Ijumaa iko occupied, Mufti aka declare Mwezi haukuonekana, Idd ikapelekwa Jumamosi!

Ijumaa iko occupied, Mufti aka declare Mwezi haukuonekana, Idd ikapelekwa Jumamosi!

Hata wewe hufai kua mke,umevamia tu ndoa,nampa pole sana mumeo.
Mimi ni mwanaume mkuu, yaan unajifurahisha kusema mimi ni Mwanamke kuona kwamba labda itanichukiza ila hapana sipo hivyo kabisa, na siwezi kuchukia km wewe unaeamua kuchukizwa na kiumbe kidogo km Kitimoto ambacho umeambiwa kwamba unaruhusiwa kula, haukatazwi kula Kitimoto na imeandikwa kwenye Hadith na Msaafu, umeambiwa ule kwa sababu maalumu ili usife, sasa nakushangaa wewe Muislamu gani usieyajua hayo?
 
Na akadanganya kuwa amewasiliana wenzake wa kenya na uganda wakamwambia haujaonekana,cha kushangaza hao aliowataja wamesheherekea jana ijumaa
 
Umechanganyikiwa kwa jambo dogo nimekwambia wenzio hawatumii hisia km wewe. Una mengi ya kujifunza kwenye Uislamu.
Una mengi ya kujifunza kutoka kwa wanawake wenzako walio kwenye ndoa zao,
acha kujibizana na wanaume mitandaoni,

Bila shaka leo ndio itakua mwisho wako kuniletea lugha ya dhihaka,ulifikiri ningekuchekea toka mwanzo sio?
 
Dini isiyo na shaka ndani yake na imekamilika ...ila wakitaka kufungua mpaka bakwata watamke kama vile bakwata walikuwepo mtume alipo kua anapewa wahayi na Mungu ...hizi dini ni mchongo tu
Kama wewe umeuona mwezi Kwa macho yako hata kama Bakwata wakisema haujaoneka wewe unatakiwa ufungue ila kama haujauona basi subiri mamlaka itangaze
 
hata mimi nipo abroad ndo maana nakataa wewe kwa hiyo IQ huwezi kuwa abroad. Malawi na kenya sawa
IQ inapimwa kwa kumchekea mtu aliye anza kukudhihaki sio? Au ulizowea kua unadhihaki watu hapa JF kisha wao wanakuchekea tu sio? Basi leo umekutana na kitu kizito,ndio maana unakuja na IDs zako zote kijipambania.
 
Back
Top Bottom