Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Ila
Hapana asee.....

1: kuna mmoja alitoka mkoa anaomba nimepeleke kutafuta shela, siku hiyo nlikua na buku tu mapema asubuhi nikatoka home tembea sinza yote tangu saa nne asubuhi hadi kumi na moja jioni, njaa balaa nauli nshatumia jero imebaki jero...kumi na moja akatoa 1m akalipa kisha akaniambia kwaheri yani kuzunguka kote asiseme hata tukae tule hata chips kavu 😏😏 nikarudi home na njaa na mchoko nikasema sirudii

2: akaja mwingine nipeleke kariakoo bwana weeeh zunguka mno nipeleke kwenye viatu, kwenye pochi, kwenye vyupi, maduka ya nini sijui kabeba mamfuko hayooo hata kusema basi mwenyeji wangu nae nimchukulie hata kyupi hakunaaa😏😏😏

Nimeshakoma mi siwezi kwenda na mtu shopping tena kanipeleka nisiache kumnunulia chochote haipo....japo sio kwamba ndio inalipa muda wa mtu ila ina maana hata kama ni kitu kidogo. kwahiyo watu wa mikoa kwahilo wasahau pambafff
Ila km kweli we ulikuwa mtoaji basi hao marafiki walikufanyia vibaya..
Ila wengi wenu wa huko mnapenda sana OFFER..
 
Hapana asee.....

1: kuna mmoja alitoka mkoa anaomba nimepeleke kutafuta shela, siku hiyo nlikua na buku tu mapema asubuhi nikatoka home tembea sinza yote tangu saa nne asubuhi hadi kumi na moja jioni, njaa balaa nauli nshatumia jero imebaki jero...kumi na moja akatoa 1m akalipa kisha akaniambia kwaheri yani kuzunguka kote asiseme hata tukae tule hata chips kavu [emoji57][emoji57] nikarudi home na njaa na mchoko nikasema sirudii

2: akaja mwingine nipeleke kariakoo bwana weeeh zunguka mno nipeleke kwenye viatu, kwenye pochi, kwenye vyupi, maduka ya nini sijui kabeba mamfuko hayooo hata kusema basi mwenyeji wangu nae nimchukulie hata kyupi hakunaaa[emoji57][emoji57][emoji57]

Nimeshakoma mi siwezi kwenda na mtu shopping tena kanipeleka nisiache kumnunulia chochote haipo....japo sio kwamba ndio inalipa muda wa mtu ila ina maana hata kama ni kitu kidogo. kwahiyo watu wa mikoa kwahilo wasahau pambafff
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eve wee Una nn? Nimecheka had machozi.
 
Ila

Ila km kweli we ulikuwa mtoaji basi hao marafiki walikufanyia vibaya..
Ila wengi wenu wa huko mnapenda sana OFFER..
Khaaaa watu wa mikoa hapana kwakweli, tutakua tunawapandisha treni la mwakyembe wakahangaike wenyewe
 
Yani sirudii asee hiyo sio tabia nzuri, nimeacha kazi zangu mambo yangu nampeleka mtu yeye anashindwa kuonesha walau anathamini....ila we nitakupeleka😁

Bado amekubebesha mizigo na mafurushi ya vitu vyake. Ooh! Ahsante Rafiki, acha nimpange Demi utupeleke chimbo, tutakutoa hata ukwaju wa jero. Haurudi midomo Mikavu
 
[emoji1][emoji1] anakuhesabia unavyotumia unit zake za umeme as if gharama ya Unit ya umeme kwa dar Ni tofauti na ya mkoani ambako wakija hua wanashinda wanaangalia tv kwny majumba ya watu kabla jioni hajatoka kuzunguka mji ili aje awahadithie jinsi gani ambavyo ameona maeneo mazuri ya ku-invest hapo mkoani kwenu ambako nyie wa mkoani hamtumii fursa.

Utamsikia tu:

1.Lile eneo ukipiga lodge yako ya maana, hakikisha Ina maji ya Moto(heater) ukaweka na jiko lako la kitimoto unatoboa fasta.

2.Mara aseme nimejaribu kucheki English medium zilizopo huku naona bado bado Sana hii ni fursa Sana.

3.Baadae anawaambia Ni namna gani anataka anunue maeneo makubwa ya kilimo aje afanye kilimo Cha kisasa huku akisema si unajua tena nguvu zinapungua ni muhimu niwekeze huku mkoani.[emoji1][emoji1] Mtasubiri huo uwekezaji.

