Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna watu wanaishi Dar maisha magumu sana mpaka unajiuliza hivi huyu mtu kwanini asirudi kijijini kujipanga upya?

Ukiwa na time pita mitaa ya ndani ndani around Temeke uone nyumba zilivyo na maisha wanayoishi watu ukiwa na roho nyepesi unaweza kutokwa machozi
 
Lakini kuna umeme? Nyumba ya sakafu, nje bomba la maji.

Kwa sisi tulioishi kwenye typical vijiji tunasema maisha ya mjini ni bora sana hata iweje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…