Leo mpaka wanaume wanaulizwa hili swali 😁😁Wewe uliuona mwezi?
Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi lika declare Mwezi haujaonekana. Takataka!
Huu uzi wako ni mfano wa fitina ambazo Mheshimiwa SSH amekuwa akikutana nazo tangu aapishwe kuwa rais March 2021.Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi lika declare Mwezi haujaonekana. Takataka!
Wewe uliuona mwezi?Hahaha, you heard....
Tukisema sisi ni ng'ombe wa mamaduro kwa nini tunabisha? Anatuswaga tu kwa maelekezo ya musoga😀
Hii ndio dini ya mchongo kama ulikua hujui nakujuza.Dini isiyo na shaka ndani yake na imekamilika ...ila wakitaka kufungua mpaka bakwata watamke kama vile bakwata walikuwepo mtume alipo kua anapewa wahayi na Mungu ...hizi dini ni mchongo tu
MawinguWewe uliuona mwezi?
Sio kweli hua wanapishanaHuu uzi wako ni mfano wa fitina ambazo Mheshimiwa SSH amekuwa akikutana nazo tangu aapishwe kuwa rais March 2021.
Kila Mwaka wanaanza kula Idd wale Answar Sunna siku inayofuata wanakuja waislam wengine. Utaratibu umekuwepo miaka na miaka.
Usikubari kirahisi hivyo dah unakubarije kua chakula kirahisi hivyo ungesema hapana kwanini useme ndio kuna mende kibao humuNdio, so what? Happy now? Inahusika nini na hoja ya mtoa hojo? Ndo mana mnafeli hovyo hujui hata direction ya hoja unarukaruka tu kama mwanga
Punguza Ostadh leo Eid nenda ukamswalie Mtume tuje tule pilauWewe ni upinde?
Mm sijaongelea katoliki hapa nimeongelea dini isiyo na shaka ndani yake ila mpaka shekhe mkuu aamue mfungue lini sio kitabu ..km ni mashoga hakuna dini imepona nenda zenji pale watu wanafokoana na azana ikipigwa wako msikitinjHii ndio dini ya mchongo kama ulikua hujui nakujuza.
Unatumia hisia sana mkuu leo Eid tuchinje tupike pilau tule tuvae tupendeze twende tukamswalie mtume wa Mnyaazi Mungu, punguzaHii ndio dini ya mchongo kama ulikua hujui nakujuza.
Jana nimetoka kumwambia mtu hii kitu. Akajifanya amekaza fuvuDini isiyo na shaka ndani yake na imekamilika ...ila wakitaka kufungua mpaka bakwata watamke kama vile bakwata walikuwepo mtume alipo kua anapewa wahayi na Mungu ...hizi dini ni mchongo tu
we ni yule rasta wa tiktok?Dini isiyo na shaka ndani yake na imekamilika ...ila wakitaka kufungua mpaka bakwata watamke kama vile bakwata walikuwepo mtume alipo kua anapewa wahayi na Mungu ...hizi dini ni mchongo tu
Wewe unajua mimi niko wapi? Unajua naishi wapi? Au umekariri kua wana JF wote wanaishi nchi moja?Kwanini unazungumza tofauti na nilivyozungumza mkuu, anyway basi tufanye nimekosea kumtaja kitimoto sawa lakini hio haiondoi hoja yangu kwamba wewe ukiwa humu muda huu unapambania Uislamu kwenye keyboard wenzio wapo msikitini wanaswali ibadi ya Eid wewe mboni upo hapa unagombana na wanajamii na kutumia lugha ya kuudhi muislamu unakuaje hivyo?
Wewe uko wapi hio hainipi hitimisho lolote la kile nimekwambia, tatizo lako unapenda kugombana na watu bila sababu ya msingi, sawa tufanye upo Marekani hakuna Misikiti huko Marekani ulipo? Au unataka kusema upo Vatican?Wewe unajua mimi niko wapi? Unajua naishi wapi? Au umekariri kua wana JF wote wanaishi nchi moja?
Punguza shobo.