Ijue USA kwa namna nyingine (Details about USA you don't know)

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Kuna watu wanaweza wakashangaa sana kuona USA kuna watu wanaishi maisha magumu sana. Kwamba huko USA kuna watu hata mlo wa siku kwao ni shida. Kuna watu wanashinda njaa na wanakufa kwa kukosa chakula.
Leo katika uzi huu nitaenda kiundani sana kuiongelea Marekani katika mambo yafuatayo:-
1. Homeless People
2. Transport
3. Food
4. Security
Na mengine mengi tu
 
uzi tayari, au umeanza na picha kwanza
 
katika uchumi kuna kitu tushakisoma kinaitwa (HIDDEN POVERTY) Ni njia ambayo serikal nying inaitumia katka hii issue case study nzur ni UNITES STATE OF AMERICA .

Kama mataifa mengine USA masikin pia wapo lakin unaambiwa mabadiliko ya kimaisha ya mtu masikin ni makubwa .Yaan mwaka hadi mwaka watu wana improve kimaisha

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
 
Endelea nataka niwaone masikini wa NEW YORK, maana nasikia ndio inaongoza kwa kua na ma-trillionaire na ma-billionaire hao ma-mamillionaire ndio km takataka in term of $
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…