Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mwaka 2021 Biden mwenyewe alikiri kuwa China iko mbele ya US kwenye miundombinu.Pia tuelewe, kuna wale walishajenga na hata sasa haiwapi shida kwanini waanze kujenga tena badala ya kufanya mengine?
Wale sio mbuzi,mbuzi gani anavukia kwenye zebraHATUWEZI kufika huko wako Mbali Sana, Nasubiri kuona Picha yenye mbuzi kukatisha mitaa Kama wa pale posta
China ni muungano wa dynasties zaidi ya moja. Ndio maana ikaitwa People's Republic of China.Namna dunia ilivyo ihiitaji watu wanyonge kabisa ukiwa mnyonge unatandikwa unaporwa mali yako hii ipo toka kale mpaka sasa na sioni ikikoma.
Qing dynasty ilivyokuwa dhaifu wajapan na Europeans wakawatandika na kuwatawala na kupora mali nayo Republic Of China ilivyokuwa dhaifu outer Mongolia ikajimegua kutoka China Republic Of China bado wanaidai kwa chini chini sasa hawa People's Republic Of China wao ndio hawataki yawatokee yaliyo watokea wenzao.
Hongkong kilikuwa kinaenda kunuka bila kudhibitiwa, Xinjiang napo, Tibet napo, Taiwan haiwezi chomoka. Baadhi ya maeneo ya Siberia yalirudishwa kwa hao wakomunisti baada ya wao kutandikana na wasovieti miaka ya mwisho ya 60 mpaka uhusiano wao na Usovieti kuyumba na China kuimarisha uhusinao na US miaka ya 70
Hawa jamaa wanachekesha sana waliamua kupigana marungu na India kisa borderView attachment 2754480
Atakubishia sababu ameshiba umarekani... Hataki kutoka nje ya boxBajeti zao za ujenzi wa miundombinu haziifikii bajeti ya China
Wanajenga ila sio kwa level za China kwa sababu ya ufinyu wa bajeti zao
Ujenzi unaofanywa China unataka uwe na kibunda mkuu
Kumbuka jiji moja la China linaweza kuwa na miundombinu kama ya nchi moja pale Ulaya na hapo wana majiji zaidi ya 90 ambayo ni ya kisasa.
Just imagine!
Yes, nafahamu hata hao Europeans na Japan hawakutawala China yote bali baadhi tu ya maeneo hawakuweza kuangusha hata dynasty iliyopo.China ni muungano wa dynasties zaidi ya moja. Ndio maana ikaitwa People's Republic of China.
Mataifa mengi wakati huo yalikuwa yakipigana na dynasty moja moja sio China kwa ujumla kama tunayoiona leo
Duuuuh! Kama jani la mti wacha sisi tuendelea kukamata mitumba ya mabaka mabaka na kulala chini kumpokea mheshimiwa maendeleo tuwaachie watu weupeSanya
Sanya is the southernmost city on Hainan Island, and one of the four prefecture-level cities of Hainan Province in South China.
View attachment 2754520
View attachment 2754525
View attachment 2754526
hata guta badoSema nini wenzangu hawa macho madogo wapo mbali sana wametuachia upepo tu wanakimbia kwa speed ya rocket huku sisi ni mwendo wa guta
Tunatambaahata guta bado
tuyliowapa vijiti wanacheza ndiki bado hawajaanza mbio.Tunatambaa
Bado wanaimba ababa amama na kunyonya vidoletuyliowapa vijiti wanacheza ndiki bado hawajaanza mbio.