Ijumaa iko occupied, Mufti aka declare Mwezi haukuonekana, Idd ikapelekwa Jumamosi!

Ijumaa iko occupied, Mufti aka declare Mwezi haukuonekana, Idd ikapelekwa Jumamosi!

Wewe uko wapi hio hainipi hitimisho lolote la kile nimekwambia, tatizo lako unapenda kugombana na watu bila sababu ya msingi, sawa tufanye upo Marekani hakuna Misikiti huko Marekani ulipo? Au unataka kusema upo Vatican?
kwa hizo akili hawezi kuwa nje ya nchi niamini mimi. asikutishe huyo yupo bongo hapahapa, ila Jf!
 
Narudia tena mimi sio binti mkuu, heshima haiuzwi ushaelewa? unaponi-quote na kuandika lugha ya kuudhi ikiwa mimi situmii lugha hio kuja kwako haileti picha nzuri jirekebishe, rekebisha tabia yako ya kuzungumza lugha ya kuudhi wengine na kutumia hasira sana kwenye masuala ambayo hayahitaji utumie hasira ila yanahitaji utumie uelewa tu, hadi najiuliza wewe ni muislamu au umeuvamia uislamu na kujifanya muumini wa dini ya kiislamu? Maana hao ni watu wawili tofauti wapo waislamu wengi humu nawajua ila hawapo km wewe na nawatania mara nyingi lakini sijawahi kuona wanatumia lugha ya kuudhi km wewe, jitafakari wewe kweli ni muislamu? Au umejificha kwenye uislamu ndio nyie wanaowalalamikia mnauharibu uislamu
Acha shobo wewe,mbona unakua na akili mgando? Huelewi? Tatizo lako ulifikiri ningekuchekea,acha kuplay victim hapa,

Siku nyingine usirukie comment zangu na kuweka hizo lugha zako za dhihaka,kumwite mtu Shehe na kumwambia aje mchinje kitimoto,

Mimi wapumbavu kama wewe hua siwaachi ili siku nyongine hii ID uwe unaipita kwa mbali kama unaaga maiti,

Ulifikiri ningekuchekea sio? Ndio maana umekua mpole ghafla na kuplay victim.
 
Narudia tena mkuu usitumie lugha ya kuudhi na haina haja ya kutumia hasira sana kwenye mambo yanayozungumzika inakupasa uzungumze km binadamu wa kawaida ondoa huyo mnyama aliepo ndani yako anaekufanya uzungumze km sio binadamu, nilichokwambia ni kwamba waislamu wapo humu ila sio km wewe hio km imekugusa itakusaidia kujibadirisha na kua muislamu anaefaa wenzio hawatumii hisia sana kwenye kujibu ila wanasimamia kile wanachoamini hio ndio tofauti yako na wao, mwisho japo itakuumiza ila ngoja nikwambie ukweli maana imebidi kwa kunilazimisha nikwambie wewe sio Muislamu ila umevamia Uislamu, kuanzia leo km ulikua haujitambui nimekufungua wewe sio Muislamu tunawajua waislamu humu hawana mazungumzo ya namna yako waislamu ninaowajua hawazungumzi kwa lugha za maudhi hata km utawaudhi, pokea ukweli mchungu
 
Inaonekana umeshajikatia tamaa ya maisha kabisa aisee,pambana hakuna cha ajabu Duniani,unaloliona la maajabu kwako,kwa wengine ni lakawaida tu,

Au ndio wewe umeamua kuja na ID yako nyingine?
kuna watu wako abroad mkuu sijalipinga, nimepinga wewe kuwa abroad. huna hizo akili za kuvuka mipaka ya tz
 
Sio Muislamu huyo anatuletea maigizo tu waislamu wote sahizi humu hawapo wapo msikitini wanaswali wengine wanahangaika kututafutia vitoweo huko masokoni yeye yupo JF anabisha na watu kwa lugha za kuudhi wengine
ndo maana ili kukwepa jukumu la kuwa msikitini akakimbilia kusema yupo nje ya nchi, akili za kitoto kuwahi kutokea
 
kuna watu wako abroad mkuu sijalipinga, nimepinga wewe kuwa abroad. huna hizo akili za kuvuka mipaka ya tz
Pole sana kwa maisha unayo yapitia,
Kama hilo linakupa faraja basi endelea kuamini hivyo,

Huyo Pimbi alivyo anza kinidhihaki kwa kuniita Shehe nikale Kitimoto,ulitaka nimchekee tu sio?

Kaanza lugha ya dhihaka dhidi yangu,baada ya kuzidiwa akaanza kuplay as a victim,kama ni wewe ndio mwenye hiyo ID usipende kudhihaki watu wakati huna uwezo wakuendeleza vita nakujipambania.
 
ndo maana ili kukwepa jukumu la kuwa msikitini akakimbilia kusema yupo nje ya nchi, akili za kitoto kuwahi kutokea
Naona unajibizana na ID zako zote mbili,
Leo utakuja na ID zako zote hapa ila utakimbia tu,wapumbavu kama wewe hua siwaachi ili siku nyingine usirudie tena kuanzisha lugha za kuudhi kwa wengine.
 
Pole sana kwa maisha unayo yapitia,
Kama hilo linakupa faraja basi endelea kuamini hivyo,

Huyo Pimbi alivyo anza kinidhihaki kwa kuniita Shehe nikale Kitimoto,ulitaka nimchekee tu sio?

Kaanza lugha ya dhihaka dhidi yangu,baada ya kuzidiwa akaanza kuplay as a victim,kama ni wewe ndio mwenye hiyo ID usipende kudhihaki watu wakati huna uwezo wakuendeleza vita nakujipambania.
Wewe sio Muislamu. Ni Maamuma tu umevamia Uislamu hujui chochote kuhusu Uislamu. Pole sana.
 
Pole sana kwa maisha unayo yapitia,
Kama hilo linakupa faraja basi endelea kuamini hivyo,

Huyo Pimbi alivyo anza kinidhihaki kwa kuniita Shehe nikale Kitimoto,ulitaka nimchekee tu sio?

Kaanza lugha ya dhihaka dhidi yangu,baada ya kuzidiwa akaanza kuplay as a victim,kama ni wewe ndio mwenye hiyo ID usipende kudhihaki watu wakati huna uwezo wakuendeleza vita nakujipambania.
ukaambiwa waislam wenzako wapo msikitini ukaamua ukimbilie abroad, maana ukweli mchungu ulikuzonga
 
Naona unajibizana na ID zako zote mbili,
Leo utakuja na ID zako zote hapa ila utakimbia tu,wapumbavu kama wewe hua siwaachi ili siku nyingine usirudia tena kuanzisha lugha za kuudhi kwa wengine.
Umechanganyikiwa kwa jambo dogo nimekwambia wenzio hawatumii hisia km wewe. Una mengi ya kujifunza kwenye Uislamu.
 
Back
Top Bottom