Ijue USA kwa namna nyingine (Details about USA you don't know)

Ungekuwa una zijua usinge andika huu uzi wako.

Maana hauna mantiki.
Mbona hujaleta mantik yoyote mfuasi wa marekani?
Unaambiwa watu milioni 42 karibia population ya Tanzania wanaishi below Poverty Line.

Yaani wanaishi chini ya dollar moja. Au unabisha na hili?
1691558197383.png
 
Ukifika kwenye maskini uniite maana naona unatumia nguvu nyingi kwa mlivyoaminishwa wazee wa death to America.
 
Sawa kijana wa mama Ngina.
Watu zaidi ya milioni 46 hawana msosi huko marekani halafu bado jamaa anajiita supa pawa 🤣 🤣 🤣 najua ndoto yako ni kwenda kukaa marekani

1691558573613.png
 
Kwa vyovyote,bora jamaa wa Niger kawashit.
Iweje una watu hawana hata pa kukaa,af wewe unajiona fahari,eti unatoa misada dunia nzima, kama siyo wizi tu. Watabumbuluka tu. Utajili wa wizi,tofauto kabisa na wa wale wanaojituma na kupita njia sahihi.
Eti kila mwaka tunabokea watu 5000 wa kupewa makazi
 
Sawa kijana wa mama Ngina.
Watu zaidi ya milioni 46 hawana msosi huko marekani halafu bado jamaa anajiita supa pawa 🤣 🤣 🤣 najua ndoto yako ni kwenda kukaa marekani

View attachment 2712365

Ndio ndoto ya hata nyie wavaa makanzu, huwa mnapatamani sana USA baby..japo mkikataliwa visa mnabwatuka "death to America"...
Soma data yako imeeleza definition ya hiyo low food security, sio sawa na njaa ya kwetu hapa Afrika, ni level tofauti sana.
 
Mtoto wa mama Ngina unasumbua sana.
Yaani niondoke kutoka kwenye nchi ya amani niende kwenye nchi inayoua watu wake kila siku. Huu utakuwa ni upumbavu. Je, wewe ni mpumbavu?
 
Mkikataliwa visa hua mnatukana sana....
Kuna mnatamani bora hata mkaishi kama mbwa wa Marekani....kuliko umaskini wenu hapo.
 
Nimekuamba, wenye ndoto ya kwenda USA ni ninyi wavivu na mashoga. Sisi wenye uwezo wetu our dream country is Tanzania.

Vipi kunyatalk.com imekufa?
 
Mashoga wengi mlioshindwa kwenda USA huwa mnakutwa na hao wazungu mnaliwa huko Pwani ambapo dini yenu ipo sana tu.
 
Mdogo wangu hebu kaa kimya. Shughulikia kwanza mambo ya kibera Slums.
 
Back
Top Bottom