Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Nimekwambia nenda huko duniani na si mikoani utajua dar ni kijiji
Dar Ni Kijiji kikubwa Cha wavuvi.
Screenshot_20230108-133011.jpg
 
DSM chumba Tsh 100,000
Mkoani nyumba kukodi 100,000
Unategemea nini hapo
Hajazungumzia Mlinganisho wa gharama kwa hizo sehemu hizo mbili.

Tatizo lipo kwenye matambo, Uongo na majigambo wanayoletaga washkaji wa Dsm

Wangekuwa really na halisi kusingekuwa na Aibu wala lawama

Sent from my Samsung A13
 
Hivi mwanaume unapata wapi ujasiri wa kutembelea mkoa fulani na kutaka ufikie/ulale kwa mwanaume mwenzio?
Hebu acheni unafiki kuna thread nyingi humu wengine mnasema hamruhusu hata ndugu zenu wafikie kwemye nyumba zenu kwasababu hamuamini mtu na watoto wenu,leo tena mnalialia mmekataliwa kufikia kwa wanaume wenzenu.
Kuna watu hawana aibu ati, akishafika ndo haondoki. Akiondoka jua unakuwa adui wake
 
Kwanini usimpeleke evelyn?
Hapana asee.....

1: kuna mmoja alitoka mkoa anaomba nimepeleke kutafuta shela, siku hiyo nlikua na buku tu mapema asubuhi nikatoka home tembea sinza yote tangu saa nne asubuhi hadi kumi na moja jioni, njaa balaa nauli nshatumia jero imebaki jero...kumi na moja akatoa 1m akalipa kisha akaniambia kwaheri yani kuzunguka kote asiseme hata tukae tule hata chips kavu 😏😏 nikarudi home na njaa na mchoko nikasema sirudii

2: akaja mwingine nipeleke kariakoo bwana weeeh zunguka mno nipeleke kwenye viatu, kwenye pochi, kwenye vyupi, maduka ya nini sijui kabeba mamfuko hayooo hata kusema basi mwenyeji wangu nae nimchukulie hata kyupi hakunaaa😏😏😏

Nimeshakoma mi siwezi kwenda na mtu shopping tena kanipeleka nisiache kumnunulia chochote haipo....japo sio kwamba ndio inalipa muda wa mtu ila ina maana hata kama ni kitu kidogo. kwahiyo watu wa mikoa kwahilo wasahau pambafff
 
Kuna watu hawana aibu ati, akishafika ndo haondoki. Akiondoka jua unakuwa adui wake
Hao wa kukaa ni ma jobless mzee au wanafunzi..tunaongelea tayar kwa watu wanajiweza.ambaye km una inshu mkoani mwake anakukampani kwa ile tym ambayo mtakuwa wote free na inshu zingine..
 
Daaaa watu wanamaisha magumu balaa ,muda wote wanatoa jasho na hasira usoni .....

Hawana tabasamu kabisa usoni ,muda wote wamenuna ,jua linawapiga mpaka mfukoni ...

Ukiwa kituo cha daladala utaona nyuso zao zilivochoka na kukasirika [emoji848][emoji848][emoji91][emoji91][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ina ukweli asilimia kubwa, maana watu wengi wa Dar wanaunga unga maisha.
 
Hapana asee.....

1: kuna mmoja alitoka mkoa anaomba nimepeleke kutafuta shela, siku hiyo nlikua na buku tu mapema asubuhi nikatoka home tembea sinza yote tangu saa nne asubuhi hadi kumi na moja jioni, njaa balaa nauli nshatumia jero imebaki jero...kumi na moja akatoa 1m akalipa kisha akaniambia kwaheri yani kuzunguka kote asiseme hata tukae tule hata chips kavu 😏😏 nikarudi home na njaa na mchoko nikasema sirudii

2: akaja mwingine nipeleke kariakoo bwana weeeh zunguka mno nipeleke kwenye viatu, kwenye pochi, kwenye vyupi, maduka ya nini sijui kabeba mamfuko hayooo hata kusema basi mwenyeji wangu nae nimchukulie hata kyupi hakunaaa😏😏😏

Nimeshakoma mi siwezi kwenda na mtu shopping tena kanipeleka nisiache kumnunulia chochote haipo....japo sio kwamba ndio inalipa muda wa mtu ila ina maana hata kama ni kitu kidogo. kwahiyo watu wa mikoa kwahilo wasahau pambafff

Pole sana, ukajua Kila mtu mzungu kama wewe?
 
Back
Top Bottom