Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Ni kweli kwamba sehemu za mjini jamaa wameendelea sana. Ila kwa vijijini ambako HAIRUHUSIWI. NARUDIA TENA; HAIRUHUSIWI KABISA kupiga picha kuna umasikini mkubwa. Picha zinazopigwa ni za maeneo mazuri mazuri tu tena kwa maelekezo. Ukikutwa umepiga picha sehemu zile mbaya mbaya, unaweza hata kunyongwa.

Shezia zao zinasema: Kuwa mwangalifu sana unapopiga picha. Ni kinyume cha sheria kupiga picha kitu chochote isipokuwa tovuti maalum za watalii wa umma . Omba ruhusa kila mara kwa mwongozo wako wa Korea Kaskazini kabla ya kupiga picha. Korea Kaskazini ina sheria kali kuhusu kile unachoweza kuleta nchini.
 
Sasa mzee unataka kijijini palingane na mjini? Hebu tuoneshe vijiji vya USA
 
Nchi nyingine Simone kijijini?
 
Msaada wa China wa chakula, mafuta, madawa, mbolea n.k kwa Korea Kaskazini ndio unaliwezesha taifa hilo kutoanguka mpaka sasa hivi.

Msaada mkubwa zaidi wa China nje ya nchi unaenda kwa Korea Kaskazini.
 
Kuna wakati Television ya taifa ilionyesha mtangazaji wa habari analia kwa furaha kwa sababu mvua imenyesha siku ya kumbukumbu ya birthday ya baba yake Kiduku!
 
Hujui chochote, umeshiba propoganda nyepesi tu.

Soma hivi utaelewa.

1. Escape from camp 14- Blaine Harden
2. In order to Live- Yeonmi Park
3.How I become North Korean
4.Without You there is no us- Suki Kim
5.The great Leader and the fighter pilot.
6. Nothing to Envy
7. North of DMZ
8.Dear Leader- Jang Jin Sung
9.The Cleanest Race
10.The Hidden people of North Korea.
 
Ingia YouTube, tafuta DW documentary ya inside North Korea utakubaliana na mtoa thread. Au tafuta documentary yoyote ya NK. Utakubali wale jamaa wako mbali sana, pamoja na kuwa labelled kuwa ni maskini in terms of GDP
Ni hapo juzi tu kati ya mwaka 1994-1998 North Korea ilikumbuwa na njaa ya kutisha "Arduous March" ambapo watu milioni 3 walikufa kwa njaa. Maelfu walikuwa wakijaribu kutoroka nchi hiyo kama ilivyokuwa kwa raia wa Zimbabwe, tofauti huko Korea Kaskazini wakikumata unataka kutoroka nchi wanakupiga risasi.

Uzuri madikteta huwa hayawezi kuficha njaa za raia waka na kuanguka kwa uchumi.
 
Ushoga sio utamaduni wa USA ndio maana BRICS yote, Cuba, DRC, na nchi nyingine nyingi tu Ushoga upo, ni ruhusa na sio kosa kwa sheria za nchi.
 
Huko YouTube tafuta pia

North Korea famine
Escape from North Korea
Camp 14 North Korea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…