ya mabanda duniani. Ingia GOOGLE andika "top 10 largest slums in the world" halafu screenshot ulete majibu hapaKweli dunia ya leo mtu anaweza kudanganya rahisi? Pengine wewe ukue mpumbavu ama mbumbumbu, yaani upo upo tu, haujielewi., tafuta bando kilaza
View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=RvbJfhin-0-G5Z5z
Sasa kwa nini nisitumie "GOOGLE"?? Facts gani unazo wewe mnaishi kwenye maboksi kama mifugo!!Umekosa hoja baada ya kukuumbua sasa unatapatapa tu🤣🤣🤣🤣, mpumbavu wewe., nilidhani utapinga kwa facts kumbe zezeta linahangaika kwa google, tatizo ya masomo hafifu, halijui kutofautisha opinion from facts, ama kutafuta credible sources, nimekupa facts ya 2025, imekuuma sana., nyambaff 🤣🤣🤣
Bado mnaishi kwenye mabanda maana hizo nyumba hazijaisha kujengwa. Wewe mwenyewe unatokea slums tu wala usitusumbueNi 2025 kilaza, hauna hoja wewe, kumbe ilikua ni zile hasira zenu za wivu na chuki, kunywa maji utulie🤣🤣🤣🤣, fala kweli
Kibera 2025
View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=RvbJfhin-0-G5Z5z
Na wewe leta Dar 2025 nione kama wanabomoa uswazi na kujenga nyumba za maana kama Kenya., serikali ya mama wa CCM ina mpango wa kuondoa huu upuzi👇👇👇👇,
View attachment 3339493
View attachment 3339491
View attachment 3339490
View attachment 3339492
Jifunze kutoka Kenya Wacha wivu kilaza., wivu na chuki zenu zinafanya mnabakia nyuma sana! roho ya kichawi hiyo🤣
View attachment 3339495
View attachment 3339496
View attachment 3339497
View attachment 3339498
View attachment 3339499
View attachment 3339500
View attachment 3339501
View attachment 3339502
View attachment 3339503
Wadanganye ambao hawajafika Kenya pimbi wewe. Nchi yenyewe hata unga wa kupika ugali mnaandamana!!Umeandika kwa uchungu na hasira mingi sana, hauna ukweli wowote wewe unadhani slum ni mabanda eti🤣🤣🤣🤣., mko hovyo., sasa umeona Kenya sio vile ulidhania unatafuta pakutokea, unajiliwaza na vimaneno tu, kule Tanzania hauna jibu ya kulinganisha na yale yanaendelea Kenya kwa sasa, mtanyooka, ujinga mtawacha, akili ziwakae sawa., huwezi ukapingana na ukweli kilaza, unaumia ila utapoa. Ulidhani umefaulu kudanganya wenzako eti!., propaganda naumbua, Kenya sio Tanzania mnadanganywa kirahisi na mnakubali tu, uwezo wa kufanya utafiti mwafaka kudhibitisha jambo hamna!!..,
Hatuna cha kujifunza kutoka nchi ambayo inatawaliwa kikabila, imejaa umaskini, chuki na ufisadiMbona Kenya imeweza?., tena bila kukopa nje! Wanatumia housing levy, kila mtu mwenye ako na mshahara serikali inakata 1.5% na employer pia anatoa 1.5% inakua 3%, kila mwezi serikali ya Kenya inapata kshs 6B(Tshs 120B), ndio maana kila eneo la Kenya wanaondoa slums na kujenga affordable housing bila kusimama, Kibera inaondolewa kabisa, Mukuru, Mathare n.k., fanya utafiti, Africa iko na uwezo ni viongozi tumekosa, wacha dharau., na serikali yenu pia ijifunze, wacheni wivu na chuki, inawezekana! Kenya wamefaulu
Tokea vijijini hadi miji., kazi inaendelea 24/7..,
Eldoret
View attachment 3339506
Kisumu
View attachment 3339505
View attachment 3339507
View attachment 3339508
Nairobi
View attachment 3339509
View attachment 3339510
View attachment 3339511
View attachment 3339514
View attachment 3339513
View attachment 3339512