Ijue USA kwa namna nyingine (Details about USA you don't know)

Ijue USA kwa namna nyingine (Details about USA you don't know)

Maisha ndio yalivyo. Hata apa Dar es salaam Kuna watu wanalala nje na wakati Kila siku anakula cocaine ya Tshs 15,000. Kwa iyo kulala nje no mipango na Wala sio kukosa pesa. Ni mipango tuuu
North Korea hakuna upumbavu kama huo.
 
Ukisikiliza wimbo wa Akon hautoshangaa hayo.

Wao kuishi kwenye Projects ni Umasikini ila kwa huku kwetu ukiishi NHC ni tajiri.
 
katika uchumi kuna kitu tushakisoma kinaitwa (HIDDEN POVERTY) Ni njia ambayo serikal nying inaitumia katka hii issue case study nzur ni UNITES STATE OF AMERICA .

Kama mataifa mengine USA masikin pia wapo lakin unaambiwa mabadiliko ya kimaisha ya mtu masikin ni makubwa .Yaan mwaka hadi mwaka watu wana improve kimaisha

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Sasa jambo ambalo we tanzanians sijui ni ujinga au nn Umasikini lazma uwepo hio ndio maana ya Uchumi sasa mnataka hao jobless wapew hela na makazi kila nchi zina Useless group of people
USA hata uoneshe upande wake mbya kias gan bado they way good kwenye kila kitu
 
Back
Top Bottom