Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Duh,!! wanajitegemea kwa asilimia kubwa mnoo, naona vitu vingi wanajitengenezea wao wenyewe.

NAona wanajenga site kwa ajiri ya utalii wa pwani, kama hakuna watalii basi wasingejenga eneo kubwa kama hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…