Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Kuishi miaka 100 katika hii dunia ni ngumu sana, kwa hiyo kunyimana uhuru wa kuishi hauna maana, hatuondoki na majengo wala miundo mbinu
Kwahiyo unataka uhuru wa kufanya ushoga?
 
Are you sure uko huru au insanity. Maana balance the moral and choice and nature.
Uhuru upo ila ukianza kugusa maslai ya watu lazima uhuru wako upungue, kwa sababu anayepata maslai hayuko tayari kupoteza hayo maslai.
 
Uhuru upo ila ukianza kugusa maslai ya watu lazima uhuru wako upungue, kwa sababu anayepata maslai hayuko tayari kupoteza hayo maslai.
Uhuru unaoulilia hapa Tanzania, upo na uhuru wa kufanya nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…