Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #81
Ndio tabia zetu sisi watu weusi hivyo ndio vitu pekee tunaweza chuki ila maendeleo tuwaachie watu weupeKuna watu hawaoendi maendeleo ya China wanaichukia China na Wachina kwa ujumla
Ladha ya mijadala ni kutanua wigo wa kujadili ili kuogezeana maarifa, sasa inapokuja mtu anadadisi au anaongezea kitu ambacho hakimpendezi mwingine kwa kuwa yeye hataki iwe vile ilishakuwa ndiyo shida huanzia hapo.Huko juu nimeona NEGATIVE comments
Kitu gani kina wa'drive mpaka mnapenda kuongelea jambo in negative way. ?
Mfano Paris umechorwa ule mji🙌Ladha ya mijadala ni kutanua wigo wa kujadili ili kuogezeana maarifa, sasa inapokuja mtu anadadisi au anaongezea kitu ambacho hakimpendezi mwingine kwa kuwa yeye hataki iwe vile ilishakuwa ndiyo shida huanzia hapo.
Mfano, binafsi sikumbishia mleta mada, nikaenda mbele zaidi kuwa siyo China tu, hata Afrika ya sasa inajengeka kuliko maeneo mengi ya Ulaya na Marekani, ila kabla ya ku diss miondo mbinu ya wale, wengine tujiulize, je, SERA na Sheria zinasemaje?
Pia tuelewe, kuna wale walishajenga na hata sasa haiwapi shida kwanini waanze kujenga tena badala ya kufanya mengine?
Kingine kuna nchi zenyewe zinataka kusambaza watu katika maeneo mengi zaidi ya nchi zao kwa kuwa yapo empty, wakati nchi nyingine watu wake wanafurika mijini, hapo lazima ujenge maghorofa marefu kwa ajili ya makaazi na ofisi. Kuna factors nyingi tu. Pia kuna cultural issue.
Unaweza ukaleta hoja kama hii, lakini mwingine akaikataa kwa sababu inakwamishabkile alichokusudia. Hapo tunakuwa tunaufinya mjadala.
Tupe mfano nchi gani inasambaza watu wake.Ladha ya mijadala ni kutanua wigo wa kujadili ili kuogezeana maarifa, sasa inapokuja mtu anadadisi au anaongezea kitu ambacho hakimpendezi mwingine kwa kuwa yeye hataki iwe vile ilishakuwa ndiyo shida huanzia hapo.
Mfano, binafsi sikumbishia mleta mada, nikaenda mbele zaidi kuwa siyo China tu, hata Afrika ya sasa inajengeka kuliko maeneo mengi ya Ulaya na Marekani, ila kabla ya ku diss miondo mbinu ya wale, wengine tujiulize, je, SERA na Sheria zinasemaje?
Pia tuelewe, kuna wale walishajenga na hata sasa haiwapi shida kwanini waanze kujenga tena badala ya kufanya mengine?
Kingine kuna nchi zenyewe zinataka kusambaza watu katika maeneo mengi zaidi ya nchi zao kwa kuwa yapo empty, wakati nchi nyingine watu wake wanafurika mijini, hapo lazima ujenge maghorofa marefu kwa ajili ya makaazi na ofisi. Kuna factors nyingi tu. Pia kuna cultural issue.
Unaweza ukaleta hoja kama hii, lakini mwingine akaikataa kwa sababu inakwamishabkile alichokusudia. Hapo tunakuwa tunaufinya mjadala.
SI KWELIPia tuelewe, kuna wale walishajenga na hata sasa haiwapi shida kwanini waanze kujenga tena badala ya kufanya mengine?
Kwanza uelewe kuwa Qin empire haikuwa all over China ilikua just eastern part of it ikajaribu wakati fulani kujitanua hadi central of China ikadhibitiwa. Na kuna maeneo mengine ya China yameondoka na kuwa nchi nyingine kama vile Mongolia, pia kuna yaliyochukuliwa na nchi nyingine kama vile Siberia ambayo imechukuliwa na Russia na kuna maeneo ambayo pia ikiyachukua kutoka nchi nyingine ma kuna ambayo hadi sasa China ina mzozo nayo kama vile Tibet na Taiwan na kuna maeneo ambayo China unayavutania na nchi nyingine kama huu mgogoro wake na India.Kabla ya Uhuru hakukwepo na USA but Qin Empire ilikuwepo zaidi Millennium
Sawa, mkweli weweSI KWELI
Bajeti zao za ujenzi wa miundombinu haziifikii bajeti ya ChinaSawa, mkweli wewe
Qin empire ndiyo iliyo set culture za china. Vipi USA nani aliset culture na ni mwaka gani?Kwanza uelewe kuwa Qin empire haikuwa all over China ilikua just eastern part of it ikajaribu wakati fulani kujitanua hadi central of China ikadhubitiwa. Na kuna maeneo mengine ya China yameondoka na kuwa nchi nyingine kama vile Mongolia, pia kuna yaliyochukuliwa na nchi nyingine kama vile Siberia ambayo imechukuliwa na Russia na kuna maeneo ambayo pia ikiyachukua kutoka nchi nyingine ma kuna ambayo hadi sasa China ina mzozo nayo kama vile Tibet na Taiwan na kuna maeneo ambayo China unayavutania na nchi nyingine kama huu mgogoro wake na India.
Kingine, hapa tunaongelea China, wewe unaongelea Qin empire lakini hautaki kuiongelea USA before independence wala Tanzania kabla ya Union wala Tanganyika kabla ya Independence.
Namna dunia ilivyo aihiitaji watu wanyonge kabisa ukiwa mnyonge unatandikwa unaporwa mali yako hii ipo toka kale mpaka sasa na sioni ikikoma.Kwanza uelewe kuwa Qin empire haikuwa all over China ilikua just eastern part of it ikajaribu wakati fulani kujitanua hadi central of China ikadhubitiwa. Na kuna maeneo mengine ya China yameondoka na kuwa nchi nyingine kama vile Mongolia, pia kuna yaliyochukuliwa na nchi nyingine kama vile Siberia ambayo imechukuliwa na Russia na kuna maeneo ambayo pia ikiyachukua kutoka nchi nyingine ma kuna ambayo hadi sasa China ina mzozo nayo kama vile Tibet na Taiwan na kuna maeneo ambayo China unayavutania na nchi nyingine kama huu mgogoro wake na India.
Kingine, hapa tunaongelea China, wewe unaongelea Qin empire lakini hautaki kuiongelea USA before independence wala Tanzania kabla ya Union wala Tanganyika kabla ya Independence.
Hili neno Shenyang mbona linasound kama Shinyanga😁Shenyang
Shenyang is the capital and largest city of China’s northeast Liaoning Province. It was the site of the 17th-century Manchu capital Mukden, and the imposing Mukden Palace (Shenyang Imperial Palace) is a blend of Manchurian and Tibetan architectural styles. Mausoleums of Qing dynasty emperors can be found at Zhaoling Tomb, amid the pine forests and lakes of Beiling Park, and at Fuling Tomb in the city’s east.
View attachment 2754472
View attachment 2754474
View attachment 2754475