Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #161
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China ina Watu wengi kuliko Africa nzima, kifupi China, USA na India ni kama Mabara, sometime ni uonevu kufananisha na Nchi.Mmh wenzetu wako mbali...miji 100?!!
Sie wote Kila 1 anataka kwenda kuishi dar ,tuna safari ndefu
Duh ila kweli Lagos noma 🙌China ina Watu wengi kuliko Africa nzima, kifupi China, USA na India ni kama Mabara, sometime ni uonevu kufananisha na Nchi.
Kwa Comparison nzuri vyema Ufananishe na Miji kama Cairo, Johannesburg, Lagos etc.
Wahindi ni wachafu sana. Disorganized ndio walioiharibu TZChina ina Watu wengi kuliko Africa nzima, kifupi China, USA na India ni kama Mabara, sometime ni uonevu kufananisha na Nchi.
Kwa Comparison nzuri vyema Ufananishe na Miji kama Cairo, Johannesburg, Lagos etc.
Wala msiwasingizie wahindi, sehemu pekee zilizopangika Tanzania ni hao wahindi walipokua zamani, Kkoo, Mjini, Upanga etc.Wahindi ni wachafu sana. Disorganized ndio walioiharibu TZ
Angalia miji yao ilivyojaa bajaji na takataka. Wahindi wa ovyo mno. Uchafu ni jadi yaoWala msiwasingizie wahindi, sehemu pekee zilizopangika Tanzania ni hao wahindi walipokua zamani, Kkoo, Mjini, Upanga etc.
Hizo analysis vijana hawataki kuzikubali, wanataka wote wafanya kama yule.USA wana mradi wa kujenga staffs apartments 200, 000/= tangu miaka ya 1700, hawajawahi kuuacha na hawana mpango wa kuuacha.
Inshu ya kusitisha ujenzi wa infrastructures ni sawa ila inategemeana na sera za nchi husika ila si nchi zote za magharibi sababu kila siku Watu huongezeka zaidi kwa kuzaliwa, makazi ya kuhamia kuliko wanaokufa
Kwa Wahindi nakuunga mkono.Wahindi ni wachafu sana. Disorganized ndio walioiharibu TZ
Tatizo ngozi nyeusi tukiambiwa tuache kufululiza kula ugali maharagwe hatutaki, mtu mishipa inamtoka kabisa eti "acha dharau hicho ndio chakula kilichotukuza", sasa chakula kumkuza mtu ndio inabadili kweli kwamba kinadumaza akili auChina wamejitahidi sana na wanazidi kutengeneza namna bora ya kuishi.
Ukiingia kwenye hiyo Tower ya Shangai kwenye floor ya 49 kama sijakosea kuna display ya Mji wa Shanghai itakavyoonekana baada ya miaka 50 ijayo...inashangaza kidogo wenzetu wanawezaje na sisi tunashindwa nini.
Kwahiyo kupata uhuru 1776 ndo kuanza kwa maisha marekani sio? Nchi ina watu wa hovyo sana hii!Mji gani ulaya umejengwa miaka 500. Utaje. Tangu Marekani apate uhuru mpaka leo hii ni miaka 247. Marekani alipata uhuru July 4, 1776
We punguani unajua China amepata maendeleo lini lakini? Ulaya ni ulaya mzee ndo maana hamna mdenish au muingereza anauza mapazia na sabuni kama wachina kariakoo... kajifunze tena Acha ushabiki wa kichoko.Kati ya China na Ulaya ni ipi yenye historia ya zamani?
Nipe historia kama hii toka ulaya
The Great Wall was continuously built from the 3rd century BC to the 17th century AD on the northern border of the country as the great military defence project of successive Chinese Empires, with a total length of more than 20,000 kilometers.