min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Tia ignore bwashee , madogo wana stress za maishaNdio siku nyingine uache shobo na wanaume,hii ID usirudie tena kuiletea lugha za dhihaka,
Hua naona vicomment vyako,unapenda sana kudhihaki watu humu na lugha zako za kuudhi,nataka nikubadilishia dozi ili upone kabisa na usirudie tena kua unadhihaki watu humu.