Ijumaa iko occupied, Mufti aka declare Mwezi haukuonekana, Idd ikapelekwa Jumamosi!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi aka declare Mwezi haujaonekana.
 
Hahaha, you heard....

Tukisema sisi ni ng'ombe wa mamaduro kwa nini tunabisha? Anatuswaga tu kwa maelekezo ya musoga😀
 
Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi lika declare Mwezi haujaonekana. Takataka!
Huu uzi wako ni mfano wa fitina ambazo Mheshimiwa SSH amekuwa akikutana nazo tangu aapishwe kuwa rais March 2021.

Kila Mwaka wanaanza kula Idd wale Answar Sunna siku inayofuata wanakuja waislam wengine. Utaratibu umekuwepo miaka na miaka.
 
Hahaha, you heard....

Tukisema sisi ni ng'ombe wa mamaduro kwa nini tunabisha? Anatuswaga tu kwa maelekezo ya musoga😀
Wewe uliuona mwezi?
Au kuna mtu unamjua aliyeuona mwezi?

Naona mleta mada ndio anakuswaga kama anavyotaka yeye,amesha kubrainwash na kukupeleka kwenye issue za chuki za kisiasa na wewe ukaingia kichwa kichwa,

Acheni kuuhusisha uislamu na hayo mambo yenu yakisiasa.
 
Dini isiyo na shaka ndani yake na imekamilika ...ila wakitaka kufungua mpaka bakwata watamke kama vile bakwata walikuwepo mtume alipo kua anapewa wahayi na Mungu ...hizi dini ni mchongo tu
Hii ndio dini ya mchongo kama ulikua hujui nakujuza.
 

Attachments

  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 28
Wewe unajua mimi niko wapi? Unajua naishi wapi? Au umekariri kua wana JF wote wanaishi nchi moja?

Punguza shobo.
 
Wewe unajua mimi niko wapi? Unajua naishi wapi? Au umekariri kua wana JF wote wanaishi nchi moja?

Punguza shobo.
Wewe uko wapi hio hainipi hitimisho lolote la kile nimekwambia, tatizo lako unapenda kugombana na watu bila sababu ya msingi, sawa tufanye upo Marekani hakuna Misikiti huko Marekani ulipo? Au unataka kusema upo Vatican?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…