Maisha ndio yalivyo. Hata apa Dar es salaam Kuna watu wanalala nje na wakati Kila siku anakula cocaine ya Tshs 15,000. Kwa iyo kulala nje ni mipango na Wala sio kukosa pesa. Ni mipango tuuu
North Korea hakuna upumbavu kama huo.Maisha ndio yalivyo. Hata apa Dar es salaam Kuna watu wanalala nje na wakati Kila siku anakula cocaine ya Tshs 15,000. Kwa iyo kulala nje no mipango na Wala sio kukosa pesa. Ni mipango tuuu
Umaskini uliovuka kiwango.Sababu ya homeless ni ipi?
Ulikosa visaUmaskini uliovuka kiwango.
Sasa jambo ambalo we tanzanians sijui ni ujinga au nn Umasikini lazma uwepo hio ndio maana ya Uchumi sasa mnataka hao jobless wapew hela na makazi kila nchi zina Useless group of peoplekatika uchumi kuna kitu tushakisoma kinaitwa (HIDDEN POVERTY) Ni njia ambayo serikal nying inaitumia katka hii issue case study nzur ni UNITES STATE OF AMERICA .
Kama mataifa mengine USA masikin pia wapo lakin unaambiwa mabadiliko ya kimaisha ya mtu masikin ni makubwa .Yaan mwaka hadi mwaka watu wana improve kimaisha
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app