Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

Xiangtan​

Xiangtan is a prefecture-level city in east-central Hunan province, south-central China. The hometowns of several founding leaders of the Chinese Communist Party, including Chairman Mao Zedong

1695125533951.png


1695125645925.png


1695125687077.png
 

Nanchong​

Nanchong is a prefecture-level city in the northeast of Sichuan province, China, with an area of 12,479.96 km². At the 2020 census it was home to 5,607,565 people, of whom 1,936,534 lived in the built-up area made of three urban districts. It is the second most populated city of Sichuan Province, after Chengdu.

1695125832080.png


1695125848877.png


1695125914048.png


1695125935792.png


1695125956769.png
 
Mmh wenzetu wako mbali...miji 100?!!
Sie wote Kila 1 anataka kwenda kuishi dar ,tuna safari ndefu
China ina Watu wengi kuliko Africa nzima, kifupi China, USA na India ni kama Mabara, sometime ni uonevu kufananisha na Nchi.

Kwa Comparison nzuri vyema Ufananishe na Miji kama Cairo, Johannesburg, Lagos etc.
 
China ina Watu wengi kuliko Africa nzima, kifupi China, USA na India ni kama Mabara, sometime ni uonevu kufananisha na Nchi.

Kwa Comparison nzuri vyema Ufananishe na Miji kama Cairo, Johannesburg, Lagos etc.
Duh ila kweli Lagos noma 🙌
 

Luzhou​

Luzhou, formerly transliterated as Lu-chou or Luchow, is a prefecture-level city located in the southeast of Sichuan Province, China. The city, named Jiangyang until the Southern and Northern Dynasties, is known as the "Liquor City".

1695126111234.png


1695126143968.png


1695126224469.png
 

Zhangzhou​

Zhangzhou is a prefecture-level city in Fujian Province, China. The prefecture around the city proper comprises the southeast corner of the province, facing the Taiwan Strait and surrounding the prefecture of Xiamen.

1695126551709.png


1695126577476.png


1695126651229.png


1695126673809.png
 
USA wana mradi wa kujenga staffs apartments 200, 000/= tangu miaka ya 1700, hawajawahi kuuacha na hawana mpango wa kuuacha.

Inshu ya kusitisha ujenzi wa infrastructures ni sawa ila inategemeana na sera za nchi husika ila si nchi zote za magharibi sababu kila siku Watu huongezeka zaidi kwa kuzaliwa, makazi ya kuhamia kuliko wanaokufa
Hizo analysis vijana hawataki kuzikubali, wanataka wote wafanya kama yule.
 

Tangshan​


Tangshan is a coastal, industrial prefecture-level city in the northeast of Hebei province. It is located in the eastern part of Hebei Province and the northeastern part of the North China Plain. It is located in the central area of the Bohai Rim and serves as the main traffic corridor to the Northeast.
1695127088307.png


1695127134609.png

1695126989789.png


1695127019894.png
 
Wahindi ni wachafu sana. Disorganized ndio walioiharibu TZ
Kwa Wahindi nakuunga mkono.
Hapo bongo tu, hivyo vi apartments vya posta na upanga wanaishi kama familia moja, lakini kumbe wamepangishana vitanda tena double decker na kila kitanda ni kama tsh 200,000 hadi 300,000.
 

Cangzhou​

Cangzhou is a prefecture-level city in eastern Hebei province, People's Republic of China. At the 2020 census, Cangzhou's built-up area made of Yunhe, Xinhua districts

1695127297551.png


1695127313251.png

1695127489571.png
 

Jiamusi​


Jiamusi is a prefecture-level city in eastern Heilongjiang province, People's Republic of China. Located along the middle and lower reaches of the Songhua River, it faces Russia's Khabarovsk Krai across the Ussuri River and the Heilongjiang. In 2018, Jiamusi had a GDP of RMB 101.2 billion with a 4.3% growth rate.

1695127750836.png


1695127833971.png


1695127878544.png
 
CCM inapenda kujilinganisha na CCP ya China. Hebu watazame wenzao wanayoyafanya, siyo kuwaza kununua mashangingi na kuwalipa wake wa wastaafu posho
 
China wamejitahidi sana na wanazidi kutengeneza namna bora ya kuishi.
Ukiingia kwenye hiyo Tower ya Shangai kwenye floor ya 49 kama sijakosea kuna display ya Mji wa Shanghai itakavyoonekana baada ya miaka 50 ijayo...inashangaza kidogo wenzetu wanawezaje na sisi tunashindwa nini.
Tatizo ngozi nyeusi tukiambiwa tuache kufululiza kula ugali maharagwe hatutaki, mtu mishipa inamtoka kabisa eti "acha dharau hicho ndio chakula kilichotukuza", sasa chakula kumkuza mtu ndio inabadili kweli kwamba kinadumaza akili au

Anyway tuendelee kukuzwa na ugali maharagwe, mwisho wa siku kazi zetu nyingi tunazoziweza zitaishia kuwa hizi hizi za kutumia nguvu, hizo za kutumia akili tuwaachie hao wenzetu wanaojua kupangilia vyakula vizuri

Na pia tuendelee kuwekeza kwenye kuwaza ngono na namna ya kulana kimasihara, nina imani hayo ndio yatatusaidia zaidi, hii miji kujengeka kama huko itajijenga yenyewe tu
 
Venus Star wewe ni mtata, kwa watu wa magharibi na washabiki zake. Tulizoea kulinganisha miji ya kwetu. Chugga vs Mwanza nk. Dsm vs Nairobi. Sasa umeleta ulaya yote na marekani vs China.

Kwa hali ilivyo sasa jamaa watabaki wanyonge kwa china.
 
Mji gani ulaya umejengwa miaka 500. Utaje. Tangu Marekani apate uhuru mpaka leo hii ni miaka 247. Marekani alipata uhuru July 4, 1776
Kwahiyo kupata uhuru 1776 ndo kuanza kwa maisha marekani sio? Nchi ina watu wa hovyo sana hii!
 
Kati ya China na Ulaya ni ipi yenye historia ya zamani?
Nipe historia kama hii toka ulaya
The Great Wall was continuously built from the 3rd century BC to the 17th century AD on the northern border of the country as the great military defence project of successive Chinese Empires, with a total length of more than 20,000 kilometers.
We punguani unajua China amepata maendeleo lini lakini? Ulaya ni ulaya mzee ndo maana hamna mdenish au muingereza anauza mapazia na sabuni kama wachina kariakoo... kajifunze tena Acha ushabiki wa kichoko.
 
Back
Top Bottom