Ijue USA kwa namna nyingine (Details about USA you don't know)

Ijue USA kwa namna nyingine (Details about USA you don't know)

Mkuu umeshawahi kwenda au unatuletea data za ku google? Kulinganisha states za America zenyewe kwa zenyewe ofcourse lazima upate zilizo maskini kati ya hizo. Lakini vipi ukilinganisha na huku kwetu?
 
Yamkini huu ndo ukawa uzi wa hovyo kupita kiasi toka 2023 ianze.
 
Mods jukwaa la international kuweni active jamani. Mambo ya kipuuzi haya ni kuyaondoa tu.
 
Inspector Haroun kwenye ngoma ya nje ndani kuna sehemu aliimba;

"Shuruba sio bongo hata UK, New York, Stockholm hilo lazima ufahamu
haujawahi kusikia mtu kalala njaa ndani ya Paris Ufaransa? Au kwakuwa mji wa maraha basi unajua watu hawalambi galasa?"
Ahahahah Dah mzee mwenzagu kama unayajua yote haya nakushauri OA aisee 😂😂.
Umenikumbusha mbali sana.Acha niitafute hii ngoma niiongeze kwenye playlist yangu
 
Ahahahah Dah mzee mwenzagu kama unayajua yote haya nakushauri OA aisee 😂😂.
Umenikumbusha mbali sana.Acha niitafute hii ngoma niiongeze kwenye playlist yangu
Tumeshakuwa age goo mzee mwenzangu ngoja nitafute mchumba nioe sasa 🤣🤣🤣

Iweke kwa playlist mkuu bonge la dundo hilo
 
Tulitegemea supa pawa maisha ya watu wake yawe ni mazuri. Kumbe wapi
kuna msaafu unasema masikini hawatakomaa juu ya nchi hivyo popote pale duniani kwenye nchi yoyote utakuta masikini wapo hivyo ukweli kuwa marekani kwa sasa ni nchi tajiri unaendelea kuwa ukweli!! hata kama kuna masikini ndani ya USA.
 
Tatizo nyuzi zako nyingi zinaishia hewani, so sijisumbui kusoma
 
Inspector Haroun kwenye ngoma ya nje ndani kuna sehemu aliimba;

"Shuruba sio bongo hata UK, New York, Stockholm hilo lazima ufahamu
haujawahi kusikia mtu kalala njaa ndani ya Paris Ufaransa? Au kwakuwa mji wa maraha basi unajua watu hawalambi galasa?"
Nje nje nje ndani,

popote kambi Babu weka maskan,

Nje nje nje ndani,

Km ipo ipo tu kitu pwani
 
Fedha nyingi ya US zinatumika kugharamia vita na kuangusha serikali halali duniani zilizochaguliwa kihalali.
 
Fedha nyingi ya US zinatumika kugharamia vita na kuangusha serikali halali duniani zilizochaguliwa kihalali.
Jamaa wanapenda mno ugomviugomvi na ndio maana wameweka wajeda lundo nje ya nchi yao kwamba kikinuka popote wanakiwasha na ndio maana bajeti ya jeshi lao ni kubwa kuliko ya afya
 
Jamaa wanapenda mno ugomviugomvi na ndio maana wameweka wajeda lundo nje ya nchi yao kwamba kikinuka popote wanakiwasha na ndio maana bajeti ya jeshi lao ni kubwa kuliko ya afya
Bejeti za wizara ya ulinzi huwa ni kubwa kuliko wizara yoyote hata hapa bongo ndivyo ilivyo.
 
njaa ya USA haiumi sana kama ya Africa,Maskini wa USA akija bongo tajiri
 
Back
Top Bottom