4.Nimekumbuka hua wanauliza tena hivi kutoka sehemu flani mpk sehemu flani Ni Kilometers ngapi?Mkishamwambia unauliza fasta barabara ikoje akishaambiwa anasema hio Ni fursa ukiweka Coaster yako Ni uhakika kupiga pesa.

Watu wa Daslam wanajionaga wao ndio 'smartest person in the room',nyie wa mkoani Ni mafala flani hivi.

Kumbe wao Ni wazee wa Day dreaming na maneno mengi yenye lafudhi ya kidaslam [emoji1][emoji1]
Tumekosa sisi tusamehewe tusamehewe
Ila na nyie wenzangu acheni majisifu ona sasa tunadharaulika na wa kupuliza
 
Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar.

Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume..

Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu sana,huwakuta jamaa zao wanamaisha bora,makazi bora na hata familia bora.

Ila kwa kuwa wengi wao si wazungumzaji wa maisha yao wanayoishi huko mikoani basi huwa ni SURPRISE kubwa sana kwa hawa jamaa zao wa Dar..
Sasa kimbembe kinakujaga pale hawa jamaa wa mikoani wanapokuja Dar labda kuna inshu fulani zimewaleta na kuwapigia simu washkaji zao wenyeji ambao hujitapa wazee wa mishe nyingi za hela kuja kuwapokea ...!!!!

Hapo wasela lazma walale mbele na visingizio kibao ili mradi jamaa yao asijue wanapoishi tokana na zile tambo zao za kila siku kwenye kupiga mastori nao kwenye simu

Jamaa huwaza huwaza watamlaza mgeni wapi ikiwa wanajua mgeni anavyoishi alipotoka

Jamaa huwaza watarudisha vipi lile bata mwenyeji wao alilowapa walipokuja mkoani kwa gharama zake peke yake siku zote walizokuwepo huko..na wao wakijitapa hayo ndio maisha yao ya kila siku huku Dar

Na mambo kibao..HIVYO HUONA KULIKO KUAIBIKA NA KUJULIKANA MAISHA HALISI BORA KULALA MBELE NA KUSINGIZIA AMEPATA SAFARI YA GHAFLA KIKAZI MTWARA HIVYO KACHOMOKA ASUBUHI SANA😅😅😅😅😅😅😅😅
Nimechomoka asubuhi sana nipo Ikwiriri naelekea Masasi...hatari sana hatari kubakuba
 
Hao wa kukaa ni ma jobless mzee au wanafunzi..tunaongelea tayar kwa watu wanajiweza.ambaye km una inshu mkoani mwake anakukampani kwa ile tym ambayo mtakuwa wote free na inshu zingine..
Kama unajiweza kakae hotelini
 
Mim nmekaa na mtu hanisaidii chchte ndani hata kufua nguoz ake hawezi alikua analala sebuleni me naondoka namuacha anaamka sa tano. Bills ni kubwa kinyama maji nilipe 25 umeme elf 15.
Muda huo bado nikipika nyama kg moja nyingine nikiweka kweny kafrije kangu nakuta imedokolewa muda mwingine nampakulia mtoto chakula nakuta ety anaonja tena kwa mikono yake imekaa kama spanner.

Mungu anisamehe nlimtimua tu maan alinichosha kabisa nikinunua ety li jitu linakunywa maziwa ya mtoto ety anasema anapenda sana maziwa ya baridi


Ndugu zangu usikaribishe watu ni bora wakae huko huko kwa ndugu zao sijui wapi mim nmejifunza kabisa. Sitak aiseh.
Mim sa hiv sikwepeshi kabisa Bora nikae nadg angu akikosea namuelekeza basi maishae mengine yanasonga.
Mnaongeaga hivi baada ya kupata,lakini ukute mpaka kufikia hapo kuna watu wamekusaidi pakubwa,na usizani labda umemaliza mwendo bado sana ndugu yangu,labda wewe au wanao nao watakuja itaji tena msaada
 
Machoyo sana mamtu ya huko,huwa siyatafuti nikienda huko.
We ndo kama mimi,,, cha msingi nna pesa ya kuniweka sehemu ya nini kwenda kujibanza kwa mtu ingawa wakijua ulikuwepo mjini na hujahangaika kuwatafuta wanakuja na lawama lukuki wakati ungewatafuta ungepigwa chenga
 
Uliwahi kimsikia Trump alituitaje siye waafrika
Hiyo ni Africa kwa ujumla, kuna kasulu, lagos, tunduma, kondoa, johannesburg.

Tuje swali la msingi, kama ukilinganisha dar na duniani dar ni kijiji vipi ukilinganisha kakonko/simiyu/dodoma na duniani?
 
Back
Top Bottom