Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #61
Kumbe wanamaduka makubwa? Mnawaoneagere? sasa wakati umefika wakula mali zao,kumbuka jasho la mtu haliliwi,nanyie chapeni kazi mtajirika kama wao.
Aaaah, kumbe ni kile ukijuacho! sawa! Umepotoka vingi sana, sina muda wa kutosha kukuweka sawa ila kwa kuanzia tu ni kwamba kagame hakua kiongozi wa RPF wakati wanaanza vita, kiongozi alikua ni Fred Rwigyema alieuawa vitani na inasadikiwa Kagame ndie mhusika wa kumuua! Pia kwa mujibu wa waraka wa mtikila (ambao kwa kiwango kikubwa umefanyiwa utafiti wa kutosha) habari zako nyingi ni za uongoHahaa mkuu sijapendelea, nimeeleza kile nikijuacho tu
Mkuu kuna weza kua na ukweli kwani inasemekana kikwete ni muhutu wa burundi,wazazi wake walikuja wakati wa kilimo cha mkonge tanga,sasa tusije kua tuko katika mgogoro wa wahutu na watutsi bila kujifahamu.
Aaaah, kumbe ni kile ukijuacho! sawa! Umepotoka vingi sana, sina muda wa kutosha kukuweka sawa ila kwa kuanzia tu ni kwamba kagame hakua kiongozi wa RPF wakati wanaanza vita, kiongozi alikua ni Fred Rwigyema alieuawa vitani na inasadikiwa Kagame ndie mhusika wa kumuua! Pia kwa mujibu wa waraka wa mtikila (ambao kwa kiwango kikubwa umefanyiwa utafiti wa kutosha) habari zako nyingi ni za uongo
Nilidhani unajua kitu kumbe hujui,
Unaleta yale yale ya "inasemeka"??
Duuh waswahili sisi tunakasumba mbaya sana,
Kwahiyo kwako Mtikila ni biblia/msahafu?,
Nikuulize swali la kizushi,
Kwanini Kagame hakwenda kuwa Rais tangu siku zile ya usiku wa mauaji ya rais 1964, akamuachini Bizmungu kisha akampindua 2000?
Sijui cha kuchangia inapofika story the kikabila kabila. Nasikia amatiku sana.
Hehee hilo watakubishia mpaka utatukanwa vibaya,
Hawapendi hayo kabisa!
1. Ni kweli lazima nitumie inasemekana kwasababu ni habari ambayo haijathibitishwa na uchunguzi wowote huru!, Pia we mwenyewe ulivyoandika vyote ni historia ambayo ni mambo yanayosemekana!, au ulishuhudia? (Cha muhimu ni kukubali tu kwamba Kagame hakua kiongozi wa RPF wakati vita inaanza, wala hakuwepo Africa, alikua Marekani)
2. Mtikila alitoa ushahidi, we unataka tukubali habari yako ambayo ni baseless!, we ndio biblia au msahafu? Kasumba mbaya ndio hii sasa!
3. Uandishi tena wa historia kama huo wako hauwezi kukosa reference ikawa habari ya kuthaminiwa! haina tofauti na story za shigongo!
3. Maswali ya kizushi huwa sijibu, 1964? raisi yupi?
4. Mi sio mswahili, ni mtanzania
Huo ni mtazamo finyu sana mkuu,
Kile Rwanda inachokifanya Kongo laiti ungefunguka macho nakuona usingesema haya!
Mkuu unaonyesha wazi unayo hoja moyoni na akilini mwako lakini unashindwa kuipangilia na kuiwasilisha hapa mkuu,
Hebu tuliza mapepe na presha, weka adabu mbele kisha lete hiyo hoja maalimu wangu!,
Ukiweka jazba maswala ya msingi yanayohitaji hoja, hata hoja uliyonayo huwa inapotea na kuwa vihoja!
Hehee hilo watakubishia mpaka utatukanwa vibaya,
Hawapendi hayo kabisa!
Hata ww ni muongo, kipindi Rwigyema anauawa Kagame alikua masomoni America, kifo hicho hicho kilipelekea PK kukatisha masomo ili kuja kuendeleza mapambano, huyo Mtikila unaedai kumwamini na yeye ni muongo na mnafki kama wewe tu!
Kuhusu kuigawa DRC ni sawa. Lakini hizo hadithi nyingine umependelea pendelea kwa watusi.
Mbona inajulikana waraka wa mtikila aliandikiwa na interahamwe tu,walimtumia ili iweze kupata support kwa wantanzania na kuleta tafaruku baina ya nchi mbili rwanda na tanzania kingine mke wa mtikila naye ni muhamiaji haramu sijui kama jk ataweza kubana kwani wote ni walewale.
Mkuu msitake kujichanganya congo sio tanzania,ile congo kaskazini ilikua rwanda,labda kama mnahisi kunasehemu ya tanzania ilikua rwanda,nakingine kilicho wafanya kushika silaha ni unyanyasaji wanaofanywa na interahamwe na serikali ya congo,mbona congo ina makundi zaidi ya 40 lakini hao hawasemwi? Hii ni chuki kwa watusi tu,tanzania aiwezekani.
mtikila aliweza kuthibitisha je wewe unaweza kuthibitisha kwamba aliyoyaandika ni ya uwongo hata kama alipewa na interahamwe?