Ijumaa iko occupied, Mufti aka declare Mwezi haukuonekana, Idd ikapelekwa Jumamosi!

IQ inapimwa kwa kumchekea mtu aliye anza kukudhihaki sio? Au ulizowea kua unadhihaki watu hapa JF kisha wao wanakuchekea tu sio? Basi leo umekutana na kitu kizito,ndio maana unakuja na IDs zako zote kijipambania.
Wahi hospital maana umeshapagawa kwa jambo dogo sana una tatizo la akili.
 
Ndio siku nyingine uache shobo na wanaume,hii ID usirudie tena kuiletea lugha za dhihaka,

Hua naona vicomment vyako,unapenda sana kudhihaki watu humu na lugha zako za kuudhi,nataka nikubadilishia dozi ili upone kabisa na usirudie tena kua unadhihaki watu humu.
 
Kitimoto tunaenda kula wapi leo? Maana inabidi sasa nianze kukupokea km unavyokuja haya wapi unaenda kula Kitimoto leo?
 
IQ inapimwa kwa kumchekea mtu aliye anza kukudhihaki sio? Au ulizowea kua unadhihaki watu hapa JF kisha wao wanakuchekea tu sio? Basi leo umekutana na kitu kizito,ndio maana unakuja na IDs zako zote kijipambania.
Sikupenda kujibu, ila ni hivi:
IQ matters. Ni ya kuzaliwa. IQ vilevile ina-develop, ndiyo inaunda tabia za watu- mindset. Mindset inaundwa na mazingira au sirroundings na customs.

Ulivyoondika na reasoning yako pamoja na logic wewe Upo na mindset ya Kitanzania sana kuliko Asia, Ulaya au nje ya Tanzania.

Mifano yako mingi ya kumdhalilisha mtu ni kumlinganisha na mwanamke.

Tabia hizi zipo sana Tanzania na ni wazi wazi kabisa. Mindset.

Unajua inasemekana kwetu hapa sex ni hobby? Au unabisha?
 
Basi hapo mwenyewe unajiona bonge la mchambuzi sio? Yani ndio umejipinda kuandika haya matapishi? Hivi Dunia ya leo hujui kua ni sawa na kijiji? Haya niliyo yaandika humu hua hayaongelewi humu JF kila siku na Dunia nzima inayasoma?

Kwanini hukujibu tu kwa ID yako ya mwanzo mpaka unanijibu kwa kutumia ID yako nyingine?

Ungekua na akili timamu ungeanza kwa kumsema huyo aliye anza kwa kutumia lugha ya dhihaka dhidi yangu,ila na wewe unaonekana ndio wale wale tu,Pipa na mfuniko,

Kama unajiona una akili na wewe ni mchambuzi basi unaiongopea akili yako,bado fikra zako umezifunga ndani ya box,

Wake up and get a life.
 
Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi aka declare Mwezi haujaonekana.
Bakwata is gov component, halaf ukiwasikiliza sababu za o ni za kitoto sana
 
Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi aka declare Mwezi haujaonekana.
Huenda wakanunuliwa darubini ya kuangalia mwezi .
 
Basi hapo mwenyewe unajiona bonge la mchambuzi sio? Yani ndio umejipinda kuandika haya matapishi? Hivi Dunia ya leo hujui kua ni sawa na kijiji? Haya niliyo yaandika humu hua hayaongelewi humu JF kila siku na Dunia nzima inayasoma?

Kwanini hukujibu tu kwa ID yako ya mwanzo mpaka unanijibu kwa kutumia ID yako nyingine?

Ungekua na akili timamu ungeanza kwa kumsema huyo aliye anza kwa kutumia lugha ya dhihaka dhidi yangu,ila na wewe unaonekana ndio wale wale tu,Pipa na mfuniko,

Kama unajiona una akili na wewe ni mchambuzi basi unaiongopea akili yako,bado fikra zako umezifunga ndani ya box,

Wake up and get a life.
Kuwa against na hoja yako siyo kuwa naunga mkono hoja ya Retired, ila tu comment zako ulivyoziandika. Hasa uhusiano mkuu Kati ya IQ na Mindset.

Sijasema una IQ ndogo, ila jinsi unavyocomment ungekua china au Singapore ingekua tofauti kabisa.

Samahani kukwazika
 
Kama wewe umeuona mwezi Kwa macho yako hata kama Bakwata wakisema haujaoneka wewe unatakiwa ufungue ila kama haujauona basi subiri mamlaka itangaze
Ww umesoma dini ama bendera fuata upepo ...akili kisoda huwezi kunielewa ..yaan mamlaka ipi mpaka itamke wakati kitabu kinajitosheleza.Kwa nn mtegemee bakwata!
 
Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi aka declare Mwezi haujaonekana.
BAKWATA ni Taasisi ya ccm
 
Back
Top Bottom