Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Kwani wewe ni raia wa nchi gani? Kwanini usijaribu kujiringanisha nchi yako na NK? Unaogopa nini?
Sisi ni masikini sawa lakini upuuzi wa NK bado hatujafika hata robo. Huyo dogo na familia yake sijui wakorea wa wapi ?!🚮 Jamii ya wakorea, wajapan na wachina ni smart sana lakini dogo na familia yake anafanya wakorea walio nchini kwake kuwa hopeless 🤡
 
Kwahiyo wewe ni maskini jeuri? Nenda shule dogo. USA wenyewe wanagwaya mbele ya NK.

Halafu acha kupayuka.

 
Hata leo ukipewa machaguzi kati ya SK na NK sifikiri kwa akili timamu utachagua NK labda uwe mwendawazimu.
Upewe uchaguzi na nani? Mbona mdogo wangu unapwaya sanaa?

Made in North Korea wewe kajamba nani unawapangia NK maisha yao.











 
Large-scale irrigation system Waterway in South Hwanghae Province




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…